logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Adekunle katuonesha alivyorekodi wimbo na msanii wa Marekani

Ni Mkali kutokea Nigeria, Ade . . .

Jembe Maktaba
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Ujasiri wa maisha, mama lishe hadi dereva

“Nilizoea kuwa mkarimu kwa wateja wakati nafanya biashara ya mama ntilie kwakuwa lazima uwe mchangamfu ili uwavute wateja, lakini moyo . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Neema yawadondokea Ray, JB

WAANDAAJI wa filamu Afrika Mashariki hususa ni waandishi wa miswada (script writters) watanufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Malkia Elizabeth aambukizwa virusi vya Corona.

Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona hii leo. Kasri la Buckingham limesema, Malkia ana dalili za ka . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Spika Justin Muturi Aanika Familia yake Mara ya Kwanza.

Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kwa mara ya kwanza, ametambulisha familia yake kwa Wakenya akielekea kutawazwa mgombeaji wa urais wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Moses Kuria Ataka Livondo Akamatwe kwa Kudai Kulikuwa na Njama ya Kumuua Uhuru.

Mbunge wa Gatundu Kusini, Moses Kuria amejitenga na madai ya mwanasiasa Stanley Livondo kwamba kulikuwa na njama ya kuangamiza maisha ya Rai . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

DP Ruto " Ataendelea Kujipigia Debe kwa Ufanisi wa Miradi ya Serikali ya Jubilee."

Naibu Rais William Ruto anasema kuwa ataendelea kujipigia debe kwa ufanisi wa miradi mbalimbali ya serikali ya Jubilee katika miaka kumi ya . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Wakenya Wazindua Kampeni Mitandaoni Wakitaka Serikali Ipunguze Bei ya Chakula.

Sehemu ya Wakenya wenye hamaki wametumia mitandao ya kijamii kupinga bei ghali ya bidhaa muhimu.Katika siku za hivi majuzi, Wakenya wamelazi . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Hawajui Maisha Hao

MWANAMAMA mtata kunako Bongo Flevani, Gift Stanford almaarufu Gigy Money, anasema kuwa, asilimia kubwa ya watu wanaokesha kumsema vibaya . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Lulu" Sijawahi Kupanda Bodaboda"

ELIZABETH Michael au Lulu ni mwigizaji ambaye ni nembo ya Bongo Movies kwani alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka mitano pekee! Lulu ameji . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Putin na Biden wakubaliana kufanya mkutano wa kilele kuhusu Ukraine

Rais Joe Biden wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wamekubaliana umuhimu wa kufanyika kutano wa kilele kuhusu Ukraine, ambao . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Ethiopia yaanza kuzalisha umeme katika bwawa la mto Nile

Bwawa lenye utata la Ethiopia kwenye mto wa Nile lilianza kuzalisha umeme kwa mara ya kwanza Jumapili, kulingana na runinga ya serikali . . .

Makala
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Mwanaume aliyeishi katika msitu kwa miaka 30 Singapore

Singapore inajulikana kwa kuwa mojawapo ya nchi zilizo na miji mikubwa zaidi ulimwenguni, bila ukosefu wa majengo marefu na ya kifahari. . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Akamatwa kwa kuoa wanawake 17

Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Juhudi za kidiplomasia zaendelea

Urusi imesema inaendelea kuviondoa vifaru na magari mengine ya kivita kutoka kwenye maeneo ya karibu na mipaka ya Ukraine, baada ya kuma . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Waasi wa Ukraine wadai kushambuliwa na wanajeshi wa serikali

Waasi wanaoiunga mkono na Urusi nchini Ukraine wamevituhumu vikosi vya serikali kwamba vimeshambulia kwa makombora kijiji kimoja hii leo. . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Wafahamu wanawake watano Afghanistan waliokataa kunyamazishwa

Ni theluji tu. Wakati baridi likiwapiga idadi kubwa ya watu wa Afghanistan wenye njaa, theluji yenye muonekano wa binadamu inaonekana in . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

WANA KESI YA KUJIBU

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na w . . .

Afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Dereva auawa baada ya basi la shule kuvamiwa na majambazi Kenya

Dereva wa basi la shule ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya majambazi kuvamia msafara wa mabasi matatu huko Marakwet katika eneo la Ker . . .

Magari
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Michael Masi aondolewa kama mkurugenzi wa mbio za F1

Michael Masi ameondolewa kama mkurugenzi wa mbio za magari ya langalanga kama sehemu ya urekebishaji katika bodi ya FIA kufuatia mashindan . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Kijiji nchini Ghana ambapo kuzaa kumepigwa marufuku

Kijiji cha Mafi Dove kilichoko kusini mwa Ghana kinachukuliwa kuwa nchi takatifu.Kijiji hicho kina watu 5,000 na sio wote walizaliwa huko, . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

IGP Sirro afunguka sakata la Mtwara

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba w . . .

Dini
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Makamu wa kwanza wa Rais akiongoza waumini wa Kiislamu katika Hauli ya Maalim Seif

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, jana ameongoza Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, waumini wa Kiislam . . .

siasa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Rais Dkt. Mwinyi atengua uteuzi wa Kamishna wa Mapato Z'bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzib . . .

UTALII
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Tumepokea Kauli Ya Wakazi Wa Ngorongoro

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea kauli ya wakazi wa Ngorongoro kwamba wako tayari kupokea maelekezo ya Serikali na . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Wizara Ya Afya Yapokea Vifaa Vya Tehama Vyenye Thamani Zaidi Ya Mil. 105

Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea vifaa vya Tehama na machapisho vyenye thamani zaidi ya Mil. 105 kwa ajili ya kusambazwa kwenye . . .

Hali ya hewa
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

TMA- KUTAKUWA NA MVUA ZA MASIKA ZA KUTOSHA KWA MACHI HADI MEI

 MAMLAKA ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua za kutosha kwa msimu wa Mvua za  Masika wa Machi hadi . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Meridianbet Kuchangia Miche 20,000 Kwenye Masoko Yake

Ubora wa hali ya hewa umekuwa ukiongoza mijadala mikubwa ya masuala ya kimataifa kwa miongo kadhaa sasa. Ndio maana Meridian Gaming Group in . . .

Bungeni
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Kingwangalla ataka kufunguka bungeni, SPika amtuliza ‘fuata njia sahihi’

Bunge limeendelea na vikao jijini Dodoma na mjadala ulikuwa kuhusu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Mkuu wa Umoja wa Mataifa apinga unyanyasaji unaofanywa Jamhuri ya Afrika ya Kati

Katika ripoti yake ya hivi punde iliyowasilishwa mbele ya Baraza la Usalama, Antonio Guterres amevinyooshea kidole c . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Wachunguzi wadai mshairi aliyetoweka Innocent Bahati aliondoka kuelekea Uganda

Mamlaka ya Rwanda imetangaza hitimisho la kwanza la uchunguzi wake kuhusu kutoweka kwa mshairi Innocent Bahati, amba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

DRC kukabiliwa na janga la njaa.

Mzozo wa kibinadamu bado unaendelea kutatanisha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Umoja Mataifa, mashirika ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

WFP yasema eneo la Sahel barani Afrika linakabiliwa na njaa

Shirika la mpango wa chakula Duniani la Umoja wa Mataifa linasema eneo la sahel barani Afrika linakabiliwa na ukosefu wa usalama wa ch . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Mahakama Kuamua Kama Mbowe na Wenzake Wana Kesi ya Kujibu Leo

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mb . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Chama apewa kazi maalumu

Ushindi  wa mabao 3-1  umewafurahisha sana viongozi wa Simba na sasa katika kujipanga kuhakikisha wanaendeleza kasi hiyo ugenini . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Bobi Wine na mkewe washerehekea miaka 20 ya ndoa

Mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine na mkewe Berbie Kyagulanyi walisherehekea miaka 20 ya mahusiano Februari . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Mwanamke wa kwanza Duniani aponywa UKIMWI

Mwanamke wa kwanza Duniani amefanikiwa kuponywa na ugonjwa wa Ukimwi kwa kupandikizwa seli shina katika mwili wake ambaye alikuwa anaugua . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

RC Makalla hakuna shule iliyouzwa Kurasini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amemaliza hali ya taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekonda . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Uandikishwaji wanafunzi wa awali wafikia 92%

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluh . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Mwanamke ‘Aliyejiteka’ Afungwa Miezi 8 Jela

Mahakama ya Makadara iliyopo Nairobi nchini Kenya, imemhukumu kifungo cha miezi nane gerezani mwanamke Mary Ambeza baada ya kumkuta na hat . . .

Kurasa 190 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category