logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

WANANCHI WATAKIWA KUWA WAZALENDO WA NCHI YAO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa  ametoa wito kwa wananchi kuonyesha uzalendo kwa kutokubali kwa namna yoyote ile kutumika au kushiriki katika njama yoyote ya kuisaliti nchi ya . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

TETESI ZILIZOPO KUHUSU MBOWE KUJIUNGA CHAUMMA

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hashim Rungwe amesema hana tatizo lolote kupokea msaada kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) endapo utatolewa kwa nia njema akisisitiza kuwa siasa si . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

DK,TULIA AWANIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UYOLE

Siku chache baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson kutangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kupigana vikumbo Mbeya Mjini . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

CHADEMA KUTOFUATA UAMUZI WA MSAJILI MKUU WA VYAMA VYA SIASA

Kamati Kuu ya CHADEMA, imeazimia kuwa haitofuata maamuzi ya Msajili mkuu wa Vyama vya siasa ambayo pamoja na mambo mengine yaliyolenga kutengua uteuzi wa Wajumbe wanane wa Sekretarieti na Kamati Kuu y . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 24, 2025

MBUNGE ANYWA BIA KWENYE KIATU BUNGENI

Mbunge wa Chama cha Wafanyakazi Australia Magharibi Kyle McGinn amemaliza muda wake wa mihula miwili Bungeni kwa kuvua kiatu chake na kumimina bia kwenye kiatu na kisha kunywa.McGinn amefanya tukio hi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 23, 2025

CHADEMA MBIONI KUJADILI MUSTAKABALI WA DEMOKRASIA NCHINI

Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema watawala wanatumia mifumo yao kutaka kujaribu kutengeneza vyama mbadala ili kuziba pengo la Chadema la chama kikuu cha upinzani huku akisisitiza kuwa vita hi . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 19, 2025

Gachagua Akiri ni Vigumu Kushawishi Watu wa Nyanza Kuingia Chama chake Kipya

Hata kama naibu wa rais wa zamani Rigathi Gachagua anafuraha kuhusu chama chake kipya kuwa nguvu mpya katika ulingo wa kisiasa wa eneo hilo, anashukuru kwamba kupenya katika baadhi ya maeneo huenda is . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • May 19, 2025

DK, SLAA NA HECHE KUWASILI MAHAKAMA YA KISUTU

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara John Heche pamoja na Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho, Dk Wilbroad Slaa wamewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu  Mei 19, 2025 kwa ajil . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • May 19, 2025

LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO MAPEMA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo May 19,2025 ambapo hivi ndivyo hali ilivyo nje ya Mahakama hiyo muda huu saa 12 asubuhi Po . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 18, 2025

ZOEZI LA MABORESHO YA DAFTAR LA MPIGA KURA YAENDELEA

 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele ametembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na uwekaji wazi wa daftari l . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 18, 2025

CHADEMA WAFANYA MKUTANO WILAYANI KAHAMA MKOA WA SHINYANGA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Heche amewaomba Watanzania kukiunge mkono chama hicho wakichangie na wakitetee. Heche ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wake wa h . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 18, 2025

CCM KUFANYA MKUTANO MKUU MEI 29_MEI 30

Chama cha Mapinduzi CCM kimetangaza kufanya Mkutano Mkuu Maalum utakofanyika Dodoma tarehe 29 na 30 ukiambatana na agenda kuu tatu ikiwemo kupokea taarifa ya miaka mitano ya utekelezaji wa Uchaguzi 20 . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 16, 2025

Tume kutoa uamuzi wake juu ya ombi la kuvuliwa kinga Joseph Kabila

Bunge la Seneti limeanza kuchunguza ombi la kumvua kinga ya useneta rais wa zamani Joseph Kabila siku ya Alhamisi, Mei 15. Akishutumiwa na mamlaka ya Kongo kuwa mshiriki wa kundi la waasi la AFC/M23, . . .

Kitaifa
  • Na Jacobmlaytz
  • May 12, 2025

SABABU ZA HECHE KUNYIMWA UWANJA WA FURAHISHA MWANZA

Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche amezungumza kuhusu yale yanayoendelea ndani ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema akisema anakuja Mwanza kufanya ziara maalamu.Tazama zaidi hapa kuyasiki . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2025

Katibu wa BAWACHA Kilimanjaro aondoka CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu ametangaza kuachana na Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA).Kiwelu ambaye ni Mwenyekiti K . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2025

Kesi ya Uhaini ya TUNDU Lissu Bado Upelelezi Haujakamilika

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwaAkizungumza mbele ya Mahakama katik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2025

CCM Yamjibu Jaji Warioba, Yasema Haina Mgogoro na Chadema

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina migogoro na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwani wanahusiana vizuri na chama hicho na kwenye chama cha vyama vya siasa (TCD)wanashiriki vizuri na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 2, 2025

MNEC Hemed"Vijana msitumiwe na Vyama vya Siasa"

Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha mapinduzi Taifa Mkoa wa Ruvuma MNEC Hemed Challe, akiwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Seneti ya Vyuo Mkoani Ruvuma kupitia CCM, yaliyofany . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 20, 2025

Heche Aonana na Tundu Lissu Gerezani

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche ni mmoja wa Viongozi waandamizi wa Chama hicho waliofika gereza kuu la Ukonga kumuona Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu lissu aliyehamishiwa gerezani ha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 30, 2025

NCCR Mageuzi Yamteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania

Chama cha NCCR Mageuzi Machi 29, 2025, kimetangaza kumteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Joseph Roman Selasini kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi mkuu unao . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 22, 2025

Lissu Ashinda Nafasi ya Uenyekiti Chadema, Heche Makamu Mwenyekiti Bara

Tundu Lissu ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada ya kupata kura 513 kati ya kura 996, sawa na asilimia 51.5.Freeman Mbowe yeye amepata kura 482 kati ya kura 996, sawa na as . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 20, 2025

CHADEMA YAPITISHA MAKADA WAKE

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jumapili Januari 19, 2025 kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu.Hatua ya kupitishwa kwa wagombea hao, imekuja baada yakusailiwa katika . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 15, 2025

Uchaguzi wa wabunge Comoro

Nchini Comoro, matokeo ya muda ya uchaguzi wa wabunge yamechapishwa jana, Jumanne Januari 14 jioni na Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi baada ya kuchelewa kwa zaidi ya saa tatu kwa muda uliopangwa. Hali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 14, 2025

Godbless Lema Afichua Jambo la Mbowe Kutaka Kuachia Nafasi ya Uongozi Chadema

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amefichua taarifa za kushangaza kuhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.Akizungumza na waandishi wa habari jiji . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 5, 2024

Wabunge wa Ufaransa wapiga kura ya kuiondoa serikali ya waziri mkuu

Wabunge wa Ufaransa Jumatano wamepiga kura ya kuiondoa serikali ya waziri mkuu Michel Barnier baada ya miezi mitatu tu ikiwepo madarakani, katika hatua ya kihistoria ambayo inaiweka tena nchi hiyo kat . . .

Kurasa 6 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Maafisa uhamiaji 3 wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

Matukio
news
  • 4 siku zilizopita

Uzembe ndiyo chanzo cha ajali iliyoua 5 Songwe

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

RC Mhita akagua athari za mvua Shinyanga

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Roger Lumbala ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa uhalifu dhidi ya binadamu

Matukio
news
  • 6 siku zilizopita

Mpigania demokrasia Lai atiwa hatiani Hong Kong

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 11 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode