logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 13, 2024

Ombeni amchinja mke wake, atenganisha kichwa

Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake  Happn . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 13, 2024

Ahukumiwa kifo kwa mauaji ya Monica

Mahakama nchini Kenya imemhukumu kifo Joseph Kuria Irungu ‘Jowie’ kwa kuhusika na mauaji ya Mfanyabiashara Monica Kimani yaliyotokea Septemba 2018.Hukumu hiyo, imetolewa na Jaji Grace Nzioka baada . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 10, 2024

Kazungu jela maisha kwa mauaji ya Watu 14

Mahakama ya jijini Kigali imemuhukumu raia wake Denis Kazungu, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya watu kadhaa, ambao miili yao ilikutwa imezikwa nyumbani kwake.Kazungu a . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 5, 2024

Watu 15 wameuawa baada ya mashambulizi ya M23 nchini Kongo

Takriban watu 15 waliuawa hapo jana Jumatatu baada ya waasi wa M23 kufanya mashambulizi makubwa katika eneo la Rutshuru kwenye jimbo la mashariki la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ko . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 5, 2024

Watu Wawili Waaga Dunia Kufuatia Ajali Ya Ndege Mbili Jijini Nairobi

OLISI wanachunguza ajali ya ndege mbili zilizogongana juu hewani Jumanne asubuhi jijini Nairobi.Ndege ya Safarilink iliyokuwa ikielekea Diani katika Kaunti ya Kwale, imelazimika kutua uwanjani Wilson . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 25, 2024

Waliofariki Ajali ya Arusha Ngaramtoni Wafikia 25

Watu 25 wameafariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 23, 2024

Bar ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto muda huu

Bar ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto muda huu .Chanzo cha moto Bado hakijajulikana.Endelea kukaa karibu na mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 22, 2024

Kelvin Kiptum: Mahakama Yakataa Kusitisha Mazishi ya Mwanariadha Kufutia Kesi ya Baby Mama

Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la kutaka kusitisha mazishi ya mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum. Mnamo Alhamisi, Februari 22, Ednar Owuor, kupitia kwa wakili wak . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • February 21, 2024

MTOTO "BABA YANGU AMENIBAKA MIAKA 2,AMENIPA UKIMWI"

BABA YANGU AMENIBAKA MIAKA 2,AMENIPA UKIMWI,FOUNDATION KARIBU TANZANIA . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 21, 2024

MTOTO WA MIAKA 7 AUAWA KWA 7 KUCHINJWA MAGUGU

Mtoto mdogo mwenye miaka 6 mwanafunzi wa darasa la awali shule ya msingi Mapea kata ya Magugu wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili kisha kutupwa m . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 20, 2024

KIJANA AMUUA BIBI YAKE

FAMILIA moja kutoka kijiji cha Ngeene, Kaunti ya Meru ilipata mshtuko baada ya kijana wa umri wa miaka 27 kuua mamake na nyanya, 90.Wakazi walisema Jamleck Murithi alitekeleza unyama huo baada ya kuwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 20, 2024

Meli nyingine yashambuliwa na Wahouthi wa Yemen katika Bahari ya Sham

Wafanyakazi wa meli ya mizigo katika Bahari ya Sham walilazimika kuiacha meli yao Jumatatu usiku, baada ya wanamgambo wa Kihouthi kuishambulia kwa kombora la masafa marefu, lililorushwa kutoka Yemen, . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 15, 2024

Mtu mmoja auawa wakati mabingwa wa Super Bowl, Chiefs wakisherekea ushindi

Msururu wa ufyatuaji wa risasi uliua mtu mmoja na kujeruhi wengine 21 Jumatano nje ya kituo kikuu cha reli katika mji wa Kansas, jimbo la Missouri, hapa Marekani, ambapo mabingwa wa mwaka huu wa mashi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 14, 2024

MTUMBWI WAWAKAMOTO NDANI YA ZIWA VICTORIA

NDEGE NA BOTI ZILIVYO ZIMA MOTO WA MTUMBWI ULIOWAKA NDANI YA ZIWA VICTORIA,KAMANDA LABANI ATOA NENO . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 13, 2024

Mlipuko wa bomu wauwa watatu, maelfu wakimbia makazi yao

Mlipuko wa bomu katika kambi ya wakimbizi, umesababisha vifo vya watu watatu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huku Afrika Kusini ikiridhia kupeleka wanajeshi wake 2,900 katika eneo hilo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 9, 2024

Mwalimu Ajiua Kwa Kukataliwa Na Ex, Aacha Mke Mjamzito

MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.Marehemu aliyetambulishwa na polisi kama Den . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2024

Israeli yadai Hezbollah wameishambulia kwa kutumia zaidi ya roketi 30

Jeshi la Israel limesema kwamba takriban roketi 30 zimerushwa kaskazini mwa Israel usiku wa kuamkia leo, kutoka Lebanon kufuatia shambulizi la droni la Israel lililojeruhi kamanda wa kundi la Hezbolla . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 8, 2024

Bodaboda Apatikana Amekufa Muda Baada ya Kulalamika Ana Shida Nyingi

Mwendesha bodaboda mwenye umri wa miaka 27 amepatikana akiwa amefariki baada ya kulalamika kuhusu matatizo mengi maishani mwake. Aliyetambuliwa kwa jina la Peter Kimuli, inasemekana alichoma nguo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 7, 2024

Watu 26 Wauawa Kwenye Mapigano Mapya Sudan Kusini

MAPIGANO yanayoendelea baina ya makundi tofauti magharibi mwa Sudan Kusini yamesababisha vifo vya angalau watu 26, walisema maafisa wa serikali mnamo Jumanne.Hayo yalijiri huku rais na makam . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 1, 2024

Polisi Yafafanua Tukio Baba, Mtoto Kupotea

Jeshi la Polisi, limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe.A . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 28, 2024

POLISI WAMKAMATA ALIYOWATAPELI WATALII WALIOKUJA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Jeshila Polisi limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii walikuja nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 26, 2024

Mvua ya Kihonda Yaua Watu Wanne

Watu wanne wamefariki baada ya kusombwa na maji eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro baada ya mvua kubwa kunyesha leo January 25,2024.Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amefika katika eneo la tukio usi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 25, 2024

Plateau: Zaidi ya 30 wauawa, nyumba kuchomwa moto huku watu wenye silaha wakikaidi amri ya kutotoka nje

Zaidi ya watu 30 waliuawa na nyumba kadhaa kuharibiwa, jana, katika eneo la Kwahaslalek na jamii zinazozunguka, huku watu wenye silaha wakikaidi amri ya kutotoka nje ya saa 24 iliyowekwa kwenye eneo l . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • January 23, 2024

WATUHUMIWA KUMI WA MAUAJI WAKAMATWA MWANZA

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kumi wa mauaji ya Yumen Elias (54) aliekuwa mlinzi katika eneo la mwananchi lililopo Kata ya Mahina Wilaya ya Nyamagana na mkazi wa Nya . . .

Kurasa 17 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 5 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 5 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 5 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 6 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Makala
news
  • 6 masaa yaliopita

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 3 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 3 masaa yaliopita
  • Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

    • 5 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode