logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

BRELA yawataka Wafanyabiashara kujisajili

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini – BRELA, imewataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa ya kujisajili kwani wasio na usajili hawatoweza kuomba tenda rasmi ambazo zinatangazwa na Taasisi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2024

Rais Samia atunukiwa udaktari wa Falsafa wa heshima

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta yaAnga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aeros . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2024

Korea Kaskazini kuacha kutuma maputo ya taka Korea Kaskazini

Korea Kaskazini imesema itaacha kutuma maputo yaliyojaa takataka nchini Korea Kusini.PyongYang imesema imechukua hatua hiyo ya kutotuma tena maputo hayo kwasababu Korea Kusini sasa imefahamu vya kutos . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2024

Dkt. Biteko: Watanzania tofauti ya Dini, Siasa isiwagawe

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kudumisha amani, mshikamano na  upendo na kamwe wasigawanywe kwa sababu yoyote.Amesema hayo wakati akimwakilisha Rais . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 2, 2024

Rais Asema Hakuna Cha Wakenya Kuvalia Viatu Kutoka Nje

RAIS William Ruto ametangaza serikali itawekeza Sh100 milioni katika kiwanda cha kutengeneza viatu na ifikapo mwaka wa 2027, Kenya itakoma kuagiza viatu kutoka nje.Akiongea Jumamosi mjini Bungoma waka . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 2, 2024

ANC chapoteza wingi wa wabunge kufuatia uchaguzi wa Jumatano

Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi Jumamosi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

Wakazi Buchosa walia na Mamba

Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

SERIKALI KUJENGA MAKUMBUSHO YA MARAIS JIJINI DODOMA

Serikali imetangaza kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika jiji la Dodoma ili kuhifadhi historia ya waasisi na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania.Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

Sintofahamu Fidia Mradi wa Bomba la Mafuta EACOP

Wakati wananchi wa Manyara wakilalamika kulipwa fidia ndogo waliyolipwa kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema ma . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

Tanzania & Dernmark zitaboresha ya mifumo ya kodi

Tanzania na Denmark zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kutekeleza programu ya maboresho ya mifumo ya kodi.Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaabani kwa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

Wakazi Buchosa walia na Mamba

Watu 35 wamepoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba huku watu watatu wakijeruhiwa na kupata ulemavu wa kudumu kwenye Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.Ofisa Wanyamapori wilaya y . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 31, 2024

Chama cha ANC cha Afrika kusini kinataabika kupata asilimia 50 ya kura

Kama ANC kitashindwa itakuwa ni mara ya kwanza kupoteza viti vyake vingi bungeni tangu kumalizika ubaguzi wa rangi 1994.Chama cha Afrika Kusini cha African National Congress, ambacho kilipata madaraka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2024

WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA

Wabunge wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza fedha kwa Wizara hiyo.Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa jana . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2024

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo May 29,2024 ambapo amemteua Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • May 30, 2024

Dkt. Msonde " Madai ya Walimu yawasilishwe, yashughulikiwe"

Walimu wenye madai ya malimbikizo ya mishahara, wametakiwa kuwasilisha vielelezo vya madai yao kwa Maafisa Elimu ili yashughulikiwe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofis . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 29, 2024

WAZIRI UMMY AELEZA MBINU ZILIZOCHANGIA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO NCHINI TANZANIA

Utashi wa Kisiasa na Uongozi imara wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto ni moja ya jambo ambalo limechangia Tanzania kupunguza vifo vya wajawazito kutoka vifo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 29, 2024

Saudi Arabia yalaani mashambulio ya anga ya Israel, Rafah

Saudi Arabia imelaani mashambulio ya anga yaliyofanywa na Israel mjini Rafah. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo imesema serikali inalaani mauaji ya halaiki yanayofanywa na vikosi vya Isra . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 29, 2024

Maafisa wa UN waonya msaada wa kibinadamu unakwisha huko Gaza

Malori matatu pekee ya WHO yaliyobeba misaada yameingia katika mji wa Rafah uliozingirwa tangu uvamizi wa Israel ulipoanzaMaafisa wa Umoja wa Mataifa wameonya msaada wa dawa na usambazaji wa mafuta hu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 28, 2024

