logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Top Story
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Netanyahu kukutana na Trump huku Israel ikikabiliwa na ukosoaji kutokana na vita vya Gaza

Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita hivyo. Hata hivyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Paul Biya hakuonekana wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikianza

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana.Kwa mujib . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 28, 2025

Droni zisizofahamika zashuhudiwa tena Denmark

Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • September 28, 2025

Tuzo za Serengeti Awards Kufanyika Disemba 19 jijini Arusha

KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Tuzo za Uhifadhi na Utalii maarufu kama Serengeti Awards zitafanyika Disemba 19, 2025 jijini Arusha.Akizungumza na waandishi wa h . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 28, 2025

Iran yarejeshewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa 'kutokana na kushindwa mpango wake wa nyuklia

Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi siku ya Jumapili, Septemba 29 usiku wa manane, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo na nchi za Magharibi, ambazo zinadai kuhakikishiwa juu ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2025

Baraza la Usalama kupiga kura kuhusu vikwazo dhidi ya Iran

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura leo Ijumaa asubuhi juu ya azimio la kuchelewesha kurejeshwa kwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran, inayoshutumiwa na Ufaransa, Ujerumani na Uinger . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2025

Donald Trump asema 'hataruhusu Israel kuteka Ukingo wa Magharibi'

Donald Trump amebainisha siku ya Alhamisi, Julai 25, kwamba "hataruhusu Israel kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu," hatua iliyotakiwa na mawaziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Isra . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 25, 2025

Dkt, Mwinyi arejea Unguja Kufuatia kifo cha kaka yake

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili Unguja akitokea Pe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2025

Ufaransa, Ujerumani na Uhispania zatatizika kufikia makubaliano kuhusu mradi wa ndege za kivita

Ufaransa iko tayari kuunda ndege ya kivita ya siku za usoni ikiwa peke yake ikiwa mazungumzo na Berlin na Madrid yatashindwa kuhusu mradi wa baadaye wa ndege ulioandaliwa kwa pamoja, afisa wa Ufaransa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 25, 2025

DRC na Rwanda kuanza kutekeleza hatua za usalama mapema mwezi Oktoba

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyoidhinishwa na Marekani mwezi ujao, vyanzo vitatu vinavyofahamu suala hilo vimeliam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2025

Sarkozy akutwa na hatia kuhusu sakata la kufadhiliwa kifedha na Libya

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, amepatikana na hatia ya kupanga njama kuhusu sakata la kufadhiliwa na serikali ya Libya, wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2007.Mahakama imetoa h . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

MGAMBO WATAKIWA KUSHIRIKISHA POLISI KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI.

Polisi Kata ya Liganga iliyopo Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma Mkaguzi wa Polisi (INSP) Datius Dioniz Septemba 23, 2025 amefanya kikao kazi na Askari Mgambo pamoja na Sungusungu wa kijiji cha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Dk. Samia aweka shada la maua kaburi la Mkapa Lupaso

Mgombea urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 24, 2025 ameshiriki sala fupi na kuweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, kijijini Lupaso . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

RC Chalamila apiga marufuku mabaunsa kutumika kwenye migogoro ya nyumba

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemtembelea mama mjane Alice Haule, ambaye anadaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mikocheni, nyumba inayodaiwa kuwa sehemu ya ur . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Kiongozi Mkuu wa Iran afutilia mbali mazungumzo ya nyuklia na Marekani

Kiongozi Mkuu wa Iran ametupili mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake, uwezekano wa kufunga mlango wa jaribio la mwisho la kuzuia kurudish . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Donald Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina

Maafisa wa Uingereza wanahofia kuwa Donald Trump atatambua udhibiti wa Israel juu ya makaazi haramu katika Ukingo wa Magharibi, kulipiza kisasi uamuzi wa Uingereza, Australia, Ufaransa na nchi nyingin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DR Congo, Kinshasa yaomba msaada

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kutambua "mauaji ya halaiki yanayotekelezwa kimya kimya" katika nchi yake, wakati Ufaransa i . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Wanafunzi 11,000 wadahiriwa NIT

 CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema hadi sasa kimefanikiwa kudahili wanafunzi 11,000 wenye sifa za kusoma katika taasisi hiyo.Takwimu hizo zimetolewa Septemba 22 mwaka huu na Mkuu wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Kim Jong Un" Tuko Tayari Kuzungumza na Marekani Ila Tusiondolewe Silaha za Nyuklia"

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia.Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bun . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Iran na E3 kukutana kwa mazungumzo muhimu ili kuepusha vikwazo

Iran na mataifa yenye nguvu ya Ulaya yanatayaria kufanya mazungumzo ya dakika za mwisho ili kuzuia kutekelezwa tena kwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran, maafisa wawili wakuu wa Iran na wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Vital Kamerhe, Spika wa Bunge la taifa, ajiuzulu

Spika wa Bunge la taifa nchini DRC, Vital Kamerhe, amejiuzulu. Alikuwa mada ya ombi ambalo lilipaswa kupigiwa kura wakati wa kikao cha mashauriano katika makao makuu ya Baraza la Wawakilishi mjini Kin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Raia wa Guinea wapiga kura ya 'ndiyo' kwa asilimia zaidi ya tisini katika kura ya maoni

Zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wamepiga kura ya "ndiyo" katika kura ya maoni ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa utawala wa kijeshi kugombea katika uchaguzi wa urais, kulingana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa kwenye mahakama ya ICC

Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zinazoongozwa na jeshi, kwa pamoja, zimetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kwa kile inachosema Mahakama hiyo yenye makao yake jij . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

KWA MARA YA KWANZA MELI MPYA YA MV MWANZA YAFANYA SAFARI KUELEKEA BUKOBA

NA ALBERT G.SENGO/MWANZA MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 amekuwa mmoja kati ya mashuhuda wa jaribio la mwisho la safari ndefu kwa Meli ya MV New Mwanza kwenye b . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

TANROADS MWANZA YATOA ANGALIZO KWA WAVAMIZI WA BARABARA

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mwanza imetoa angalizo kwa wakazi wa maeneo mbalimbali wanaofanya shughuli mbalimbali zikiwemo biashara katika maeneo ya hifadhi ya barabara, kuhakikish . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Bandari ya Dar imeandika historia mpya kupokea meli mpya ya kisasa

Bandari ya Dar es Salaam imeandika historia mpya baada ya kupokea meli mpya ya kisasa ya kubeba magari, MV Grande Shanghai, iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea China katika safari yake ya kwanza.& . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

DKT. MPANGO AWASILI MAREKANI KUSHIRIKI MKUTANO WA 80 Wa BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili jijini New York Marekani Septemba 22 mwaka huu kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Um . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Wagonjwa 1,082 Wafaidika na Huduma za MOI Chato

ZAIDI ya wagonjwa 1,082 wamefaidika na huduma za kibingwa na kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu zinazotolewa na Taasisi ya MOI katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato.Hayo yam . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 22, 2025

Wabunge kupiga kura kuamua hatima ya Vital Kamerhe

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wabunge baadaye leo Jumatatu wanatarajiwa kupiga kura, kuamua hatima ya Spika Vital Kamerhe, baada ya siku kadhaa za vikao ambavyo vimekuwa vikifanyika kujadil . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Majaliwa "Rais Dkt Samia Anatambua Mchango Wa Madhehebu Ya Dini Katika Kuendeleza Maarifa"

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kwa dhati mchango wa madhehebu ya dini ikiwemo BAKWATA na wadau wote wa elimu katika kuimarisha maadili, ku . . .

Kurasa 14 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Marekani yaifuatilia meli nyingine ya mafuta Venezuela

    • 8 dakika zilizopita
  • Wayahudi watakiwa kuhamia Israel kuepuka chuki

    • 15 dakika zilizopita
  • AFCON yafunguliwa rasmi Rabat, Morocco waanza kwa kishindo

    • 22 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode