Daktari Litha Matinawe ambaye ni naibu mratibu wa huduma za afya kwenye jimbo la Eastern Cape , Afrika kusini, amesema kwamba ripoti ya kilichosababisha vifo vya vijana hivi karibuni imetolewa. . . .
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo . . .
Naibu waziri wa ulinzi wa Ukraine Volodymyr Havrylov amesema nchi yake inaazimia kuishambulia rasi ya Crimea iliyonyakuliwa na Urusi mwaka 2014, pamoja na jeshi la wanamaji wa Urusi walioko huko. . . .
Zaidi ya wahamiaji 30 Jumanne wamehukumiwa nchini Morocco kutokana na kujaribu kuruka uzio wa mpakani na eneo la Uhispania la Melilla mwezi Juni. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP. H . . .
Raia wa China ambaye alina . . .
Maelfu ya watu kutoka kabila la Hausa nchini Sudan wameweka vizuizi barabarani na kuzichoma moto ofisi za serikali, baada ya makabiliano makali ya kikabila katika jimbo la Blue Nile. Kufuatia maka . . .
Mataifa ya Ulaya Magharibi yanakumbwa na joto kubwa, ambalo sasa linaelezwa kuelekea katika mataifa ya Kaskazini . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya congo amesema Jumapili kwamba idara ya kijasusi ya nchi hiyo , imemkamata mwanahabari wa Marekani Starvos Nic . . .
Urusi jana ilianzisha tena mashambulizi yake katika eneo la Donbass Mashariki mwa Ukraine baada ya mapumziko ya muda mfupi ili kupanga tena vikosi vyake. Wakati wa ukaguzi wa vikosi vilivyohusika . . .
JESHI la Polisi Wilaya Kipolisi ya Kariakoo, jijini Dar jana Jumamosi limefanya jogging na wananchi wa eneo hilo kumalizia na bonge la tizi wakihamasisha uzalendo na kuimarisha afya zao.Jogging hi . . .
Taarifa mbaya kutoka Ziwa Victoria, zinamhusu mvuvi aliyejulikana kwa jina la Salehe Haruna (42) anatajwa kuzama maji katika eneo la Sweya wilayani Nyamagana mkoani Mwanza,Mkewe Salehe aitwaye Hel . . .
Jeshi nchini Togo limeomba msamaha kwa kuwaua vijana saba ambao linasema lilifikiri ni wanajihadi. . . .
Familia ya Donald Trump imesema mke wa rais huyo wa zamani wa Marekani, Ivana Trump alifariki mjini New York akiwa na umri wa miaka 73. Trump aliandika Alhamisi kwenye mitando ya kijamii . . .
Familia moja katika mtaa wa Rupingazi Mji wa Embu imejawa masikitiko na uchungu kufuatia kutoweka kwa watoto wao pacha wenye umri wa miaka 15. Leon Macharia na Ryan Mwenda, waliokuwa kidato cha pili k . . .
Wizara ya mambo ya kigeni ya Urusi, imeyatuhumu mataifa ya Marekani na Uingereza kwa kuwapa mafunzo wanajeshi wa Ukraine, Urusi ikitaja hatua hiyo ya mataifa ya NATO kama vit . . .
Marekani inadai ushindi mwingine dhidi ya kundi la Islamic State, ikisema ilimsaka, kumlenga na kumua mmoja wa viongozi wa tano wa ngazi ya juu wa kundi hilo la kigaidi, wakati wa shambulio la n . . .
Mapigano ya risasi kati ya magenge hasimu yamesababisha vifo vya watu 50 tangu Ijumaa karibu na mji mkuu wa Haiti wa Port-au-Prince, Meya wa eneo hilo alisema Jumatatu huku ghasia zikiendelea ku . . .
Mmoja kati ya watoto pacha waliotenganishwa Julai Mosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022.Taarifa iliyotolewa . . .
Kundi la kigaidi la Islamic State limethibitisha kuhusika kwenye shambulio la siku ya Alhamisi ambalo lililenga mji wa Lume, jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo . . .
Maafisa wa Ukraine wamefahamisha kuwa watu 15 wameuawa baada ya majeshi ya Urusi kulishambulia kwa makombora jengo la ghorofa tano katika mji wa mashariki mwa Ukraine wa Chasiv Yar. Gavana wa jimb . . .
Polisi nchini Afrika Kusini, imesema watu 19 wameuawa mwishoni mwa juma lililopita, wakati watu wenye silaha waliposhambulia maeneo mawili tofauti ambayo watu walikuwa wakibu . . .
Waandamanaji wa Sri Lanka Jumapili wamesema wataendelea kukalia makazi rasmi ya rais na waziri mkuu mjini Colombo hadi viongozi hao wawili watakapoondoka mamlakani rasmi . Maelfu ya waand . . .
Polisi ya Tunisia imewazuia mamia ya waandamanaji kufika katika ofisi za tume ya uchaguzi, wakati waandamanaji wakimiminika barabarani kupinga kura ya maoni juu ya katiba mpya yenye utata ambayo i . . .
Waziri mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amefariki baada ya kupigwa risasi wakati akiwa katika mkutano wa kampeni katika mji wa Nara siku ya Ijumaa.Shirika la habari la Japan NHK limeonesha video . . .