Nchini Kenya, mtu mmoja amethibitishwa kufariki katika maandamano yaliofanyika Alhamis ya wiki hii jijini Nairobi kupinga muswada mpya wa fedha mwa mwaka wa 2024.Kwa mujibu wa shirika la kimataifa la . . .
Mamia kwa maelfu ya mahujaji wa kiislamu wanaanza leo ibada Hijja katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia kutimiza moja ya nguzo kuu za dini hiyo yenye zaidi ya waumini bilioni 2 kote ulimw . . .
Mashambulizi yasiyosita dhidi ya meli za kimataifa yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen yanaathiri juhudi za kibiashara na misaada licha ya majaribio ya Marekani . . .
Eneo la kuchimba dawa lilivyogeuzwa fursa, Spika Tulia waunga mkonoKama wewe unatembelea mitandao ya kijamii basi bila shika umewahi kukutana na video hii inayoonyesha eneo maarufu kwa jina la Kona ya . . .
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amethibitisha kuwa hakuna abiria aliyepona katika ajali ya ndege iliokuwa imembeba makamu wa rais Saulos Chilima na watu wengine tisa.Makamu wa rais wa Malawi, Saulos C . . .
Shambulizi la kombora lililofanywa na waasi wa Houthi wa Yemen, lililenga meli ya mizigo yenye bendera ya Antigua na Barbuda katika Ghuba ya Aden, ikiwa ni shambulizi la karibuni zaidi kwenye kwa meli . . .
Rosemary Ndlovu, aliyekuwa askari polisi huko Afrika Kusini, alipatikana na hatia ya kuua mpenzi wake pamoja na ndugu zake watano (5) kisha akachukua fedha za bima zao za maisha jumla ya dola za kimar . . .
Wakati awamu ya tano ya zoezi la uchimbaji wa makaburi iliyoanza Jumatatu baada ya mapumziko ya miezi minane huko katika msitu wa Shakahola, miili mingine mitatu imefukuliwa na kuongeza wasiwasi kuwa . . .
MWALIMU wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Nyamira ameaga dunia baada ya kudaiwa kujitia kitanzi alipopoteza pesa kwenye mchezo wa kamari unaofahamika kama ‘Aviator‘.Aviator ni mchezo wa kamari . . .
Wakazi 12 wa Sumbawanga Mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia fedha kiasi cha Sh 9,200,000 kwa njia ya uda . . .
Makumi ya watu walioajiriwa na kampuni ya uchimbaji madini walikuwa wakifanya kazi katika mgodi mkubwa katika kijiji cha Galkogo, wilayani Shiroro, Jumapili jioni wakati ajali hiyo ilipotokea, amesema . . .
Mkazi wa Kijiji cha Nyamburi Kata ya Sedeco, wilayani Serengeti mkoani Mara, Nyaikongoro Mwita (34), amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na kulipa faini ya Sh 2,000,000 kosa la shambulio la kudhu . . .
Wachunguzi wa Kenya Jumatatu waligundua miili saba zaidi huku shughuli ya kufukua miili zaidi ikianza tena katika msitu ambako mamia ya watu waliokufa kwa njaa walizikwa katika makaburi ya pamoja, pol . . .
Kwenye miaka ya 1980, kipindi ambacho Michael Jackson yuko kwenye ubora wa muziki wake, alichukua sura tofauti kwenye macho ya watu kwa uamuzi wake wa kuishi na sokwe ambaye alipewa jina la Bubbles.Bu . . .
Picha zilizoelezewa na AP zilionyesha MQ-9 imeanguka katika jangwa na eneo lake la mkia limekatika kutoka kichwa cha ndege.Ndege nyingine ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper isiyokuwa na rubani, ilianguka . . .
Watu wawili (majina yao yamehifadhiwa), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, kwa tuhuma za mauaji ya Ndembora Exaud Nanyaro, aliyefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kujeruhumiw . . .
Wanajeshi watatu wa Marekani walipata majeraha yasiyo ya kivita katika juhudi za kutengeneza gati la muda kwenye pwani ya Gaza ikiwa ni njia ya misaada ya kibinadamu, huku mmoja akiwa katika hali mbay . . .
Mratibu wa Maafa Mkoa wa Pwani, Rose Kimaro amesema takribani Watoto tisa wamezaliwa kwenye kambi za waathirika wa mafuriko ya Mto Rufiji Wilayani Rufiji na Kibiti, Pwani ambapo kati ya hao wapo mapac . . .
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hic . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, ameonesha kukerwa na habari iliyowekwa mtandaoni yenye mahojiano na Mwanamke Mtanzania anayedai kuishi na nyoka pamoja na kufanya nae . . .
Wafanyakazi wa utafutaji waliripoti kuwa hawakupata dalili zozote za uhai Jumatatu baada ya kufanikiwa kuiona helikopta iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi na maafisa wengine w . . .
Mkurugenzi wa mojawapo ya gereza kubwa nchini Colombia ameuawa jana mjini Bogota baada ya kupokea vitisho kutoka kwa wafungwa.Mkurugenzi wa mojawapo ya gereza kubwa nchini Colombia ameuawa jana mjini . . .
Watu 29 wameokolewa wakiwa hai hadi sasa. Timu za uokoaji zimekuwa zikifanya kazi bila kuchoka tangu wakati huo.Idadi ya vifo kutokana na kuanguka kwa jengo moja nchini Afrika Kusini imepanda hadi 20, . . .
Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fatma Kaingu (23).Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama ya Mombasa . . .