Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.Maafisa wa polisi wanasema kwamb . . .
Tamasha la sauti za busara (sound of wisdom) limekuwa moja ya tamasha pendwa Afrika mashariki na hata Afrika kwa ujumla kutokana na namna ta . . .
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imepitisha jina pekee la Dk Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika kilichoachwa wazi na Job Ndugai . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anayepigania kuinusuru kazi yake baada kufanya sherehe za kunywa pombe ofisini na makazi . . .
Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine"Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladi . . .
Wananchi wa mkoa wa Rukwa wamepongezwa kwa kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Korona ambapo hadi kufikia mwezi Januari mw . . .
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote w . . .
MUHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye jina lake limehif . . .
Kuanzia Februari Nchini Austria, Chanjo kwa Watu wazima itakuwa ni lazima na wote ambao hawajachanjwa watapokea wito wa kuchomwa sindano ya . . .
erikali imesema, zaidi ya Watumishi wa Umma 180,000 wamepandishwa madaraja ambapo Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa imenufaika na promosh . . .
Timu ya taifa ya Comoro imeitupa Ghana nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), baada ya kuichapa mabao 3-2 katika mchezo wa mw . . .
Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivy . . .
Kwa takribani miaka sita sasa, mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe ‘Babu Rama’, ameendelea kupaza sauti kudai fidia ya Sh986 milioni . . .
Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa . . .
Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwen . . .
Nyota na mkongwe wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitezndani ya Goodison Park.Everton sik . . .
Mwanamitindo na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.Akizungumz . . .
Ajali imetokea kati ya Bus la Zakaria na Hiace ya Airport - Kisesa ambapo Dereva wa Hiace hiyo amefariki.Aidha Bus liliacha njia yake na kuf . . .
Ajali ya Gari – Simiyu.Watu kumi na wanne wakiwemo waandishi wa habari watano, leo wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea . . .
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kuendelea leo kwa shahidi . . .
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi kwa tamaa ya mali, limeibuka tukio lingi . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini hii leo kuelekea Lilongwe, Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano w . . .
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Januari 8,2022 amefanya mabadiliko Madogo katika Baraza la Maw . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alhamisi, . . .
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini Jesca Msambatavangu amefanya mazungumzo binafsi na wajumbe wa baraza la vijana la wilaya ya Iringa Mji . . .
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19.Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais huyo jana . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepati . . .
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika kitongoji cha . . .
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege nchini Mauritius wamekuta mtoto mchanga wa kiume aliyetelekezwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka ndani ya ch . . .
Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Ken . . .
Rapa kutokea Marekani, Kodak Black amesema mwaka 2022 anataka kuiondoa laana ya kwenda jela tofauti na miaka mingine.Kodak Black amesema tan . . .
Saa chache Mara baada ya wekundu wa msimbazi Simba kumtambulisha Ahamed Ally Kama msemaji wao mpya vilevile Klabu ya Simba imezindua j . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kutokana na mijad . . .
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya . . .
Simba SC imemtambulisha aliyekuwa mtangazaji wa Azam TV Ahmed Ally kuwa ndio meneja mawasiliano wa club yaani afisa habari, Ahmed Ally kabla . . .
Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.Sabab . . .
kumezuka Moto mkubwa ambao umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini Mjini Cape Town.Taarifa zinasema moto huo umeanza alfajiri ya kuamkia l . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi December 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo la kukusanya Tsh. . . .