logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Dully Sykes afunguka alivyowanyanyua wasanii Bongo

Mwanamuziki wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva Dully Sykes ameweka wazi kuwa yeye ni miongoni mwa wakongwe wa muziki h . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

DKT. GWAJIMA, AWAPONGEZA NGARIBA WALIOACHA KUKEKETA, AWAAHIDI USHIRIKIANO WA SERIKALI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba waliokuwa wanajihusisha na v . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

WATUMISHI WAMPONGEZA WAZIRI JENISTA KUUNDA TIMU YA WATAALAM ITAKAYOPENDEKEZA MFUMO MPYA WA KUPIMA UTENDAJI KAZI WAO

Watumishi wa Umma mkoani Mwanza wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista M . . .

Elimu
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Usomaji shahada za juu unavyogeuka shubiri vyuoni

Wakati mjadala uliopo sasa ukiwa kwa nini watu wengi wanapendelea kuitwa wasomi wa PhD, mengine yamebainika kuhusu taratibu za usomaji wa . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Watu 22 mbaroni kwa tuhuma za mauaji Mbeya

Kufuatia kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa tuhuma za kuhusika . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Mazungumzo ya nyuklia na Iran kuendelea Vienna

Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yanatarajiwa kuendelea tena Jumanne (08.02.2022) mjini Vienna, Austria baada ya kusitishwa mwi . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Kesi ya maofisa saba wa polisi wanaodaiwa kuua yapigwa kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imeahirishwa hadi Februar . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Agizo la Rais Samia lazua kilio upya

Agizo la Rais Samia Suluhu la kumtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji mkoani Mtwara na Kilindi, . . .

SOKA ULAYA
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Nyota wa Ligi ya Primia Kurt Zouma ajipata mashakani baada ya kurekodiwa akimpiga paka wake teke ‘kama mpira

Mchezaji nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye picha ya video akimpiga paka w . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Wezi waiba kompyuta za wanafunzi wakati wanasoma

Majambazi wawili waliokuwa na visu waliingia katika shule ya upili nchini Uswidi siku ya Jumatatu na kuiba kompyuta za wanafunzi, vyombo v . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Zaidi ya watu milioni 10 wanakabiliwa na njaa kali katika Pembe ya Afrika - UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linasema watu milioni 13 kote katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa k . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Wakuu wa Idara wa Hospitali watakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya

Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospit . . .

Elimu
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

TAMISEMI kuboresha elimu Nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Innocent Bashungwa  amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano w . . .

siasa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Wasira: "Sitaki Tena Urais , Mama Samia Suluhu Hassan Anatosha 2025"

Mwanasiasa   mkongwe nchini, Stephen Wasira, amesema Rais Samia aachwe amalizie vipindi viwili vya urais kama ilivyo utamaduni wa C . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

MPOTO ATEULIWA KUWA BALOZI SEKTA YA MAJI

. . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Hii ndio orodha ya wasanii wa kike waliongoza kwa kupata pesa za Mirabaha

Waimbaji wa kike 20 wa Tanzania walioongoza kwa kupata pesa za Mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Rad . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

TMA yaagizwa kubuni vyanzo vya mapato

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Maamuzi mabovu ya waamuzi ligi kuu Tanzania, Mwigulu aahidi kuleta VAR

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema atakaa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa ili waongee . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Nizar Khalfan. "Tuliibana Simba kweli kweli"

Kocha Msaidizi wa Mbeya Kwanza FC Nizar Khalfan ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kazi kubwa walioifanya kwenye mchezo wa jana Jumapil . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

RAILA ODINGA AIPONGEZA SENEGAL KITOFAUTI SANA.

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa Agosti, atahakikisha kuwa timu ya tai . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Kalonzo Akanusha Kuweka Masharti ya Kujiunga na Azimio la Umoja

Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepuuzilia mbali tetesi kuwa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) umetoa masharti ya kujiunga n . . .

SOKA
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Ubingwa wa Senegal umeweka historia hii kwenye taifa hilo

Timu ya taifa ya Senegal imeshinda ubingwa wa michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya mabingwa mara 7 na . . .

AFYA
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Watu 206 wathibitika kuwa na Virusi vya Corona ndani ya wiki moja

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hali ya UViKO-19 nchini katika kipindi cha tarehe 29 Januari hadi 4 Februari, 2022, jumla ya 6, . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Profesa Makubi ahimiza mikakati Bora hospitali ya rufaa Mwl Nyerere

Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospital . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Jinsi Marekani inavyotumia msafara wa magari kumlinda rais wake

Mojawapo ya mambo ambayo watu wengi huwa na hamu ya kujua ni masuala yanayohusiana na ulinzi wa viongozi .Katika hili Marekani ni mojawa . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Kituo cha anga cha kimataifa kuanguka katika bahari ya Pasifiki mwaka 2031

Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) kitaendelea kufanya kazi hadi 2030, kabla ya kutumbukia katika Bahari ya Pasifiki mapema 2031, . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Kwanini majasusi wa Israel wanapenya na kuingia Iran kwa wingi

Mnamo Novemba 2020, msafara uliokuwa umembeba Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mashuhuri zaidi wa nyuklia wa Iran, ulishambuliwa. Aliuaw . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Mapya yaibuka sakata la mauaji nchini

Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati maalum ya kuchunguza mauaji ya aliyeku . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo.

Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja h . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Namna Maboresho ya Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta yatakavyochochea Ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano Tanzania

KATIKA kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wiki hii im . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Mauaji mengine, Mwalimu akutwa ameuwawa Dodoma

Mwalimu Albert Kaguli (43) wa shule ya Msingi Kisokwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa nan a kitu kizit . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Jack Wilshere akata tamaa Arsenal

Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Jack Wilshere amefuta uwezekano wa kusajiliwa tena klabuni hapo, baada ya kusisitiza meneja wa . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 7, 2022

Rais Samia akiweka jiwe la Msingi mradi wa miundombinu ya kusafisha na kutibu maji bunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Su . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 7, 2022

Munalove:“Msifanye upasuaji kuongeza shepu”.

Muigizaji na mjasiriamali maarufu nchini Rose Alphonce anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii ‘Muna Love’ amewashauri wanawake wote w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Mbunge Nyongo Achukua Fomu Ya Unaibu Spika

Mbunge wa Maswa Mashariki Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Mzozo wa Ukraine na Urusi wazidi kufukuta

Tofauti na washirika wake wa NATO, Uingereza na Marekani, Ujerumani imekataa kuipatia Ukraine silaha kuisaidia kujilinda katika uwezekan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Waziri Mkuu wa Ujerumani ahimiza taifa hilo kuacha kutegemea gesi kutoka Urusi

Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amelihimiza taifa hilo kupunguza utegemezi wake wa gesi asilia kutoka Urusi wakati kukiwa na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Rais Samia alia na kukwama miradi Mara

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Mara una tatizo la kukwama kwa miradi jambo ambalo linahitaji kupatiwa ufumbuzi.Ametoa kauli hiy . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Kijiji Ambacho Wakaazi Hulala Kwenye Miti Licha ya Kuwa na Nyumba

    Wakaazi wa kijiji cha Malelei Kaunti ya Lamu sasa wanalazimika kulala kwa miti licha ya kuwa na nyumba zao.Wakaazi wa kij . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Mwanamume Akamatwa kwa Kuweka Kamera za Siri katika Vyumba vya Wanawake Vya Kuoga.

    Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya kamera za siri kupatikana katika vyumba vya wanawake vya kuoga    Haij . . .

Kurasa 195 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category