Mamlaka ya Benin imetangaza Jumapili kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililolenga kumuondoa madarakani Rais Patrice Talon Umoja wa Afr . . .
Mrembo wa mitandao ya kijamii Caren Simba (@caren_simba), amefunguka na kufafanua kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kiungo wa Y . . .
Desemba 5 mwaka huu mkoani Geita Katika muendelezo wa ziara yake ya kukutana na watumishi wa sekta ya afya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mani . . .
Watu wanne wamekamatwa na madini ya vito katika mtaa wa Togo, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, kufuatia operesheni maalum iliyofanywa na Of . . .
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mpaka sasa imeshatoa vibali 72 vya kuruhusu wamiliki wa mabasi kuongeza mabasi ya muda y . . .
Droo ya hatua ya makundi ya kombe la Dunia 2026 imekamilika huko Kennedy Center Jijini Washington, D.C Marekani ljumaa, Desemba 5, 2025 amba . . .
SERIKALI imesema imezipokea na kuzifanyia kazi taarifa na matamko mbalimbali yaliyotolewa na nchi rafiki, mashirika ya kimataifa na taasisi . . .
Siku moja baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Kinshasa na Kigali nchini Marekani, mapigano mengi yameendelea kurindima mashariki . . .
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amelielekeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linasambaza mita janja mpya za umeme ka . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameielekeza TANESCO kuchukua hatua na kuchunguza kwa kina kauli iliyotolewa na Padri Dk. Ch . . .
HUKU idadi ya binadamu ikiendelea kuongezeka ulimwenguni na chakula kuwa haba, wanasayansi wamebaini kuwa kula wadudu ambao wana viwango vya . . .
Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani.Taga . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amewapongeza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa uj . . .
Droo ya Kombe la Dunia la Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA, litakalofanyika mwakani huko Marekani, Canada na Mexico itafanyika leo katik . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin anaanza ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano hususan katika sekta ya ulinzi . . .
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kw . . .
Droo ya Kombe la Dunia la Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA litakalochezwa mwakani huko Marekani Canada na Mexico itafanyika leo katika Ki . . .
Mwanaume mmoja auawa na kundi la watu katika kituo cha ununuzi cha Mururi eneo Bunge la Gichugu akaunti ya kirinyanga baada ya kukamatwa aki . . .
Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Ra . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping jijini Beijing, katika ziara ya siku tatu yenye lengo la kusisitiza j . . .
WANAWAKE wengi hukumbwa na maambukizi hasa katika sehemu nyeti, baadhi yakichangiwa na desturi za kutozingatia usafi.Matumizi ya choo na jin . . .
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema kuwa miundombinu ya msingi ya internet haipaswi kumilikiwa na makampuni binafsi, akisisitiza kuwa u . . .
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza fursa kwa wamiliki wa mabasi kuwasilisha maombi ya leseni za muda mfupi ili kuongeza . . .
Madereva watano wa magari ya kubebeba wagonjwa (Ambulance) wamekamatwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kubeba abiria kutoka Dar es s . . .
KUNDI la Waangalizi wa Uchaguzi (ELOG) limetoa ripoti ambayo inasema chaguzi ndogo za Novemba 27 zilizingirwa na ghasia, wizi wa kura, . . .
Mkutano huo ulilenga kutoa hakikisho, na kugusia tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu jinsi Uganda inavyoshughulikia upinzani wa kisiasa.Tume ya . . .
Sheria hiyo mpya inawataka watoto walio chini ya umri wa miaka 16 kuwa na akaunti katika majukwaa kama TikTok, Facebook, YouTube na Instagra . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Said Mtanda ametoa wito mahsusi kwa vijana kujikita katika sekta ya kilimo na kusema kuwa wakati umefika kwa vija . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara wa Jumuiya ya Madol . . .
Mbunge wa Itwangi Azza Hillal Hamad, amewasihi wananchi kulima mazao ambayo yanastahimili ukame kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri,amba . . .
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemfutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas . . .
Vyombo vya habari vimeripoti tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari kulikotokana na shambulizi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza,Wak . . .
Jeshi la DRC na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda, wamerushiana maneno kila mmoja akimtuhumu mwingine kukiuka makubaliano ya usitishaji ma . . .
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine sasa anasema maisha yake yako hatarini na ameamua kuva . . .
Hukumu hiyo ya kesi namba 10468/2025 imesomwa Desemba 01, 2025 na Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Fredrick Shayo baada . . .
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza limempitisha Diwani wa kata ya Buswelu Bi Sara Poul Ng'hwani ku . . .
Vikosi vya RSF nchini Sudan vimesema, vimechukua udhibiti kamili wa eneo muhimu la Babanusa, linalotumika pakubwa kwa usafirishaji kusini mw . . .
Mkoa wa Katavi umeendelea kuwa kivutio cha wawekezaji kufuatia maboresho makubwa ya miundombinu, usalama na kasi ya utoaji leseni katika Sek . . .
Waziri wa Ulinzi wa Nigeria Mohammed Badaru Abubakar amejiondoa madarakani wakati taifa hilo likikumbwa na ongezeko la matukio ya kutatanish . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kukutana na mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff mjini Moscow leo Desemba 2 mwaka huu baada ya . . .