Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la mauaji ya mke wa mfanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa GGM aliyefah . . .
Taarifa za hivi punde zinaarifu kuwa watu wasiopungua 25 wamekufa katika mjini mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, baada y . . .
Watu wasiopungua 14 wamekufa na wengine 32 wamejeruhiwa na maporomoko ya udongo yaliyotokea usiku wa kuamkia kaskazini mwa mji mkuu wa Ecu . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaum, Dkt. Dorothy Gwajima, amepokea ugeni wa Shirika la kupigania haki za wan . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali inaboresha Mfumo w . . .
Hii ni hali ambayo mama huyu anaiona kama sehemu ya wito wake wa maisha kwamba atoe nasaha na awe kielelezo cha kuishi na virusi vya HIV . . .
Furaha ya wengi ilitoweka wakati watu wachache tu waliruhusiwa kuvuka mpaka wa Gatuna/Katuna, ambao ulipangwa kufunguliwa tena Jumatatu.Kw . . .
Ni Mrembo kutokea Afrika Kusini, Ami Faku ambae kwasasa ndie Malkia wa muziki unaofahamika kwa jina la Amapiano. Ami Faku ni msanii wa siku . . .
Familia ya Marehemu Ally Khalifa Bakari, Mtoto mwenye umri wa miaka tisa ambaye amefariki mara baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali . . .
Shahidi wa 12 upande wa Jamhuri Luteni Denis Urio katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADE . . .
Mwanamke Mrwanda, Mukandamage Domitila aliwashtua wengi baada ya kufichua alikuwa ameolewa na ndugu yake wa damu moja.Domitila alizaliwa mna . . .
Mwanafunzi wa Shule ya Gremon Education Center eneo la Bamburi, kaunti ya Mombasa anauguza majeraha mabaya katika Hospitali ya Rufaa ya Coas . . .
Mnamo Novemba mwaka jana, Aneera Kabeer alihudhuria mahojiano yake ya 14 ya kutafuta kazi katika miezi miwili akiwa amevalia kofia, bara . . .
Wakati Jeshi la Polisi likieleza jinsi mkaguzi msaidizi wa polisi Grayson Mahembe alivyojinyonga akiwa mahabusu, hatua iliyoibua h . . .
Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. . . .
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekihakikishia Chama cha Watoa Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA) kuwa S . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne ambao:- 1.Robert Daud, miaka 42, mume wa mganga, mkazi wa katunguru, 2. Sylives . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema kamwe Jeshi hilo alitavumilia vitendo vya kujichukulia sheria mkononi vinayofanyw . . .
WAKATI wabunge wakiendelea kusikiliza hoja za watia nia wanaowania kurithi mikoba ya Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma, Ndonge Said Ndonge, . . .
MARA baada ya kufunga bao lake la kwanza tangu kuanza kwa msimu huu, mshambuliaji Mkongomani ndani ya kikosi cha Simba, Chris Mugalu, ameibu . . .
BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tuza kurudi uwanjani mara baada ya kupona maj . . .
IKIWA ni wiki chache baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Meena Ally kuchafuliwa mitandaoni kwa kusambazwa picha ya ngono asiyohusika na . . .
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Dominic Raab amesema waziri mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson, hawezi kutoa majibu kamili juu ya dhifa kadha . . .
Waandishi wawili wa habari wanaofanya kazi na kituo binafsi cha televisheni nchini Afghanistan wamekamatwa na maafisa wa kundi la Taliba . . .
Wapinzani wa utawala wa kijeshi nchini Myanmar wameadhimisha mwaka mmoja wa mapinduzi ya kijeshi nchini humo kwa mgomo wa kitaifa kuonyesh . . .
Kituo cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) (CSC) kimeonya juu ya mvua kubwa ambayo inaweza kusab . . .
Bunge la Tanzania limemchagua Dk Tulia Ackson kuwa spika wa bunge hilo.Dk Tulia amefanikiwa kuwagaragaza wagombea wenzake nane wanaotoka vya . . .
MKUU wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa barabara yenye kipande cha urefu wa kilomita 7 kutoka Ka . . .
RAPA mkongwe na mmoja wa waasisi wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, anarejea rasmi kwenye muziki . . .
Bunge la Tanzania limeanza vikao vyake hii leo huko jijini Dodoma, ambapo limeanza shughuli zake kwa kuendesha uchaguzi wa spika mpya . . .
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ameitaka idara ya Masoko ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kufanya tafiti na k . . .
Ndege inayotumia mfumo wa umeme kwa 100% badala ya mafuta iliyotengenezwa na kampuni ya Israel Eviation Marekani imebakiza wiki chache kabla . . .
Kenya imewarudisha raia wawili wa Uingereza nchini humo ambako wanasakwa kwa mauaji.Taarifa kutoka kwa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jin . . .
Balozi wa Marekani Linda Thomas-Greenfield alisema upelekwaji huo ulikuwa mkubwa zaidi Ulaya kuwahi kuonekana katika miongo kadhaa.Mwenz . . .
Pierre-Emerick Aubameyang amejiunga na Barcelona kwa uhamisho wa bure baada ya kuondoka Arsenal, uhamisho huo unatarajiwa kutangazwa leo . . .
Wingu limetanda katika familia ya Salmin Shame (33) kijana anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu usiku wa Desem . . .
BODI ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), inayomaliza muda wake imemteua Joseph Butiku kuwa mwenyekiti mpya wa bodi hiyo. . . .
1. UTANGULIZI Katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za Mawasiliano nchini, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari i . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma wakati akiondoka ka . . .
. . .