logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Matukio
  • Na Asha Business
  • February 10, 2022

Waziri Mkuu wa Libya anusurika kifo

Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid al-Dbeibah ameponea chupu chupu jaribio la kumuua mapema leo wakati watu wasiojulikana walipoishambulia . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 10, 2022

Magazeti manne yafunguliwa

Serikali imetangaza rasmi kuyafungulia magazeti manene ya Mwanahalisi, Mawio, Tanzania Daima na Mseto miezi kadhaa tangu Rais Samia Sulu . . .

Jembe Maktaba
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Mwanaume anayetuhumiwa kuiba mamilioni kutoka kwa wanawake

Tinder, programu ya kutafuta wenza ambayo iliundwa mwaka wa 2011, imewekwa kama mojawapo ya alama za enzi ya kidigitali ambayo tunapitia . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Almasi nyeusi yenye umri wa mabilioni ya miaka yauzwa kwa dola milioni 3.16

Almasi nyeusi yenye umri wa mabilioni ya miaka inayoaminika kuwa almasi kubwa zaidi iliyokatwa duniani, imeuzwa kwa £3.16m.Kwa jina la T . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Abiria akamatwa uwanja wa ndege wa Heathrow kwa shutuma za kubaka ndani ya ndege

Abiria mmoja alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow baada ya mwanamke mmoja kusema alibakwa kwenye ndege wakati wa safari ya usiku . . .

Mahakamani
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Kesi ya kina Mbowe yakwama

Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeshindikana kuendelea leo baada ya upande wa Jamhuri . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote . . .

Kilimo
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Ofisi ya Rais-TAMISEMI,Wizara ya Kilimo kuimarisha ushirikiano kuboresha kilimo nchini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amesema wataendeleza ushirikian . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

WILDAF,TGNP WASISITIZA UMUHIMU WANAWAKE KUENDELEA KUPATA NAFASI ZAIDI ZA UONGOZI

IMEELEZWA lengo la kufikia 50 kwa 50 katika uongozi na nafasi za kufanya maamuzi nchini litafanikiwa tu endapo wanawake zaidi wataendele . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Waziri Dkt Mabula Kuanza Ukaguzi Na Utambuzi Maeneo Ya Uwekezaji

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaanza ukaguzi na kuyatambua maeneo yote yaliyote . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Utafiti: Samaki Wa Ziwa Victoria Hawajaathirika Kwa Zebaki

Waziri wa Nchin Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema tafiti zinaonesha samaki na dagaa wanao . . .

Utalii
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Serikali inavyoutangaza Mlima Kilimanjaro kimataifa

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema Serikali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali za kuutangaza mlima . . .

Utalii
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Baada ya mjadala mzito bungeni kuhusu Ngorongoro, Waziri Mkuu atoa kaul

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuandaa semina ya siku moja kwa wabunge wote ili kuwaelimisha juu ya . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Boaz Okoth Amtimua Spika kwa Utovu wa Nidhamu

Wawakilishi wadi katika Bunge la Migori (MCA) walimtimua Spika wao Boaz Okoth siku chache baada ya kukamatwa kwake. Jumla ya MCAs 46 walijit . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Gsengo
  • February 9, 2022

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA KITUO CHA WATOTO SOKO LA MIRONGO MWANZA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima Mapema ya leo Februari 09, 2022 akikata utepe kama ish . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Kilimanjaro: Nyumba 20 Zasobwa na Maji, Mmoja Afariki

MVUA  kubwa zilizoambatana na upepo mkali zinazoendelea kunyesha baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro, zimeezua  mapaa na k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

China yadai kudhibiti maambukizi ya Corona kwenye michezo ya Olimpiki

China imesema Jumanne kwamba itaalika watazamaji zaidi kwenye michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayoendelea mjini Beijing kutokan . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Dkt.Mabula aapishwa rasmi kuwa Waziri wa Ardhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 09 Februari, 2022. amemuapisha Dkt. Angeline Mabula kuwa Wazir . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Papa Benedict aomba msamaha, akubali makosa ya unyasaji wa kijinsia

Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki na kujiuzulu mwaka 2013, Papa Benedict amekiri makosa yalitokea katika kushughulikia kesi za unyan . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Nelly aomba radhi kwa video chafu

Mwanamuziki nguli kutoka nchini Marekani Cornell Iral Hynes Jr maarufu kwa jina la kisanii Nelly, ameomba radhi kufuatia kitendo cha kur . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Milionea wa Czech aliyeendesha gari kwa kasi ya kilomita 417 kwa saa Ujerumani sasa anakabiliwa na mashtaka

Milionea kutoka Jamhuri ya Czech Radim Passer anakumbwa na uchunguzi wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Ujerumani.Mmiliki huyo wa gari ain . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Korea Kaskazini yajigamba kuwa na uwezo wa kuitikisa dunia kwa mamkombora yanayofika Marekani

Korea Kaskazini ilijigamba siku ya Jumanne kwamba ni mojawapo ya nchi chache tu duniani zenye uwezo wa kuweka silaha za nyuklia na makombo . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa Somalia

Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.Hat . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

H Baba Amnyoshea Mikono Mondi “Kaupiga Mwingi, Umeuaaa!”

BAADA ya Supastaa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz kuingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka U . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Esma Awapiga na Kitu Kizito Mashabiki Zake!

ESMA Platnumz ni mwanamama mjasiriamali ambaye ni dada wa supastaa wa muziki Tanzania, Diamond Platnumz; wikiendi iliyopita alikuwa na shugh . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

ATCL yaagizwa kufanya mapitio ya nauli zake

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeiagiza Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kufanya uchunguzi wa nauli zinazotozwa na mashirika washindani k . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Zungu Apitishwa Kugombea Unaibu Spika

Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu kuwa mgombea wa nafasi ya Naibu Spika wa Bunge, jij . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Rais Wa Benki Ya AADB Ahaidi Neema Kwa Tanzania

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuahidi kutekelez . . .

Utalii
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

WATALII WAZIDI KUMIMIKA HIFADHI YA NYERERE,WAVUTIWA NA WINGI WA WANYAMA PORI

Ndege kubwa iliyobeba watalii inatua katika uwanja wa Mtemere ulioko ndani ya Hifadhi ya Nyerere, ikitokea Zanzibar.Wameshuka watalii wapa . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Balozi Liberata Mulamula akutana na Wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamo . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

CEO ROUNDTABLE WAWASILISHA MKAKATI WA SHIRIKA 2022-2025 UKIZINGATIA UENDELEVU NA ATHARI CHANYA

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari Mkurugenzi mtendaji wa CEO ROUNDTABLE TANZANIA Ndugu Santina Benson, CEOrt inaongozwa na kanuni . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

KAMPUNI YA MDUNDO YAONGEZA WASIKILIZAJI MILIONI 20 ROBO MWAKA

HUDUMA ya Kusikiliza Muziki Mtandaoni (Mdundo) yaongeza watumiaji kwa 22% barani  Afrika. Muziki wa Kiafrika unalenga kujisimika na . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Treni ya Umeme: Mabehewa 1430 kununuliwa, Waziri Mbarawa ataja uwezo wake

SERIKALI  kwa kushirikiana na kampuni  ya CRRC International  ya China wamesaini mkataba wa ununuzi  wa mabehewa 1,4 . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Onyo yatolewa kuhusu matumizi ya muda mrefu ya Paracetamol kwa walio na shinikizo la damu

Watu walio na shinikizo la juu la damu wanaotumia paracetamol kwenye maagizo wanaweza kuongeza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi, utaf . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Young Africans yalalamikia waamuzi Ligi Kuu

Uongozi wa klabu ya Young Africans umepaza sauti na kusema timu yao imekua ikipata wakati mgumu dhidi ya waamuzi wanaochezesha michezo yao . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awapongeza Wajumbe Kamati Kuu Ya Taifa Ya Sensa Ya Watu Na Makaazi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewapongeza wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya wat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

DP Ruto Amjibu Rais Uhuru

Naibu rais William Ruto amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kumtupia mishale ya kisiasa Jumatatu Feburuary 7Akiongea eneo la Magharibi, Ru . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Mabadiliko ya hali ya hewa kusababisa hasara ya kifedha kwa mataifa

Benki ya dunia Jumatatu imesema kwamba uchafuzi wa hewa mashariki ya kati pamoja na kaskazini mwa Afrika unasababisha hasara ya dola bilio . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Haji Manar "Hatulalamikii Waamuzi Tunawakumbusha Tu"

Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya  Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Mahakama Yaamuru Makonda Atangazwe Gazetini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo Jumanne tarehe 8 Februari 2022, imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au . . .

Kurasa 194 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category