Bunge la Japan limepitisha mswada wa sheria mpya ya kudhibiti matusi mitandaoni ambayo inatarajiwa kusainiwa na Rais wa nchi hiyo ambayo inatoa hukumu ya mwaka mmoja jela au faini ya Yen 300,000 a . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuchukua msimamo ulio wazi zaidi katika mzozo wa taifa lake na Urusi.Akizungumza na kituo cha televisheni cha Uj . . .
Mahakama nchini Senegal Jumatatu ilimhukumu kiongozi mtoro wa waasi na wanaume wengine wawili kifungo cha maisha jela kwa mauaji pamoja na uasi wa kutumia silaha kutokana na mauaji yaliyogharimu . . .
Watu wenye silaha waliwaua takribani raia 100 katika wilaya ya mashambani kaskazini mwa Burkina Faso karibu na mpaka na Niger mwishoni mwa wiki chanzo cha usalama kilisema. Washambuliaji waliw . . .
Nchini Burkina Faso, watu wenye silaha waliwashambulia wakazi wa eneo la Seytenga, karibu na mpaka na Niger usiku wa Jumamosi Juni 11 kuamkia Jumapili Juni 12, shambulio amba . . .
Mamlaka katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ilisema wanajeshi wa Rwanda wakiwa na silaha walisaidia mashambulizi yanayofanywa na kundi la waasi wa M23 siku ya Juma . . .
Vikosi vya Russia vilishambulia kwa mabomu kiwanda cha kemikali kinachohifadhi mamia ya wanajeshi na raia katika mji wa Sievierodonetsk huko mashariki mwa Ukraine siku ya Jumapili lakini gavana . . .
Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Toufiq ameibua sakata la kikundi cha uhalifu maarufu Panya Kalowa ambacho amesema kinawasumbua wananchi wa Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma. Toufiq ametoa kau . . .
Mwili wa padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya wa Shiriki wa Wasionari wa Afrika (White Father), Michael Samson umeokotwa jijini Mbeya.Mwili huo umeokota katika mto Meta meaneo ya Sabasaba j . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela aliyejitangaza kuwa rais wa mpito Juan Guaido, ameshambuliwa kimwili hapo jana.Video zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii na tovuti ya kituo cha habari . . .
Ukraine imesema leo kuwa imeyapiga maeneo ya jeshi la Urusi katika mkoa wa kusini wa Kherson ambako jeshi la Kyiv linapambana kulikomboa eneo lililokamatwa na wanajeshi wa Moscow katika siku za mw . . .
Watu 7 waliuawa katika shambulio kwenye kambi ya waliyohama makazi yao katika eneo la mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lenye ukosefu wa usalama, polisi wamesema Alhamisi †. . .
Watu 19 wamefariki dunia baada ya basi dogo aina ya Costa kugongana kugonga lori lililokuwa limeharibika karibu na eneo la Changarawe, Mafinga mkiani Iringa.Akizungumza i leo Ijumaa Juni 10, 202 . . .
Katika siku ya 106 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Alhamisi Juni 9, fuata moja kwa moja taarifa za hivi punde kuhusu mzozo huo. . . .
India inakabiliwa na shinikizo la kidiplomasia kuhusu matamshi yenye utata yaliyotolewa na afisa w angazi ya juu wa chama tawala cha nchi hiyo - Bharatiya Janata Party (BJP) ambaye alimtusi Mtu . . .
Mamlaka nchini Ukraine imesema wafanyikazi wamepata miili zaidi ya watu kutoka vifusi vya majengo yaliyoharibiwa kwa vita mjini Mariupol, wakati kukiwa na wasiwasi wa kuongezeka kwa mzozo wa chaku . . .
Makundi ya waathirika nchini Gambia Jumatano yameitaka serikali kuchukua hatua madhubuti kumrudisha rais wa zamani Yahya Jammeh wiki mbili baada ya serikali hiyo kuahidi kumfungulia mashtaka kwa . . .
MTU na mkewe waliokuwa wametengana kwa miezi mitatu walifariki saa chache baada ya kurudiana pikipiki walimosafiria ilipogongana na lori kwenye msafara wa kampeni kaunti ya Meru. Jackson Mawira a . . .
Mwanamke Mmarekani amekiri kuongoza batalioni ya wanawake pekee ya wanawake wa kile kinachoitwa kikundi cha Islamic State nchini Syria, pamoja kupanga njama za mashambulizi katika ardhi ya Marekani . . .
Kikosi cha kimataifa kinachojumuisha wanajeshi kutoka Nigeria, Niger, Cameroon na Chad Jumanne kimesema kiliua zaidi ya wanamgambo wa kiislamu 800 katika kipindi cha miezi miwili katika eneo len . . .
Russia imekabidhi kwa Kyiv maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakiulinda mji wa Mariupol usitekwe na wanajeshi wa Russia katika mapigano makali yaliyofanyika kwenye k . . .
Mvutano wa kidiplomasia kati ya China na Canada unaongezeka tena, wakati kila mmoja akimshtumu mwenzake kwa uchochezi kwa kutumia ndege zao za kijeshi zinazoruka karibu na Korea Kaskazini. Mapema . . .
Mamlaka na mashahidi wamesema shambulio katika kanisa katoliki magharibi mwa Nigeria limeonyesha kila dalili kwamba lilikuwa ni tukio la kupangwa. Licha ya washambuliaji hao kutotambulika, wataala . . .
Wanajeshi wawili wa DRC wameuawa Jumatatu katika mapigano dhidi ya waasi wa M23 huko mashariki mwa nchi, jeshi la DRC limesema. Ni ghasia za hivi karibuni katika mzozo huo wa muda mrefu a . . .