Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa v . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hajapiga hatua yoyote kuhusiana na suala la kusitisha vita nchini Ukraine alipozungumza na mwenza . . .
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa picha mjongeo ambayo inaonekana kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kijana aliyeefungwa mi . . .
Winga wa klabu ya Athletic Bilbao, Nico Williams, amesaini mkataba mpya wa miaka 10 wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu . . .
MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya amemkashifu vikali Rais William Ruto kutokana na ripoti kwamba anajenga Kanisa katika Ikulu y . . .
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewatangaza rasmi wagombea watano wa nafasi ya urais kuondolewa katika kinyang’an . . .
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha b . . .
Chama cha ACT Wazalendo kimewataka Watanzania kuwahoji na kuwapima watawala kwa msingi wa utekelezaji wa Katiba, hususan kifungu cha kupungu . . .
Kundi la wanamgambo la Hamas limetoa taarifa kuwa, linashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kuhusu mapendekezo mapya ya wasuluhishi y . . .
Mashambulizi kadhaa ya anga ya jeshi la Israel kwenye Ukanda wa Gaza yameuwa takribani watu 30 na kuwajeruhi wengine kadhaa.Kwenye mashambul . . .
Serikali ya Kongo na waasi wa M23, wanaoungwa mkono na Rwanda, wametangaza siku ya Alhamisi kurejea kwa wajumbe wao nchini Qatar kwa mazungu . . .
UCHAGUZI mdogo unaokaribia katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, unatarajiwa kuwa wa kusisimua huku upinzani ukimtangaza mw . . .
VIJANA waliokuwa na hasira waliteketeza kituo cha polisi cha Mawego katika eneo la Rachuonyo Kaskazini wakati wa ibada ya mazishi ya mwalimu . . .
MAONESHO ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea yakitoa fursa kwa washiriki kuonesha bidhaa zao, huduma na teknolojia k . . .
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Kiomoni Kibamba amesema mgombea asiyekuwa na wadhamini zaidi ya wata . . .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kimesema kinajivunia mwanachama wake, Kassim Majaliwa (64) kuweka historia ya kuwa . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi, na . . .
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kinara namba moja wa uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika na Mawaziri wanao . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 04, mwaka huu amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia k . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Antony kwa tuhuma za mauaj . . .
Kikosi cha wanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miak . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema idadi ya Wanachama wa CC . . .
MWANASOKA nyota Diogo Jota ameaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya gari kaskazini mwa Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, ripoti nch . . .
KIVUKO kipya cha MV Mwanza Julai 2, 2025 kimepokelewa kwa shangwe kubwa katika Jimbo la Buchosa mnamo Julai 2, 2025, ambapo kitahudumu kati . . .
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika kinachoonekana kupiga hatua katika masuala ya sayansi na teknolojia wamebuni roketi yenye uwezo wa kusaf . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Julai 3, 2025 imekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni na vyombo vya habari vya kima . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya uchujaji wa majina ya watia nia wake inayoanza kesho hadi Julai 19, 2025.Hatua hiyo ni baada . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema waliochukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge kupitia majimbo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ni wanachama . . .
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, amesema bado Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Se . . .
Mchezaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, amefariki dunia kwa ajali ya gari nchini Hispania akiwa na umri wa mia . . .
RAIS wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika wiki ijayo kwa ajili ya majadiliano ya kibi . . .
MAAFISA wa serikali ya Marekani wametupilia mbali taarifa ya awali kutoka Ikulu ya White House inayodai kuwa Washington inazuia usafirishaji . . .
MSANII mashuhuri wa muziki wa hip-hop, Sean Diddy Combs maarufu kama P Diddy, ameendelea kusalia rumande baada ya Jaji Arun Subramanian wa M . . .
MAHAKAMA KUU ya Gujarat nchini India imeanza kusikiliza kesi dhidi ya wakili wake mmoja, Bhaskar Tanna, baada ya video inayomuonesha akinywa . . .
Vilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye . . .
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo wilayani Lo . . .
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imesema itahakikisha inawapatia kila aina ya nyezo kikosi cha Polis . . .
BUNGE la Venezuela linaloungwa mkono na serikali limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Turk kuwa mtu asi . . .
JESHI la Israel limepanua operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, siku chache kabla ya ziara ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Ne . . .
MAMILIONI ya watu wanaokimbia mapigano nchini Sudan wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa, huku wakisaka hifadhi katika mataifa jirani ambayo y . . .