logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Atinga kwa msajili baada ya kuenguliwa kuwania Urais

Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, Mutamwega Mgaywa a . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Odinga amkosoa waziri wa Ulinzi nchini Kenya

Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amelaani vikali wito wa waziri wa usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen kwa polisi kuwafyatulia risasi watu watakaojaribu kukaribia vituo vya polisi na ku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Dkt, Biteko ahudhuria mkutano wa nyuklia Afrika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amewasili Kigali nchini Rwanda, kushiriki mkutano unaohusu masuala ya nyuklia Afrika.Mkutano huo unaoanza  Juni 30 hadi Julai 2025, unajumui . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Maadhimisho uhuru wa Somalia kufanyika Tanzania

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Shirikisho la Somalia, . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 29, 2025

Rais RUTO Ajipalilia Makaa, Awaponda Wananchi Wanaoandamana Kenya

Rais wa Kenya William Ruto amepuuzilia mbali wito ambao umekuwa ukitolewa na waandamanaji na viongozi wa upinzani kumtaka ajiuzulu na kuwapa changamoto ya kutoa mpango mbadala ufaao badala ya kuchoche . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Gavana motoni kwa kuwadhalilisha wanawake wa Taita

WANAWAKE katika Kaunti ya Taita Taveta wamemtaka Gavana Andrew Mwadime kuomba msamaha kwa matamshi ya kuwadhalilisha.Hii ni baada ya Gavana Mwadime kudai kuwa wanawake warefu katika kaunti hiyo wameol . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Msigwa autaka tena ubunge Iringa Mjini akitokea ndani ya (CCM).

ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 10, Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu kuwania ubunge Iringa Mjini—safari hii akitokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Ametangaza dhamira yake . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Ngajilo aingia tena uwanja wa Iringa Mjini kugombea ubunge

 Fadhili Fabian Ngajilo, mwanasiasa mwenye rekodi ya utumishi wa muda mrefu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amechukua rasmi fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tat . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Makongo achukua fomu kuwania nafasi ya ubunge Chato Kaskazini

 Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa fomu ya kuwania kugombea ubunge wa Jimbo la Chato Kaskazini.Makongo aliyewah . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Ahukumiwa jera maisha kwa kosa la kulawitiwa mtoto

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na k . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Tanzania kushiriki vipengele 50 Tuzo za Utalii Duniani

Wageni 250 wanatarajiwa kushiriki katika utoaji Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 (World Travel Awards 2025) huku Tanzania ikiingia kwenye kinyang’anyiro vipen . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Watakaobainika na hatia ya kuwatumikisha watoto sheria kutowaonee huruma

HIVI karibuni serikali ilitoa takwimu zikionesha utumikishwaji wa watoto umepungua kutoka asilimia 29 mwaka 2014 hadi asilimia 24.9 mwaka 2021.Hata hivyo, ilisema licha ya takwimu kuonesha kupungua hu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

CCM kuzuia misafara ya wapambe zoezi la uchukuaji fomu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kwa mwanachama yeyote anayeomba kugombea uongozi kualika kundi la wapambe kumsindikiza kwenda ofisi za chama kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea.Pia, . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Dk Biteko mgeni rasmi Nishati Bonanza kesho jijini Dodoma

 NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza la Wizara ya Nishati na taasisi zake litakalofanyika kesho jijini Dodoma.Akizungumzia maandaliz . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

DCEA yabaini pipi za watoto kusafirisha madawa ya kulevya

Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kwa kutumia pipi za watoto kama kificho ili kufanikisha . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Tanzania waja na vipengele 50 kuwania tuzo ya utalii duniani

Tuzo za Utalii Duniani (WTA) kwa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi mwaka 2025 zitafanyika Jumamosi, Juni 28, 2025 jijini Dar es Salaam huku Tanzania ikiwania vipengele 50.Akizungumza leo Alhamisi, Ju . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

TRC kuongeza safari za treni kutoka Dodoma-Dar

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza safari za treni kati ya Dodoma na Dar es Salaam kwa tarehe 27 na 28 Juni 2025. Safari hizo zimeongezwa ili kukidhi mahitaji ya usafiri kwa wananchi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Lissu ndani ya mahakama kuu kupinga ushahidi wa siri

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo Juni 27,2025 amefika katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/20 . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Babu Owino asema amepokonywa walinzi baada ya kushiriki maandamano

BUNGE wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amefichua kuwa serikali imeondoa walinzi wake rasmi, akidai hatua hiyo imetokana na kushiriki kwake katika maandamano yaliyofanyika Jumatano Juni 25.Kupitia ta . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Wadau wa korosho wapongeza teknolojia ya uzalishaji kisasa

 WADAU mbalimbali kutoka nchi nane za Bara la Afrika zinazolima na kutumia korosho wamepongeza teknolojia ya kisasa inayotumiwa na wataalam nchini kuzalisha zao hilo (Ubebeshaji).Hayo yameji . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Wanahabari watakiwa kuhimiza uadilifu kuelekea uchaguzi mkuu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kupinga na kuzuia vitendo vya rushwa, hasa kipindi hiki cha kujiandaa na Uc . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

TRA Kigoma yateketeza tani 53 za bidhaa zisizofaa

MAMLAKA ya Mapato (TRA) mkoani Kigoma imeteketeza bidhaa mbalimbali za vyakula na vipodozi tani 53 zenye thamani ya Sh milioni 530 ambazo ziliingizwa nchini bila kufuata taratibu.Meneja wa TRA mk . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Mwanza wanufaika na utekelezaji mpango wa fedha za TASAF

 MKOA wa Mwanza umetumia zaidi ya Sh bilioni 50.3 ambazo zimelipwa kuanzia mwaka 2014 hadi mwezi Juni mwaka huu kama ruzuku kwa kaya kwaajili ya  wanufaika wa mpango huo awamu ya tatu kipind . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Chaumma kuanza mchakato wa kumpata mgombea wa urais

Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika kwa mi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

UWAMWA kunusuru wanafunzi na adha ya usafiri

Ushirika wa usafirishaji mkoa wa Mwanza UWAMWA imezindua gari 10 kwa lengo la kusafirisha wanafunzi kwenda shule na kuwarudisha ili kuepuka adha wanazopata katika usafiri wa umma.Akieleza mpango huo M . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Waliotemwa na Samia kuwania nafasi za ubunge katika majimbo hayo

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuhamisha viongozi mbalimbali, wakiwemo wakuu wa mikoa watano na wakuu wa wilaya 17. Hatua hiyo imebainisha majimbo ambayo viongozi walioachwa katika u . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Majaliwa yatangaza taasisi za umma kujiunga na mfumo wa kielektronik kuanzia juni 23 hadi julai 30

JUZI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kuhusu mifumo kusomana akilenga dhamira ya serikali ya kuimarisha utendaji kazi nchini.Ametangaza kuanzia . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Wadau wa siasa watabiri ongezeko la wabunge wapya bunge lijalo

WADAU wa siasa wamesema bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi wapya kutokana na wabunge wanaomaliza muda wao wengi kutotatua changamoto za wananchi kwenye majimbo yao.Akizungumza na waandishi wa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Samia awasili nchini Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Jamhuri ya Msumbiji 24 Juni 2025 ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Wanafunzi 2,398 wanufaika na mikopo ya elimu ya juu

Serikali imesema imekuwa ikiongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu mwaka hadi mwaka ili kuwawezesha wanafunzi wote wakiwemo wenye mahitaji maalumu na wanaotoka kwenye familia zenye uwezo mdogo wa kiuc . . .

Kurasa 25 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 13 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 16 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 16 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode