logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Jamii
  • Na Asha Business
  • May 10, 2024

Aliyempofua mchumba kwa Tindikali jela miaka 30

Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fatma Kaingu (23).Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama ya Mombasa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • May 1, 2024

Ajali ya kushangaza yajeruhi, yaleta uharibifu

Ajali ya magari mawili kugongana imesababisha majeruhi na uharibifu eneo la kashura lililopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.Akizungumza na vyombo vya habari katika eneo la tukio Mkuu wa Wilaya Bukob . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 17, 2024

Dereva Ajali iliyoua Watoto Arusha Apandishwa Kizimbani

Dereva Luqman Hemed Juma Mkazi wa kata ya Sinoni Mkoani Arusha aliyekuwa akiendesha Basi la Shule ya Ghati Memorial ( Toyota Hiace) lililopata ajali na kuua Wanafunzi nane April 12 2024, amekamatwa na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 16, 2024

Japan yaitaka Iran 'kujizuia' baada ya kuishambulia Israel

Waziri wa mambo ya nje wa Japan amezungumza kwa simu na mwenzake wa Iran siku ya Jumanne kuitaka nchi yake "kujizuia" ili kuepusha kuongezeka kwa mvutano, kulingana na ripoti ya mazungumzo yao iliyowa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2024

Jamaa Aliyejaribu Kujirusha Kutoka Ghorofani Nairobi Apatikana Amefariki Chumbani Mwake

Wakaazi wa kijiji cha Pap Yamo huko Alego Magharibi wanaomboleza kifo cha ghafla cha mzee wa miaka 46. Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwanamume huyo baada ya mwili wake kugunduliwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 12, 2024

Wanafunzi Saba Shule ya Ghati Memorial Wahofiwa Kufa Maji Arusha

Wanafunzi saba wa Shule ya Msingi Ghati Memorial wahofiwa kufariki dunia baada ya gari la shule waliokuwemo kuangukia kwenye korongo lililojaa maji eneo la Dampo, Kata ya Muriet mkoani Arusha.Korongo . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 12, 2024

Wanafunzi Saba Shule ya Ghati Memorial Wahofiwa Kufa Maji Arusha

Wanafunzi saba wa Shule ya Msingi Ghati Memorial wahofiwa kufariki dunia baada ya gari la shule waliokuwemo kuangukia kwenye korongo lililojaa maji eneo la Dampo, Kata ya Muriet mkoani Arusha.Korongo . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 11, 2024

Mahakama Yabariki Polisi Watatu Kumshitaki IGP

Mahakama Kuu masjala ya Dar es Salaam, imetoa kibali kwa askari watatu wa zamani Jeshi la Polisi nchini, waliofukuzwa kazi mwaka 2022, kufungua maombi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kupin . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 11, 2024

mwigizaji Junior Pope amefariki, wengine watatu hawajulikani walipo

Chama cha Waigizaji cha Nigeria (AGN) kimethibitisha rasmi kufariki kwa mwigizaji wa Nollywood John Paul Odonwodo, maarufu kwa jina la Junior Pope.Kumbuka kwamba siku ya Jumatano, mwigizaji huyo, pamo . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 11, 2024

Serikali kuimarisha huduma za msingi Rufiji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewahakikishia waathirika wa Mafuriko Wilayani Rufiji Mkoani Pwani kuwa Serikali itagharamia huduma zote za msingi.Ameyasem . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 8, 2024

Boti yapinduka zaidi ya 90 wafariki

Zaidi ya watu 90 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka kaskazini mwa nchi ya Msumbiji.Wasafiri hao, walikumbwa na umauti Aprili 7, 2024 wakati wakikimbia mlipuko wa ugonjwa w . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 3, 2024

Washukiwa Wa Wizi Wa Watoto Eldoret Wazuiliwa

POLISI mjini Eldoret wamefichua mtandao wa washukiwa wa ulanguzi wa watoto ambapo wafanyakazi wa hospitali ya kibinafsi wanakula njama na walanguzi hao kwa kughushi stakabadhi za kuzaliwa zinazotumiwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 3, 2024

Mwanafunzi awashambulia wanafunzi wenzake kwa bunduki Shuleni Finland

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12 amefariki na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya mwanafunzi mwenzao kuwashambulia kwa bunduki ndani ya shule kusini mwa Finland Jumanne.Shambulizi hilo limetokea ka . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 3, 2024

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani laua watu 12 kaskazini mashariki mwa Sudan

Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambao kufikia sasa, ulikuwa umeepuka vita vya kikatili, mada . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 3, 2024

Tetemeko lauwa tisa, tahadhari ya Tsunani yatolewa

Serikali ya Taiwan imesema idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi imefikia tisa, huku Mamlaka za Uchina zikisema mbali na janga hilo hilo lenye ukubwa wa 7.4 katika kipimo cha Richter kuto . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 1, 2024

Majonzi Mwanachuo Mjamzito Akijinyonga

MWANAFUNZI wa chuo kikuu, ambaye alikuwa mjamzito, alijiua katika mtaa mmoja mjini Kericho katika kisa kilichoshtua familia na wakazi.Ilisemekana kuwa Faith Charity Makhulu, 19, alijitoa uhai katika h . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 29, 2024

Bilionea ahifadhi maiti ili azifufue ifikapo 2040

Ama kweli Dunia ina mambo mengi ya kushangaza. Hebu mtazame huyo jamaa Pichani hapo chini.Anaitwa Max More, yeye ni Bilionea Raia wa Kampuni ya Alcor Life Extension inayopatikana Jimbo la Arizona Nchi . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 28, 2024

MWENYEKITI WA KIJIJI JELA MIAKA MINNE KWA KUPOKEA RUSHWA

Mahakama ya Wilaya Kiteto,Imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara.Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka m . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 28, 2024

Miaka 20 Jela Kisa Vipande 14 vya Nyama ya Pofu

Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana Mussa Ally Makandaje (32), Mkazi na Kijiji cha Msinjili Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikana na hatia katika k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 28, 2024

Mabasi ya Sauli, Golden Deer yateketea kwa moto Ruvu

Taarifa kutoka Ruvu, zinasema asubuhi ya leo Machi 28, 2024 imetokea ajali iliyohusisha bus la Kampuni ya Sauli lenye namba za usajili T 668 DTF, Basi la Kampuni ya Newforce lenye usajili T 175 DZU (G . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 26, 2024

Familia Yaomba Msaada Kuzika Jamaa Walioangamia Shakahola

MWANAMUME aliyepoteza jamaa zake wanne katika mauaji yaliyotokana na itikadi kali yaliyohusishwa na mhubiri Paul Mackenzie Shakahola, Kilifi, anaiomba serikali kumsaidia kuwazika.Miili ya jamaa hao il . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 25, 2024

Zaidi ya watoto 130 waliokuwa wametekwa nyara Nigeria waokolewa

Zaidi ya watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria mapema mwezi huu waliachiliwa Jumapili bila kujeruhiwa, maafisa na jeshi walisema.Utekaji nyara huo w . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 19, 2024

Chad: Mvutano waendelea mwanzoni mwa uchunguzi wa kifo cha mpinzani Yaya Dillo

Nchini Chad, mvutano bado unaendelea kushuhudiwa nchini humo, baada ya kifo cha mmoja wa wapinzani wakuu wa mamlaka ya baba na mwanaye Mahamat Déby, Yaya Dillo mnamo Februari 28, wakati vikosi vya us . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 13, 2024

Familia ya Mwanafunzi wa Darasa la 8 Aliyefariki Shuleni Yakataa Matokeo ya Upasuaji wa Maiti

Familia ya mwanafunzi wa darasa la 8 katika Shule ya Msingi ya Joy Garden huko Tena-Umoja ina shauku kuhusu ripoti ya uchunguzi kifo cha mtoto wao. Mnamo Ijumaa, Machi 9, mwili wa mwanafunzi mwen . . .

Kurasa 16 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • saa moja lililopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 4 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 4 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 4 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 4 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Makala
news
  • 4 masaa yaliopita

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • saa moja lililopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • saa moja lililopita
  • Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

    • 3 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode