logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Afrika
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Watu 16 wauwawa katika shambulizi Nigeria

Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu 16 wakati wa shambulizi kaskazini magharibi mwa Nigeria, serikali ilisema Jumapili.Washambuliaji hao walivamia eneo la Serikali ya Mtaa ya Zangon Kataf katika . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Adaiwa kumuua mkewe kisha kumfikia kwenye shimo lililosakafiwa na zege

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema  tukio hilo la mauaji liligundulika  machi 7 mwaka huu majira ya saa 9.30 aliasiri.Katika hali isi . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

ELON MUSK HANA AMANI NA MTANDAO WA TWITTER

Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ.Mfanyakazi huyo . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Waziri Mkuu wa zamani akamatwa

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Muhyiddin Yassin amekamatwa na Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini humo, ikimtuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo ubadhilifu katika mradi wa Jana Wibawa unaohusishwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

Mama atupa kichanga kisa ugumu wa maisha

Prisca Lameck mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Nyakato jijini Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake mwenye umri wa miezi mitatu akidai kuwa ugumu wa Maish . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 7, 2023

9 wafariki ajalini Katavi, 30 wajeruhiwa

Watu tisa wamefariki na wengine 30 wamejeruhiwa kwa  ajali iliyotokea katika Mlima mkali wa Nkondwe, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi.Ajali hiyo imehusisha basi (Tata) lenye nam . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 6, 2023

Afariki akifanyiwa maombi na mchungaji

Mtoto Consolanta Charles mwenye umri wa miaka 16 katika Kitongoji cha Mkuyuni Kijiji cha Magamba Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki dunia wakati akipatiwa huduma ya maombi kwa mchungaji.Imeele . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 5, 2023

Daktari aua Watoto Wake Wawili Kabla ya Kujiua yeye Kisa Mapenzi

Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Anayesakwa kwa kumuua mkewe Moshi, amtumia ujumbe mama mkwe

Mtuhumiwa wa mauaji ya kikatili ya mwanamke aliyekuwa akiishi naye kama mkewe Wilayani Moshi, amemtumia ujumbe mama mkwe akieleza mazingira ya mauaji hayo.Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamsaka . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Jamaa Anaswa na Maiti Kwenye Begi Lake Akidai Ni Mke Wake wa Kiroho

Polisi nchini Peru wamemkamata msafirishaji wa bidhaa baada ya kupatikana na maiti ya kale katika begi lake. Mwanamume huyo ambaye alikuwa akiisafirisha maiti hiyo na marafiki zake wawili, wakiwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 2, 2023

Mtoto ajiua baada ya kukaripiwa na ndugu zake

Mwanafunzi wa darasa la sita, katika shule ya msingi Lyoto, Kata ya Ilemi jijini Mbeya, Ibrahim Edson (12), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani chumbani kwake, chanzo kikid . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 2, 2023

Watoto wawili wajinyonga

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, ACP Isack Mushi amesema Jeshi hilo linafanya uchunguzi wa matukio mawili ya vifo vya watoto wawili wanaodaiwa kujinyonga ambapo mmoja alichukua hatua hi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 2, 2023

‘Kigogo’ ashtakiwa kwa mauaji, treni iliyoua 43 Ugiriki

Msimamizi Mkuu wa kituo cha treni cha Larissa nchini Ugiriki, ameshtakiwa kwa makosa ya kuua bila kukusudia baada ya ajali ya treni kusababisha vifo vya watu 43, wiki hii.Umoja wa wafanyakazi wa Reli . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 2, 2023

Abiria wanusurika kifo Pwani

Abiria waliokua wanasafiri na basi la Happy Nation lililokua likitokea mkoani Kagera kuelekea Dar es salaam wamenusurika kifo kufuatia gari hilo kupata ajali katika eneo la Vigwaza Mlandizi mkoani Pwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 28, 2023

Kagera yaongoza kwa mauaji na kujinyonga

Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Maketi Msangi amesema mkoa huo unaendelea kuongoza kwa matukio ya mauaji, kujinyonga na kujeruhi, ambapo kwa kipindi cha mwaka jana kulikuwa na matukio yasiyo . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • February 27, 2023

Rais amfuta kazi Kamanda wa vikosi vya Pamoja

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amemfukuza kazi Kamanada wa Operesheni ya vikosi vya pamoja Meja Jenerali Eduard Mykhailovich Moskalov.Zelensky hakutoa maelezo ya kufukuzwa kwa Moskalov, lakini ni . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 24, 2023

Mwanajeshi afikishwa Mahakamani kwa kumkaidi Trafiki

Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa amesoma mashtaka ya Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ), MT 89487 CPL Hamis Ramadhan (36) katika Mahakama ya a Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam akikabili . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 23, 2023

Muhimbili "Hakuna Taarifa ya KIFO Mpaka Sasa Ajali ya Basi la Mwendo Kasi"

Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga imesema imepokea Majeruhi 37 waliotokana na ajali ya leo asubuhi ya Basi la abiria la ‘mwendokasi’ kugongana na gari dogo eneo la Kisutu Jijini Dar es salaam.Ka . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • February 22, 2023

Rais Samia awatakia Kwaresma njema Wakristo wote

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote nchini. ”Nawatakia Kwaresma njema Wakristo wote. Katika hija hii ya kiroho mnayoianza leo kw . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 22, 2023

Wanajeshi 15 wa Burkina Faso wauawa katika shambulio la wanamgambo wa kiislamu

Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu wameua wanajeshi 15 katika eneo la kaskazini mwa Burkina Faso lenye ukosefu wa usalama, siku tatu baada ya shambulio la kushtukiza kuua wanajeshi 51, vyan . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Tetemeko jingine la ardhi lauwa watu 3 Uturuki

Tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu Jumatatu na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi ya maeneo ya Uturuki yaliyoharibiwa wiki mbili zilizopita na tetemeko kubwa lililoua m . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Mganga atoroka baada ya wateja wake kufariki

Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Kitela, mji mdogo wa Makongorosi, Chunya mkoani Mbeya, wamefariki dunia huku watatu wakinusurika baada ya kunywa dawa waliyopewa na mganga wa kienyeji kwa madai . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Aliyebaka na kuua mke wa mwenyekiti amakatwa

Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 21, 2023

Binti Aamkia Chumba cha MAITI Wakidhani Amekufa

Msichana mwenye umri wa miaka 17 ambaye aliripotiwa kufariki baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali  kwa madai ya kuiba ndizi katika mji wa Apac, Uganda, amepatikana akiwa hai katika . . .

Kurasa 28 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 13 dakika zilizopita

Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

Makala
news
  • 3 masaa yaliopita

Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Kalonzo "Sikuweka lami barabara ya kwangu Tseikuru sababu sijatawaliwa na ubinafsi"

Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Zelenskyy" Urusi itashambulia wakati wa Krismasi"

Michezo
news
  • 3 masaa yaliopita

Tanzania, Uganda na Kongo kutupa karata zao AFCON

Habari
news
  • 3 masaa yaliopita

Mzozo kati ya Washington na Abuja 'umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,' yatangaza serikali

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 13 dakika zilizopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 3 masaa yaliopita
  • Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

    • 3 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode