logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

India yasimamisha kiwanda cha dawa iliyouwa watoto nchini Gambia

Mamlaka nchini India imesimamisha kazi za kiwanda kilichotengeneza dawa inayochunguzwa, ikishukiwa kusababisha vifo vya watoto 69 nchini Gambia. Shirika la Afya Ulimwenguni WHO lilitoa tahadhari wiki . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Wawili wafariki, wengine wajeruhiwa

Watu wawili wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya Toyota Coaster lililokuwa likisafirisha msiba kutoka mkoani Dodoma kwenda . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Mlinzi wa kanisa la Kangemi adaiwa kutoweka na mchango wa milioni 1.5 uliotolewa Jumapili

Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha Kangemi, kaunti ndogo ya Dagoretti, wameanzisha msako wa kumsaka mshukiwa anayedaiwa kuvunja kanisa na kuiba zaidi ya Shilingi milioni 1.5.Katika tukio . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Mashambulizi ya makombora Kyiv yasababisha vifo

Mashambulizi ya makombora katika miji ya Ukraine ukiwemo mji mkuu wa Kyiv, yamesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa leo Jumatatu, ikiwa ni siku moja baada ya Moscow kuishutumu Kyiv kwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Watu 76 wauawa katika ajali ya boti nchini Nigeria

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema kuwa karibu wasafiri wote waliokuwa katika boti iliyopinduka kwenye mto Niger wamekufa. Wafanyakazi wa huduma za uokozi wa dharura wamekwishathibitisha vifo vy . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 9, 2022

Moto Mkubwa Wazuka katika Daraja linalounganisha Crimea na Russia

Moto mkubwa uliosababishwa na bomu la kwenye gari umelivunja daraja kuu linalounganisha Crimea hadi Russia, eneo ambalo Russia ililichukua mwaka 2014, Moscow iliripoti Jumamosi, bila ya mara moja kuli . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Mama amchoma mkono mwanae akimtuhumu kuiba dagaa

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Somoe Mohamed mwenye umri wa miaka 34,   mkazi wa kata ya  Dihimba, halmashauri ya wilaya ya Mtwara, kwa tuhuma za kumchoma  moto mwanae &nbs . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Korea Kaskazini yafyatua tena makombora mengine

Korea Kusini na Japan zimesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora mengine mawili, siku mbili tu baada ya jaribio lake la mwisho. Shirika la Habari la Korea Kusini, Yonhap limeripoti kuwa Kor . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 6, 2022

Mwanafunzi wa darasa la saba achomwa moto mikono na mama yake

Helena Mashaka (13), mwanafunzi wa darasa la saba shule ya Shahende iliyopo Kata ya Butobela, mkoani Geita, amechomwa mikono yake kwa moto na Mama yake kwa tuhuma za kuiba shilingi 30,000 na kupelekea . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Amuua Mdogo Wake kwa Risasi Wakijaribu hirizi Kama itazuia Risasi

Mvulana miaka 12 kutoka Nigeria ameuawa na kaka yake alipokuwa akijaribu hirizi mpya ya “kuzuia risasi”, polisi wanasema.Wawili hao waliamini kuwa “wamejiimarisha kwa hirizi ya ulinzi”, kwa mu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Korea Kusini na Marekani zarusha makombora baada ya jaribio la Korea Kaskazini

Korea Kusini na Marekani zimefyatua makombora manne ya ardhini kuelekea katika Bahari ya Mashariki, inayojulikana zaidi kama Bahari ya Japan. Duru za kijeshi za Korea Kusini zimeeleza leo kuwa makombo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Somalia Yatangaza Kuua Kiongozi wa Al-Shabaab Katika Shambulizi la Ndege

Serikali ya Somalia imetangaa kuua kwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, Abdullahi Nadir kwenye shambulizi la ndege lililotokea Jumamosi, Oktoba 1.Shambulizi hilo lilitekelezwa n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Kwa Ajali Akiwa anamfuatilia Mumewe na Mchepuko Naye Amefariki

Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Wiki Zilizopita akiwa anamfuatilia “Mchepuko“ naye AmefarikiSonnie Bassey amekuwa katika hali ya kukosa fahamu “coma“ kutokana na mshtuko wa kumpoteza mke wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 30, 2022

Mtangazaji wa TV wa NBC Awa Gumzo

Mtangazaji wa TV Wa NBC ana trend baada ya kutumia Condom kufunika Mic yake akiwa na ripoti kuhusu Kimbunga Ian jimboni Florida. Kyla Galer aliwaambia watazamaji kuwa 'Hii ni condom, hatuwezi kulowesh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2022

Mlemavu wa macho amuua mama yake

Bibi mwenye umri wa miaka 87 anayefahamika kwa jina la Elina Nzilano mkazi wa mtaa wa Idofi halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe ameuawa na mwanae mwenye ulemavu wa macho (Kipofu) anayefahami . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Kimbunga Ian kimeacha nyumba milioni mbili bila umeme na kuharibu miundo mbinu Florida

Kimbunga Ian kiliwasili magharibi mwa Florida Jumatano kama kimbunga cha 4 chenye upepo wa zaidi ya kilomita 240 kwa saa, na kusababisha mafuriko mabaya katika maeneo kadhaa.Kimbunga Ian kilitua karib . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Magaidi wauawa na wanyama wakali.

Majeshi ya Msumbuji yamesema kwamba yamewakamata watu wanne ambao wanatokea vikosi vya kijihad nchini humo ambao wamekua wakiwakamata na kuwaua watu huku  vikosi hivyo vikitangaza kuwaua wengine . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Mjamzito adaiwa kubakwa hadi kufa

Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia mkazi wa Manispaa, Mohamed Njali, kwa tuhuma za kumdhalilisha kijinsia mama mjamzito, Atka Kivenule na kumsababishia kifo chake.Tukio hilo limetokea Jumamos . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Mfanyakazi auawa Kisa kukataa penzi la mtoto wa bosi

Grace Wangoi, 32, kutoka Kapkoi mkabala na Moi's Bridge mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, alikuwa msaidizi wa mzee mmoja raia wa Canada kabla ya mwanawe anayeishi Canada kumtembelea nchini Misri.Ak . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Sagini Aagiza Polisi Kuwasaka Watuhumiwa Wa Mauaji

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mara, kuhakikisha wanawasaka watuhumiwa waliohusika na mauaji ya Mzee Omary Iyombe Mkazi wa Kijiji cha Kizaru, . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 26, 2022

Padri Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto 10

Vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa watoto vinazidi kuitikisa nchi na sasa padri mmoja wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto zaidi y . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi Angola

Maelfu ya raia wa Angola waliandamana Jumamosi kupinga kile walichosema kuwa uchaguzi uliokuwa na dosari wa mwezi uliopita ambao ulikirejesha madarakani chama tawala cha MPLA baada ya takriban miongo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2022

Ndege yapitiliza njia na kutua ziwani

Ndege ya Shirika la Ndege la West Atlantic ilipitiliza njia jana wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa Ndege wa Montpellier nchini Ufaransa, na hatimaye kusimama pembeni mwa Ziwa.Ndege hiyo ya mizig . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Chanzo cha kifo cha Mchezaji Emiliano Sala Chafamika

rubani wa ndege iliyokuwa imembeba mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala aliwaambia rafiki zake kuwa ndege ile ilikuwa na matatizo kabla haijapata ajali.Emiliano SalaSauti ya rubani David Ibbotson (59) . . .

Kurasa 35 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Askofu Bagonza aonya dhidi ya ‘sumu’ zinazokwamisha maridhiano

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Polisi Babati wachunguza kifo cha mwanaume kijiji cha Mapea

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

RC Mara aagiza kurejeshwa jengo la WAMACU Tarime na Rorya

Makala
news
  • 12 masaa yaliopita

Hii hapa top 10 ya Magari Yaliyonunuliwa Zaidi Tanzania Mwaka 2025

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 6 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 9 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode