Takribani watu 150 wamekufa katika wilaya ya Itaewon mjini Seoul nchini Korea Kusini sehemu ambayo ni maarufu kwa burudani za usiku na kutembelewa zaidi na vijana na wageni huku ikiwa imesheheni migah . . .
Garry Richmond, mwanaume aliyepoteza fahamu na baadae kuvutiwa na kumuoa aliyekuwa mke wake kwa mara ya pili bila ya kujua.Inaelezwa kuwa Garry Richmond, alipoteza fahamu kwa muda mrefu na baada ya ku . . .
Mkulima mmoja amewashangaza wengi baada ya kubainia kuwa aliwapachika mimba dada wake watatu wa tumbo moja.Ripoti zinasema kuwa ndugu hao wanne walilelewa na wazazi wakali na hawakuwa na uhuru mkubwa . . .
Mwanamke mwenye umri wa kati kutoka kaunti ya Meru, amenusurika kifo jana Jumanne, Oktoba 25, baada ya wakazi wenye hasira kumvamia nyumbani kwake akidaiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mwanawe . . .
Shambulizi la angani la jeshi la Marekani limewalenga waasi wa al-Shabab waliokuwa wakishambulia vikosi vya Jeshi la Taifa la Somalia, na kuwaua wawili kati yao, kwa mujibu wa Kamandi ya Marekani bara . . .
Flora juma mwenye umri wa mika 18, amabe alikua akifanya kazi za ndani katika familia moja iliyopo mtaa kombo masai, kata ya malolo mkoani tabora, amejikuta matatatni kwa kuuhumiwa na bosi wa kuwa bin . . .
Jeshi la Burkina Faso, limesema wanajeshi wake 10 wameuawa jana Jumatatu, baada ya kushambuliwa katika eneo la Djibo, kaskazini mwa nchi hiyo.Jeshi limetaja shambulizi hilo dhidi ya kambi ya kikosi ch . . .
Takriban watu watatu, akiwemo mshukiwa wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya ufyatuaji risasi katika shule ya sekondari iliyopoSt Louis, Missouri. Mtu mwenye silaha aliingia katika shule ya . . .
Paka wa ajabu ameibuka na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoani Songwe ambapo wananchi wa eneo hilo wanadai kuwa paka huyo amekuwa akiandika barua na kuziacha mlangoni kwa mama m . . .
Mwandishi habari maarufu wa Pakistan,Arshad Sharif ameuwawa kwa kupigwa risasi kichwani usiku wa kuamkia leo katika barabara kuu ya Nairobi-Magadi nchini Kenya. Taarifa za awali zinasema Ars . . .
Polisi nchini Kenya imeimarisha operesheni za usalama katika mji wa Mandera uliopo mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, na kuwasaka wapiganaji wa al-Shabaab waliovamia misikiti miwili na baadaye . . .
Kizaazaa kilishuhudiwa katika uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza baada ya mwanamume kuvua nguo zake na kwenda haja kubwa katika ndege ya British Airways.Kwa mujibu wa jarida la . . .
Takriban watu 50 waliuawa na karibu wengine 300 kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka nchini Chad siku ya Alhamisi huku mamia wakiingia mitaani kudai mabadiliko ya haraka kuelekea utawa . . .
Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali y . . .
Watu wenye silaha walivamia hospitali mbili katika mashambulizi tofauti kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria, afisa wa eneo hilo na shirika la misaada walisema Jumanne.Wahalifu wenye silaha nzi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Urusi kutumia ndege zisizo na rubani za Iran ili kuyashambulia maeneo ya Ukraine, kunaweka wazi kuwa Urusi imefilisika kisiasa na kijeshi licha ya miongo ka . . .
Makombora ya Russia yameharibu mitambo ya umeme na maji katika sehemu kadhaa nchini Ukraine leo Jumanne, katika hatua inayoonekana kama wanajeshi wa Russia kuharibu mifumo muhimu ya Ukraine kwa makusu . . .
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani Maluni ambaye alikuwa mkatisha tiketi za mabasi ya kampuni ya waid . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi mapya ya Urusi yaliohusisha makombora na ndege zisizo na rubani na kuyataja kama ugaidi dhidi ya raia. Ndege hizo zisizo na rubani zilizotumiwa . . .
Korea Kaskazini mapema leo imerusha kombora la masafa mafupi kuelekea katika bahari yake ya Mashariki na pia kutuma ndege za kivita karibu na mpaka na Korea Kusini, na kuongeza zaidi uhasama uliochoch . . .
jambo la kustaajabisha sana kusikia kwamba mtu anaweza akapoteza kiungo cha mwili wake, tena cha ndani katika njia tatanishi. Ndio hali iliyompata mwanaume mmoja kutoka taifa jirani la Ugan . . .
Mlinzi wa mkewe Raila Odinga, Ida Odinga, ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake Riat Kisumu.Inaarifiwa Barrack Jaraha alipigwa risasi na watu wasiojulikana Ijumaa aubuhi akiwa nyumban . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amesimamia mwenyewe majaribio ya makombora ya masafa marefu aliyoyaelezea kuwa ni mafanikio ya kupanuka kwa mpango wake wa nyuklia na kukua kwa uwezo wa jeshi . . .