Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Petroli (OPEC) Mohammed Barkindo ameonya maofisa wa Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo kwa Urusi amb . . .
Mtoto Spora Sambalya mwenye miaka sita (6) na mwanafunzi wa darasa la awali Shule ya Msingi Kidinda mkoani Simiyu amenusurika kifo baada ya . . .
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ limeafiki mashindano makubwa ya Quraan kufanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili (Apr . . .
Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Deogratius Ndejembi amesema watumishi wa umma 1,477 wamesimamishwa kazi . . .
Baraza la Madiwani Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limemuondoa madarakani Meya wa Manispaa hiyo, Juma Raibu kwa tuhuma mbalimbali i . . .
Pakistan leo Jumatatu inapiga kura kumchagua kiongozi wa upinzani Shehbaz Sharif kama waziri mkuu mpya wa nchi hiyo, siku moja baada ya . . .
Wanajeshi wa Israel Jumapili wameua wanawake wawili wa Kipalestina baada ya mmoja kuwakimbilia wanajeshi na mwingine kumchoma kisu mwa . . .
Benki ya Dunia imesema kuwa uchumi wa Ukraine unatarajiwa kudorora kwa karibu nusu kutokana na uvamizi wa Urusi kufunga biashara na kupung . . .
Waziri mkuu mstaafu Mhe David Cleopa Msuya katika miaka 100 ya hayati baba wa taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ameelezea falsafa muhimu wa . . .
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ameipeleka Yanga, nusu fainali huku kocha wao Nasreddine Nabi akionyeshwa kadi nyekundu kutokana na utovu wa . . .
UKIONA Simba inavyobadilisha ndege kila mara kwenye safari zake za mechi za kimataifa, iheshimu.Sio Simba tu, hata vigogo wengine kama Yan . . .
Ukraine imedai kuwa imegundua miili zaidi ya watu 1,200 karibu na mkoa wa Kyiv, katika mauaji yanayodaiwa kufanywa na Urusi. Mwishoni mwa . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anaongoza katika duru ya kwanza ya uchaguzi uliofanyika jana Jumapili akifuatiwa na mpinzani wake wa kari . . .
Wanaume tisa wakutwa na viashiria vya Saratani ya tezi dume ambao ni sawa na Asilimia 17 ya waliojitokeza kwenye kampeni ya uchunguzi wa . . .
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 02 . . .
Kufuatia kuvunjwa vioo vya madirisha ya madarasa 12 katika shule ya Sekondari Kibedya iliyopo wilayani Gairo mkoani Morogoro, uongozi wa . . .
Ni saa 2.00 usiku, kwenye kibanda cha kuonyesha video maarufu kwa jina la ‘kibanda umiza’ eneo la Semtema, Manispaa ya Iringa.Katika kib . . .
"Ninaamini kwamba kuungana na Urusi ni lengo letu la kimkakati na matarajio ya watu. Tutachukua hatua zinazofaa za kisheria katika siku . . .
Elon Musk ameamua kutojiunga na bodi ya Twitter, afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Parag Agrawal anasema.Uteuzi wa Bw Musk ulipaswa kua . . .
Watu wenye silaha wameshambulia vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria na kuua takriban watu 26.Washambuliaji hao waliokuwa kwen . . .
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema zoezi la uwekaji wa anwani za Makazi limefikia asilimia 68 huku . . .
Klabu ya Dortmund ya Ujerumani imethibitisha kuwa nyota wake Gio Ryena ataukosa Msimu wote uliosalia 2021/22 kutokana na majeraha.Ryena aliu . . .
Katika siku ya 46 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine tarehe 10 Aprili, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alifanya ziara ya ghafla nchin . . .
ais wa Tanzaniza, Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi nembo ya sensa na kutangaza siku ya sensa ya watu na makazi itakuwa Jumanne Agosti 2 . . .
Watu wasiopungua 35 wamekufa leo na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya roketi kukipiga kituo cha treni katika mji wa Kramatorsk . . .
Morocco na Uhispania zimekubaliana kufungua ukurasa mpya wa mahusiano baada ya serikali mjini Madrid kutangaza kuunga mkono ajenda ya Moro . . .
Faharasa mpya iliyochapishwa leo imeonesha kuwa bei ya vyakula duniani imepanda na kufikia rekodi ya juu kabisa mnamo mwezi Machi baada ya . . .
Uongozi wa Mtibwa Sugar umeshindwa kusema lolote kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Beki wao Mzawa Abdi Banda . . .
WAKALA wa barabara Mijini na Vijijini Tarura umetoa taarifa kwa umma kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitish . . .
Baraza la Seneti la Marekani lilimthibitisha Jaji Ketanji Brown Jackson katika Mahakama ya Juu ya Marekani Alhamisi kwa kura 53-47 . . .
Korea kusini na Marekani wanajiandaa kwa uwezekano wa jaribio la nyuklia la Korea kaskazini huku mivutano ikiwa juu baada ya onyo la wik . . .
Zaidi ya theluthi mbili za Waafrika wanaweza kuwa waliambukizwa virusi vya Covid katika miaka miwili iliyopita, ikiwa ni mara 97 zaidi . . .
Moto ulionza leo Ijumaa Aprili 8, 2022 alfajiri umeteketeza vibanda 36 katika Soko la Kurume lililopo Dar es Salaam baada ya kuunguza sehe . . .
Rais wa Yemen aliyekuwa uhamishoni amemfuta kazi makamu wake, kisha akajiuzulu, na kukabidhi madaraka kwa baraza la rais kwa lengo la ku . . .
Mahakama nchini Nigeria imeagiza Serikali kutekeleza sera ya usawa wa jinsia inayoeleza kuwa 35% ya uteuzi wa nyadhifa katika ofisi za . . .
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amehudumu kama Kiongozi wa nchi kwa kipindi cha miezi minane bila malipo tangu achukue hatamu za uongozi . . .
Nchi ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya mabinti wawili wa Rais wa Urusi Vladimir Putin kutokana na ukatili wa Urusi nchini Ukraine kwa . . .
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesisitiza taasisi na Wadau kushirikiana katika kuhamasisha wananchi kuchangia damu ili kuok . . .
Mahakama ya Uturuki imeamua Alhamisi, Aprili 7, kurejesha nchini Saudi Arabia faili ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari wa S . . .