RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa na mwelekeo wa itikadi ya kichama.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwe . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imeeleza kubaini na kuwakamata wamiliki wa kiwanda bubu cha kuzalisha biskuti zenye viambata vya dawa za kulevya aina ya bangi na skanka eneo . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuanza awamu ya pili ya ziara yake katika maeneo mbalimbali ambayo kimeiita ziara hiyo kuwa CHAUMMA For Change phase 2 (C4C2) 9 Julai 2025 ambapo . . .
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulikana linafahamika vizuri na vyombo vya dola, na kwamba hatua z . . .
Wadau wa elimu nchini wamependekeza kuchukuliwa hatua madhubuti kuhusu suala la wizi wa mitihani, ambalo limeonekana kuanza kuota mizizi na kuathiri kwa kiasi fulani uhalali wa matokeo ya mitihani ya . . .
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha usimamizi na uendelezaji wa sekta ya madini na kuimarisha masoko na minada ya uuzaji madini, ambapo vituo vya ununuzi wa madini vimeongezeka kuto . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza usimamizi wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwemo wa mataifa ya nje walioamua kuja kufanya shughuli zao nchini. . . .
Jeshi la Polisi linamshikilia Samwel Kayoka (16) Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza Shule ya Sekondari Mtenga kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) baada ya kumpiga fimbo kichwani walipo . . .
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema mashamba ya uzalishaji mifugo ya Serikali lazima yaachwe yafanye shughuli za kiserikali kwa ajili ya manufaa ya taifa zima huku akiwaonya wana . . .
FAMILIA ya Brian Kimutai, mwandamanaji mwenye umri wa miaka 21, aliyedaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano ya Saba Saba huko Kitengela, ilikwama na mwili wake ndani ya gari kati . . .
Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimechaguliwa na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa mwenyeji wa mafunzo ya kipekee kwa ajili ya maafisa wanadhimu wa jesh . . .
MKURUGENZI Mkuu na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy amesema wakala huo umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.Amebainisha hay . . .
SERIKALI imetangaza kuwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yamefikia ukingoni, baada ya kupitia mchakato wa hatua mbalimbali kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.Waziri wa Nchi, Ofi . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 Julai 17, 2025, akiweka rekodi ya kuwa Rais wa Pili Tanzania kusimamia na kuratibu uandikaji wa dira . . .
KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limekemea watu wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji na sehemu zisizofaa kutafuta ufumbuzi wa changamoto badala ya kumtegemea Mungu.Askofu Mkuu wa Kanisa Kat . . .
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jamii ya Habari (WSIS+20) ulioanza tarehe 7 Julai 2025 katika Ukum . . .
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu adoshaibuado ameitaka Tume Huru ya Uchaguzi tumeyauchaguzi_tanzania nchini kuongeza uwazi katika mchakato wa uzalishaji, usafirishaji na uhifadhi wa vifaa vya uchagu . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A . . .
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi wa Urusi Roman Starovoy, anashukiwa kujiua ikiwa ni saa chache baada ya Rais Vladmir Putin kumfukuza kazi, Vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti.Waziri huyo ameripotiwa k . . .
Chama tawala nchini Uganda NRM, mwishoni mwa juma kilimuidhinisha, Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 80 kuwa mgombea pekee wa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Katika hotuba y . . .
Ufaulu wa jumla wa wanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2025 umeongezeka na kufikia asilimia 99.95, ambapo wanafunzi 125,779 kati ya 125,847 waliopata matokeo wamefaulu kwa kupata madaraja ya kwanza, pi . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya Ualimu, iliyofanyika mwezi Mei 2025. . . .
VIONGOZI wa Kiislamu wameonya kwamba huenda jamii yao itajitenga na mfumo wa kisheria wa Kenya iwapo serikali haitachukua hatua ya kufuta au kurekebisha hukumu ya Mahakama ya Juu kuhusu haki ya watoto . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, leo tarehe 06 Julai, 2025. . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hajapiga hatua yoyote kuhusiana na suala la kusitisha vita nchini Ukraine alipozungumza na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwa njia ya simu.Akizungumza na w . . .
MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya amemkashifu vikali Rais William Ruto kutokana na ripoti kwamba anajenga Kanisa katika Ikulu ya Nairobi kwa gharama ya Sh1.2 bilioni.Kwenye barua aliyomwa . . .
Kundi la wanamgambo la Hamas limetoa taarifa kuwa, linashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kuhusu mapendekezo mapya ya wasuluhishi yanayolenga kusimamisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.Kwa mu . . .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kimesema kinajivunia mwanachama wake, Kassim Majaliwa (64) kuweka historia ya kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa marais wawili.Majaliwa alikuwa W . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi, na kuzingatia maadili, akisema kutofanya hivyo kumesababisha ma . . .
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kinara namba moja wa uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika na Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Nishati na Maji wa Jumuiya ya M . . .