Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imelipongeza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kuendesha M . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Batsirai katika maeneo ya kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi. . . .
Afisa Ustawi wa Jamii wa Kituo cha Mahabusu ya Watoto kilichopo Kabwe Kata ya Iyela Jijini Mbeya Groria Kibira(38) amekutwa ameuawa kwa . . .
Ni lala salama ya AFCON leo katika dimba la Olembe unaopatikana kwenye mji kuu wa Cameroon, Yaounde.Nyota wawili wa Anfield ya England . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Wilaya ya Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida M . . .
Rais wa Urusi Vladmir Putin leo ameyasifu mahusiano ya karibu ya nchi yake na China, katika mkutano na mwenzake wa China, Xi Jinping, kabl . . .
Shirika la Utangazaji la Ujerumani - DW limeapa kuchukua hatua ya kisheria baada ya Urusi kulipiga marufuku kuendesha shughuli zake nchini h . . .
Mbunge wa Bunda Vijijini, Mwita Getere ameibua tena sakata la wabunge kudai mikataba ya miradi mikubwa ipelekwe bungeni ili waipitie . . .
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inao ushahidi kuhusu mpango wa Urusi kutoa mkanda bandia wa video, ikionyesha kitakachoelezwa . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa . . .
Mafarao wa Misri wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kutoka sare dhidi ya wenyeji Cameroon dakika 90 na zile za nyongeza na h . . .
Rais Uhuru Kenyatta hii leo ataanza kikao cha siku mbili na wabunge wa Jubilee katika Ikulu jijini Nairobi.Inaarifiwa huenda Rais Kenyatta a . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza operesheni maalum ya kumuua kiongozi wa ISIS Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurayshi."Wanajeshi wote walioh . . .
Vijana na wananchi mbalimbali nchini wameshauriwa kwenda Makumbusho ya Azimio la Arusha kujifunza misingi muhimu iliyowekwa na waasisi w . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amewaonya wasambazaji wa bidhaa za vifaa vya ujenzi kutok . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Februari 4, 2022 amendoka Nchini kuelekea Addis Ababa Nchini Et . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza na kupokelewa na viongozi mbalim . . .
Rapa mahiri kutoka kwenye kiwanda cha muziki nchini Zaiid, siku chache zilizopita ameiachia rasmi orodha ya nyimbo zake takriban 20 zita . . .
SIMBA haina matokeo mazuri katika mechi zake tatu za Ligi Kuu Bara ingawa wikiendi iliyopita walirejesha ubabe wao nyumbani wakiipasua Dar . . .
Ukimuona ni mtoto mchangamfu ambaye huwezi dhani anayo kasoro , kumbe Abelado ana ulemavu wa macho yaani jicho lake moja lina upofu. Mada . . .
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi katika Wizara za elimu, Uchumi na Uwekezaji na wizara ya Habari, Vijan . . .
Hali ya utulivu imeonekana kurejea katika mji mkuu wa Guinea-Bissau, wakati serikali ikianzisha uchunguzi wa kile ilichokitaja kuwa ja . . .
Pixe Curtis, ambaye bado yuko shule ya msingi, ni msichana wa miaka 10 wa nchini Australia.Anasema anapanga kupata pesa za kutosha katika k . . .
Maafisa katika mji wa Argentina wa Buenos Aires, wanajaribu kuzuwia mauzo ya mihadarati aina ya kokeni baada ya kuwauwa watu wapatao na . . .
Vikosi maalum vya Marekani vimefanya uvamizi dhidi ya ugaidi katika eneo linaloshikiliwa na upinzani kaskazini-magharibi mwa Syria, kari . . .
Image caption: BibliaMwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuw . . .
Ukiitaja orodha ya wanamuziki hodari wa kike nchini Tanzania, basi huwezi kuliacha jina la Maua Sama, ambaye siku za hivi karibu zimeibuka . . .
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi, amesema anafurahi kuona kikosi chake kimeendelea kuimarika kwa ajili ya kutimiza malengo ya . . .
Watu 26 wamefariki dunia Jumatano baada radi kupiga katika waya inayobeba umeme mwingi katika vitongoji vya mji mkuu wa Jamuhuri ya Ki . . .
Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar imepokea msaada wa wa vifaa tiba ya mama na mtoto vyenye thamani y . . .
. . .
Naibu Katibu mkuu wizara ya maji ,Mhandisi Nadhifa Kemikimba ametembelea mradi wa maji wilayani Longido na kusema wameridhishwa na mra . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa taarifa za za kukamatwa kwa Raimond Mollel ambaye ni mlinzi wa eneo la mstahiki meya wa jiji la Arus . . .
Msanii wa bongo fleva Nandy,The African Princess amesema kwamba vikao vimeanza kwa ajili ya maandalizi ya tamasha lake la Nandy Fest . . .
miondoko ya mwanadada tatiana . . .
MWANADADA ambaye kwa sasa yuko kwenye ubora wake katika muziki wa kizazi kipya Zuhura Othman Soud maarufu kwa jina la Zuchu ameweka wazi . . .
tukio la kijana aitwaye Ginasa Petro (30) Mkazi wa Bariadi aliyekunywa sumu ya kuulia panya akiwa Nyang'hwale na kupoteza maisha huku chanzo . . .
Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangi . . .
Mwanjeshi wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi.Humphrey Mangi . . .
WATU wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13) . . .