SPIKA TULIA AIPA KONGOLE TEMESA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katikati akipewa maelezo ya namna karakana inayotembea inavyofanya kazi na fundi wa karakana hiyo Mustafa Abdul Malambo wakati . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 28, 2024

Changamoto za ulimwengu zinaongezeka na Afya inazorota; Anasema Guterres

Mamilioni ya watu Sudan na Gaza wako hatarini kufa sio tu kutokana na risasi na mabomu lakini majeraha yasiyotibiwa na magonjwaBaraza Kuu la 77 la Shirika Afya Duniani lilifungua kikao chake cha kila . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 28, 2024

Rais wa Poland anajaribu kumshawishi Tshisekedi amuachie huru raia wa Poland

Raia huyo wa Poland Mariusz Majewski alikamatwa na vikosi vya Kongo mwezi Februari akishutumiwa kwa ujasusi.Rais wa Poland Andrzej Duda amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Congo Felix Tshisekedi i . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 26, 2024

Burkina Faso: Utawala wa kijeshi wa Kapteni Traoré waongezwa kwa miaka mitano

Burkina Faso ilipitisha hati siku ya Jumamosi kuruhusu utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye aliingia madarakani Septemba 2022 kupitia mapinduzi ya kijeshi, kusalia kwa miaka mitano za . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2024

Wananchi wa Israel wataka waziri mkuu wa taifa Hilo ajiuzulu

Wakati Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Ubaida wa Hamas akitangaza kuwakamata wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagari amekanusha madai hayo akisema hak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2024

Marekani kuhakikisha kuwa nchi ya Kenya inakuwa mwanachama wa NATO

Rais wa Marekani, Joe Biden, amesema nchi yake itahakikisha Kenya inakuwa mwanachama wa jumuiya ya nchi za kujihami za magharibi NATO, hatua ambayo itaifanya Kenya kuwa taifa la kwanza kwenye ukanda w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2024

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe wametakiwa kutambua kuwa kazi ya Polisi ni kazi takatifu ambayo majukumu yake yanahusiana na makatazo na amri za Mungu.Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2024

MKURUGENZI WA PBZ AKUTANA NA TIMU YAKE YA UONGOZI KUWEKA MIKAKATI

Mkurugenzi Muendeshaji wa PBZ Bank Ndg. Arafat Ally Haji, amekutana na kufanya mazungumzo na team yake ya uongozi wa PBZ Bank ikiwa ni siku yake ya kwanza kuingia ofisini baada uteuzi wake na Rais wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 23, 2024

Raia wa Kenya aripotiwa kufariki wakati akiukwea Mlima Everest

Raia wa Kenya aliyekuwa akiukwea Mlima Everest ameripotiwa kufariki wakati mwongozaji wake raia wa Nepali akiwa hajulikani alipo, akiwa mtu tatu kufariki kwenye mlima huo mrefu zaidi duniani msimu huu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 23, 2024

Tunisia imefunga jela jumla ya waandishi sita wa habari

Mahakama ya Tunisia siku ya Jumatano iliwahukumu waandishi wawili wa habari kifungo cha mwaka mmoja jela kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongoMahakama ya Tunisia siku ya Jumatano iliwahukumu waandi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 23, 2024

Maafisa Marekani wataja tukio la kwanza duniani la mtu kuambukizwa mafua ya ndege kutoka kwa mnyama

Mfanyakazi mmoja wa shamba la Michigan amegunduliwa ana ugonjwa wa mafua ya ndege ikiwa ni kisa cha pili cha binadamu kuhusishwa na mlipuko katika  eneo lenye  ng'ombe wa maziwa Marekani.Maa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 22, 2024

Waziri mkuu wa Chad amejiuzulu baada ya Deby kutangazwa rais

Waziri mkuu wa Chad, ambaye pia ni kiongozi wa upinzani Succes Masra, amejiuzulu baada ya rais wa muda wa nchi hiyo, Mahamat Idriss Deby kuthibitishwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Mei 6.Masra, . . .

Kurasa 48 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 17 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 17 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 18 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode