Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa, amesema amepokea kwa masikitiko vifo vya Watoto watano ambao wamefariki katikia Kijiji cha Nyakanazi kilichopo Wilayani Biharamuro, wakisadikika kuwa wamekula chak . . .
Mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa Shabiki wa Yanga, Alex Mayaya (40), mkazi wa Mji mdogo wa Katoro, Geita ameuawa kwa kupigwa rungu na walinzi wa Kampuni ya Samike Security Company akidhaniwa ku . . .
Msafara wa wanajeshi wa kikosi cha Umoja wa Mataifa wa Mali ulishambuliwa tena na vilipuzi mwishoni mwa juma, na kuwajeruhi walinda amani 22 zaidi katika harakati za kuondoka nchini humo, msemaji wake . . .
Zaidi ya watu 20 wameuwawa Jumapili, baada ya mashambulizi katika soko la kitongoji cha mji mkuu wa Sudan, Khartoum, kamati ya wanasheria inayopigania demokrasia imesema katika taarifa.Hiyo ni moja mk . . .
Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imewahukumu kifungo cha Miaka 30 Mussa Zuberi Amuri (28) na Saidi Shaibu Saidi (27) wote wakazi wa Kijiji cha Lukumbule Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikan . . .
Ujumbe wa waatalamu wa haki za binadam wa Umoja wa Mataifa pamoja na mfuatiliaji maalum wa Umoja wa Mataifa kwenye maeneo yanayokaliwa ya Wapalestina Francesca Albanese, umesema Alhamisi kwamba muda u . . .
Uganda ilisema Alhamisi kuwa imemkamata mkuu wa kikosi cha wanamgambo wanaolaumiwa kwa mauaji ya watalii wawili wa kigeni waliokuwa wakienda honeymoon na kiongozi wao wa ndani katika mbuga ya wanyama . . .
Mbunge wa Chama cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change – CCC, nchini Zimbabwe, Takudzwa Ngadziore (25), anadaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana na kisha kutupwa takriban kilomita 50 kas . . .
Wapiganaji wenye itikadi kali kaskazini mashariki mwa Nigeria wamewauwa takriban wanakijiji 37 katika mashambulio mawili tofauti, kwa mujibu wa wakaazi katika maeneo hayo.Wapiganaji hao wenye itikadi . . .
Sababu za Moto uliowaka Mwanza Mjini,Kamanda Kamila Rabani wa Jeshi la Zimamoto Aweka wazi . . .
Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya . . .
Askari Polisi kitengo cha Usalama Barabarani Sajenti Stella Alphonce, amefariki dunia baada ya kugongwa na gari ya shule asubuhi ya leo Novemba 1, 2023 wakati akitekeleza majukumu yake ya ukaguzi bara . . .
Nchini Nigeria, zaidi ya watu 70 hawajulikani walipo, kufuatia ajali ya boti iliotokea mwishoni mwa juma lililopita katika jimbo la tabara kaskazini mwa nchi hiyo.Wafanyakazi wa uokoaji nchini humo wa . . .
Mwanamke anayedaiwa kumuua mwanawe wa mwaka mmoja ili kusafiri hadi Umoja wa Falme za Kiarabu kutafuta kazi amepatikana na hatia na Mahakama Kuu mjini Mombasa. Jaji Anne Ong'injo alimpata Happy M . . .
Mwanamke mmoja amekamatwa baada ya kudaiwa kuwaua watoto wake wawili wa kambo kwa kuwapa chakula chenye sumu.Komuhendo Harriet alikamatwa baada ya watoto hao watatu kupoteza fahamu na kukimbizwa katik . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 7 kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadae kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Nooh Hussein (29) M . . .
Takriban watu 48 wamekufa kufuatia kimbunga Otis kilichopiga pwani ya kusini katika bahari ya Pasifiki nchini Mexico.Mji wa Acapulco ndio ulioathirika zaidi. Viongozi wa Mexico wamesema idadi ya vifo . . .
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na kam . . .
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, ACP Pius Lutumo amesema idadi ya waliofariki katika ajali ya Barabarani iliyosisha magari mawili kugongana uso kwa uso, imeongezeka na kufikia watu wanne kufuatia kifo . . .
Wanawake na wasichana wako katika hali mbaya na hatari Afghanistan, kufuatia matetemeko ya ardhi ya hivi karibuni kwa sababu ya migogoro ya kibinadamu na haki za kiraia tangu Taliban kutwaa mamlaka, a . . .
Miili ya watu 28 imepatikana kutoka Mto Kongo baada ya mashua waliyokuwamo kuzama kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Chrispin Mputu, waziri wa mambo ya ndani wa eneo hilo, amethi . . .
Mwanafuzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Gibaso iliyopo wilayani Tarime mkoani Mara, amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye shimo wakati akichota maji katika shimo lililochimbwa kwa ajili ya u . . .
Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi la Jumamosi la kipimo cha 6.3, Afghanistan imepita 2,400 huku timu za utafutaji na uokoaji zikiondoa miili zaidi kwenye magofu ya mamia ya nyumba zil . . .
Mamlaka za usalama za Israel, imesema wameyashambulia maeneo ya kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza na miili ya wanamgambo 1,500 imepatikana katika miji ya kusini iliyokombolewa na jeshi, katika mapa . . .