logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 4, 2025

Majali yamwakilishi Rais Samia miaka 10 WCF

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 04, mwaka huu amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataif . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 4, 2025

Watuhumiwa mauaji ya kijana kwa kipigo wanaswa Geita

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Antony kwa tuhuma za mauaji ya kijana Enock Mhangwa, huku  watuhumiwa wengine wat . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 4, 2025

JWTZ Kushiriki gwaride maadhimisho miaka 50 ya uhuru Comoro

Kikosi cha wanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo yatakayohudhuriwa pia na Rais Sam . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Waliopiga pesa uchukuaji wa fomu watakiwa kwenda kudai mapema

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema idadi ya Wanachama wa CCM waliojitokeza kuchukua imekuwa kuliko wakati wowote ambapo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

Shigongo Azindua Kivuko Cha MV Mwanza, Aishukuru Serikali kwa Kuimarisha Usafiri Buchosa

KIVUKO kipya cha MV Mwanza Julai 2, 2025 kimepokelewa kwa shangwe kubwa katika Jimbo la Buchosa mnamo Julai 2, 2025, ambapo kitahudumu kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome. Uzinduzi huo umefanyika mbe . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

UDOM Wabuni Roketi ya Kupeleka Vitu Angani

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika kinachoonekana kupiga hatua katika masuala ya sayansi na teknolojia wamebuni roketi yenye uwezo wa kusafiri umbali mrefu angani na kupeleka vitu mbalimbali.kwenye m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

Serikali Yakanusha Madai ya Njama ya Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Julai 3, 2025 imekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni na vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu kuwepo kwa njama ya kumtilia sumu kiongozi wa c . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2025

Nderiananga adai miili 2 bado DNA haijakubali

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, amesema bado Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (MMS), inaendelea kuchunguza miili ya watu wawili wal . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Marekani kukutana na viongozi wa Afrika ukumbi wa White house kujadili biashara

RAIS wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika wiki ijayo kwa ajili ya majadiliano ya kibiashara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Wakili azua gumzo mitandao

MAHAKAMA KUU ya Gujarat nchini India imeanza kusikiliza kesi dhidi ya wakili wake mmoja, Bhaskar Tanna, baada ya video inayomuonesha akinywa bia na kuzungumza kwenye simu wakati wa kikao cha mahakama . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Vilio na simanzi kwa ndugu waliofika KCMC kupokea miili ya waliopoteza maisha ajili ya Same

Vilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 3, 2025

Kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo yawafikia wafugaji wilayani Longido

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo wilayani Longido ambapo takribani mifugo 2000 imechanjwa.Tukio hilo lil . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Serikali Zanzibar yatoa mbinu kikosi cha polisi kukabiliana na wahalifu

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imesema itahakikisha inawapatia kila aina ya nyezo kikosi cha Polisi Utalii ili kuhakikisha ufanisi wa utendaji kazi wa kikosi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Wananchi wilayani Mwanga waondokana na kero ya Zahanati

Wananchi wa Kijiji cha Kwanyange, Kata ya Kivisini, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya kutokana na ukosefu wa Zahanati  kat . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Abdul Nondo atoa wito kwa wananchi kutosusia uchaguzi mkuu

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwenyekiti wa Taifa wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kuzilinda kura zao kwa ajili ya kulind . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Majaliwa ang'atuka kugombea nafasi ya ubunge Ruangwa

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kutogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi.Uamuzi wa Majaliwa umetangazwa leo Jumatano na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ruang . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Safari ya Lagos kuinyenyua air Tanzania kimataifa

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) airtanzania_atcl imepata utambuzi wa kimataifa kutoka Serikali ya India, siku chache baada ya kutangaza safari mpya ya moja kwa moja kati ya Dar es salaam na Lagos, Ni . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 2, 2025

Waliokuwa wakishikilia nafasi ya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa waenguliwa

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa  wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za u . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2025

RC Mtanda" kero za wananchi zimeisha ni uongo"

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewakosoa baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoibuka na kusema kero za wananchi zimeisha kwa kile alichodai huo ni uongo kero za wananchi haziishi bali hupungua.Aki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2025

Kuzindua upya msaada wa kimataifa kwa maendeleo

Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo umefunguliwa siku ya Jumatatu hii, Juni 30, huko Seville, nchini Uhispania, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa misaada ya maendeleo, hasa kutokana n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 1, 2025

Félix Tshisekedi arejelea makubaliano ya amani katika hotuba yake kwa taifa

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeadhimisha miaka 65 ya uhuru siku ya Jumatatu, Juni 30. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, Mkuu wa Nchi Félix Tshisekedi amezungumza kwa kirefu kuhusu mkataba w . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Watumishi wahimizwa kuzingatia maadili serikalini

Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

DTO atoa mkakati wa kuanza kupima madereva kila wikendi

Leo julai mosi kwenye Kipindi cha MchakaMchaka amesikika Mkuu  Usalama Barabarani Wilaya ya Ilemela DTO Kilimbida Thomas Kilimbida na kueleza mkakati madhubuti wa kuanza kupima madereva katika si . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Msajili wa Vyama Vya Siasa hana mamlaka ya Kuzuia Chadema kushiriki uchaguzi mkuu

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka ya kukizuia Chama hicho kushiriki shughuli za siasa kwenye mwaka wa uchaguzi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Kiongozi wa (CWT) Tanga achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Korogwe mjini

Kiongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Tanga, Mwajuma Mohamed amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Korogwe Vijijini.Mwajuma ambaye ni Mjumbe Kitengo cha Walimu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 1, 2025

Aliyekuwa rais wa zamani (MAT)achukua fomu ya ubunge Mbagala

Rais mstaafu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dkt Elisha Osati amechukua fomu ya kuwania uteuzi kwa ajili ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mbagala katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.Osati . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 30, 2025

UN yasitisha uchunguzi kuhusu uhalifu uliofanyika mashariki mwa DRC kutokana na ukosefu wa fedha

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ambayo imeguswa na mzozo mkubwa wa ukwasi unaohusishwa kwa kiasi kikubwa na kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani,  imelazimika kuta . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Makonda amkabidhi majukumu ya Ofisi RC mpya

Leo Juni 30,2025, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amekabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa mkoa huo Kenan Kihongosi. 8Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko kwenye na . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Mkuchu arejesha fomu udiwani Kunduchi

 KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Sal . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Nyota wa Yanga ajitosa kuchukua fomu ya ubunge Iringa Mjini

MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama . . .

Kurasa 24 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 15 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 18 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 18 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode