logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Uchaguzi mkuu kutowatumia watoto isipokuwa tunakuja wenyewe

Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema katika uchaguzi wa mwaka huu hawamtumi mtoto, badala yake wanaenda wenyewe . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Vijana wajitokeza uzinduzi wa daraja la JP Kigongo Busisi

Vijana zaidi ya 1,000 kutoka wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wamefanya matembezi ya zaidi ya kilomita 30 kutoka ofisi ya Chama cha Mapindu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Putin awaonya Ujerumani kuwapatia Ukraine makombora ya Taurus

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameionya Ujerumani kuhusiana na mipango yake ya kuipatia Ukraine makombora ya masafa aina ya Taurus. Amesema M . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran kutoonyesha huruma kwa utawala wa Israel

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameapa kwamba nchi yake haitoonyesha huruma kwa watawala wa Israel. Matamshi hayo yanakuja&n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran yafanya mashambulizi Hospitali ya Israel na kusababisha majeruhi

Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu ya Beersheba iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huk . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

TAMISA yaanza kusajili wanachama na kuwapa njia za kupata tenda migodini.

Taasisi ya TAMISA (Tanzania Mining industry suppliers Association) leo imefanya uzinduzi wa kamati ya masoko na mawasiliano ambayo itaongozw . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 18, 2025

Mchuuzi aliyepigwa risasi na polisi katika maandamano angali hai, familia yathibitisha

BONIFACE Kariuki, mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano jijini Nairobi Jumanne, angali hai, familia y . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 18, 2025

Ally Mayay Tembele Atangaza Nia ya Kugombea Urais wa TFF

NYOTA wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, ametangaza rasmi nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Shir . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 18, 2025

Afisa wa polisi afyatua risasi kiholela, maandamano yaongezeka Nairobi

Nchini Kenya, mji mkuu wa Nairobi umetikiswa siku ya Jumanne, Juni 17, na makabiliano kati ya waandamanaji, vikosi vya usalama, na makundi y . . .

AJALI
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Mhubiri mwenye utata nchini Kenya afariki dunia

Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Serikali yashauriwa kuacha kutoza kodi gesi asilia ili kuwavutia wawekezaji

Serikali imeshauriwa kuacha kutoza kodi katika sekta ya gesi asilia na matokeo yake waache wawekezaji waingie, huku ikitafuta vyanzo vingine . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Tanzania yaanza kusaka suluhu kuhusu tahadhari ya Marekani

Serikali ya Tanzania imeanza kufanya mashauriano na Marekani ili kufanyia kazi maeneo yanayihitaji kuboreshwa ili raia wake wasizuiwe kuingi . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Serikali yawekeza Tsh. bilioni 1 kununua vifaa tiba halmashauri ya mji wa Handeni

SERIKALI imewekeza ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa vya Sh bilioni 1 kwenye sekta ya afya katika Halmashauri ya Mji Handeni na kuimarisha hu . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Umoja wa Afrika kuthamini maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania utakaofanyika Oktoba 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kua . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Wilaya ya kalambo yapata hati safi miaka 5 mfululizo kwa ukusanyaji wa mapato

Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imepata hati safi (inayoridhisha) hatua iliochangiwa na uwepo wa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Askari Magereza atiwa kizuizini kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi

Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Ofisa wa jeshi la Magereza mwenye cheo cha Sajini aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Nyange . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Marekani yafahamu maficho ya Kiongozi Mkuu wa Iran

Mashambulizi ya kila upande kati ya Israel na Iran yameingai siku ya sita, huku Rais Donald Trump wa Marekani akitoa ujumbe  kuhusiana . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Askari polisi wapya 4,800 wasajiliwa PSSSF

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili askari polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Sh . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 18, 2025

Umoja wa Afrika kutathimini maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania utakaofanyika Oktoba 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kua . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 17, 2025

MILEY CYRUS: “NINAIJUA BIASHARA YA MUZIKI VIZURI, LAKINI WAKATI MWINGINE UNAHITAJI KUFANYA KWA AJILI YAKO MWENYEWE”

Mwigizaji na msanii mashuhuri wa muziki, Miley Cyrus, amefunguka kwa kina kuhusu safari yake katika tasnia ya muziki na kueleza namna ambavy . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 17, 2025

KRG THE DON AWEKA WAZI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE NAIVASHA 2027

Msanii maarufu kutoka Kenya, KRG The Don, ameweka wazi nia yake ya kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Naivasha mwaka wa 2027. Akiwa mge . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Kinyozi ahukumiwa miaka 30 jera kwa kosa la ubakaji.

Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imemhukumu Lindwa Clement Balthazari (30) mkazi wa kijiji cha Malya na kinyozi wa saluni ya kiume . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Maandamano ya kupinga mauaji ya Albert Ojwang yatawanywa na polisi nchini Kenya

Waandamanaji waliokuwa na mabango wanamtaka Naibu Inspekta wa Polisi Eliud lagat kujiuzulu kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanablogu Albe . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Mikakati na Malengo ya uchumi mwaka 2025/2026 ,kuongeza mapato nchini

Katika hotuba yake Dk Mwigulu amewambia Watanzania kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2025/ . . .

Uchumi biashara
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

MSIMU wa kwanza wa zao la biashara la ufuta mwaka 2025/2026 umefunguliwa.

Katika mnada  wa hivi karibuni, bei ya juu ilikuwa Sh 2,710 na bei ya chini ilikuwa Sh 2,510 kwa kilogramu moja. Tani 3,000 ziliingizwa . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Polisi wazuia mkutano wa Heche dhidi ya Wanahabari

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limezuia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliopangwa kufanyika ukumbi wa Milllenium . . .

Bungeni
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Serikali kuongeza posho kwa wenyeviti wa vijiji kutoka 100,000% hadi laki 300,000%

Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ameibua hoja nzito kuhusu malipo na maslahi ya wenyeviti wa serikali za mitaa akisema kundi hilo limekuw . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 17, 2025

Israel waja na mpango mpya kuipindua serikali ya Iran

Israel inaamini kuwa kuna tishio kubwa kutoka kwa nguvu za nyuklia za Iran. Inasema lengo kuu la mashambulizi iliyofanya Ijumaa ilikuwa ni k . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

CAF) yaikingia kifua timu ya taifa Stars dhidi ya Guinea

Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na Guinea ikipinga uamuzi uliofanywa na kam . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Mambo matatu yaliyopelekea Gennaro kuwa kocha mkuu timu ya Italia

Shirikisho la Mpira wa Miguu Italia (FIGC) limetaja sifa tatu zilizoishawishi  iamue kumpa Gennaro Gattuso nafasi ya ukocha mkuu wa tim . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Waziri wa sheria nchini Congo atuhumiwa kwa ubadhilifu wa fedha za umma

Bunge la taifa nchini DRC limeidhinisha Mwanasheria Mkuu wa Mahakama ya Juu Juni 15, kumfungulia mashitaka Constant Mutamba ambaya alikuwa W . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

KAMERA KUWANASA MADEREVA WOTE WANAOTANUA,KUZUNGUMZA NA SIMU BARABARANI

MUAROBAINI wa madereva wanaosababisha msongamano na foleni kwa kutanua na kuzungumza ya simu katika barabara mbalimbali kwenye wilaya mbili . . .

Uchumi biashara
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Mauzo ya Nyama Nje ya Nchi yaongezeka kutoka tani 1,000 hadi tani 14,000 mwaka 2025

 SERIKALI imebani kuwa kiwango cha kuuza nyama nje ya nchi kimeongezeka kutoka tani 1,000 hapo awali hadi 14,000 mwaka 2025.Akizunguma . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Watanzania wenye uwezo wa kifedha watakiwa kuwekeza ndani ya nchi

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania wenye uwezo wa kifedha kuwekeza ndani ya nchi, akisisitiza kuwa njia hiyo ndiyo mwarobai . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

Baraza la Madiwani kuvunjwa rasmi juni 20 mwaka huu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nc . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

KESI YA LISSU KUSIKILIZWA TENA JULAI MOSI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu hadi Julai 1, 2025 kwa ajili ya ku . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 16, 2025

TUNDU LISSU AIOMBA MAHAKAMA KUJITETEA

Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama kupewa nafasi ya kujitetee mwenyewe huku akitaja sa . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 15, 2025

JUSTIN BIEBER AINGIA KATIKA MABISHANO MAKALI NA PAPARAZZI NCHINI MAREKANI

Mwimbaji mashuhuri wa Kimataifa, Justin Bieber, ameonekana akijibizana vikali na paparazzi nje ya Soho House, Malibu, California usiku wa Al . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • June 15, 2025

MSANII JD YOUNG AACHIA WIMBO MPYA “DARLING” AKIIWAKILISHA RWANDA KWA KISHINDO!

Msanii chipukizi mwenye kipaji cha kipekee, JD Young, ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni, ameendelea kupeperusha bendera ya Rwanda kimataifa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 15, 2025

TFF Yatangaza Uchaguzi Mkuu Agosti 16, 2025

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tan . . .

Kurasa 46 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category