logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Mwana FA aahidi kushughulikia changamoto Muheza

MGOMBEA Mgombea ubunge wa jimbo la Muheza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamis Mwinjuma amesema iwapo atachaguliwa nafasi hiyo ataendele . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Ili Penzi Lidumu mfanyie mambo Haya Mpenzi Wako

KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Zifahamu familia za kihalifu zinazotikisa mpya sasa

Hizi ndizo familia maarufu za kihalifu (mafia) zilizoanza zamani lakini bado zinahusishwa na shughuli haramu hadi leo kimya kimya:1. Familia . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Lissu afikishwa mahakamani mapema leo

Leo Alhamisi Septemba 11 mwaka huu ni siku ya nne mfululizo ambapo Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusik . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Aliyetupa kichanga ahukumiwa miaka 5 jera

Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Temeke Dar es Salaam Mh. Ngeka amemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini Tshs 300,000/= mshtaki . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Fadlu Davids apongeza kiwango cha wachezaji wake

Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amepongeza kiwango cha wachezaji wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia katika ta . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • September 11, 2025

Miaka 30 jera kwa kosa la ubakaji

Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (55), Mkristo, mkaz . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

TLP kujenga kambi za wazee 2,000 kila mkoa

CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kikipata ushindi katika Uchaguzi Mkuu serikali yake itajenga kambi za kutunza wazee kwenye kila mko . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Mikakati yaendelee kupunguza foleni barabarani Dar

MKOA wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa inayoshuhudia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa kiwango kikubwa.Mji huu wa bia . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Viongozi wa Hamas Wanusurika, Watu Sita Wauawa

Doha, Qatar – Watu sita wamepoteza maisha katika shambulio la anga la Israel lililolenga viongozi wa Hamas waliokuwa kwenye kikao mjini Do . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Baba Levo Azindua Rasmi Kampeni Kigoma Mjini

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, Septemba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Tanesco Yaendelea Kuboresha Huduma Kwa Wateja Kwa Kuwafikishia Vitendea Kazi Vya Usafiri

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari 100, baja . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Hii hapa orodha ya Wafungaji Bora wa Mataifa Mbalimbali Afrika

Safari ya mafanikio huanza kwa kuituma kwa kile ambacho unakifanya kwenye maisha yako ya kila siku. Hapa Afrika kuna wachezaji wengi ambao w . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

JICA kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili h . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Polisi jijini Nairobi kuchunguza kisa msuaji ya Wakili maarufu Mathew Mbobu

Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Samia atoa aahadi miradi ya afya, maji, elimu na madini Singida

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameendelea na kampeni zake za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kuzungumza na w . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Mgombea udiwani wa ACT anadaiwa na Salum Mwalimu mkoani Mara

Katika hali isiyotarajiwa na ya kuvutia katika medani ya siasa za upinzani nchini, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Wananchi wa Kata ya Busonzo wahimizwa kujitokeza kwa wingi na kuwapigia kura wagombea Oktoba

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza wananchi wa Kata ya Busonzo wilayani Bukombe mkoani Geita kujitoke . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 9, 2025

Bandari ya Mtwara yazidi kung’ara kimataifa

 SERIKALI ya Urusi imeonyesha nia ya kutumia Bandari ya Mtwara kusafirisha bidhaa zake na kuzisambaza katika nchi jirani na Tanzania, i . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 9, 2025

Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kongamano la kitaifa la ufuatiliaji, tathmini

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kitaifa la ufuatiliaji, tathmini na kujifunza, litakalof . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 9, 2025

ACT yazindua kampeni kwa kishindo mkoani Kigoma

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Kiza Mayeye amezindua rasmi kampeni zake akiahidi kusimamia vip . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 9, 2025

Katika safari ya mahusiano ‘Siwezi Kuishi Bila Yeye’, Kuna Maisha Bila Yeye!

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 9, 2025

Wananchi Dar Watakiwa Kupaka Rangi Majengo Yao Kabla ya Septemba 30

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, ametoa agizo kwa wananchi wote jijini Dar es Salaam kupaka rangi maje . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

DCEA yakamata dawa za kutoa mimba

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata kemikali hatarishi kwenye bangi aina ya THC, ambapo zikichanganywa na ba . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Kesi ya Lissu kuendelea leo mahakama kuu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa leo katika . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Kesi ya Mpina kusikilizwa leo

Mawakili wa Chama cha ACT -Wazalendo na wale wa Serikali wameshaingia na kuketi kwenye viti vyao mahakamani tayari kwa ajili ya kesi ya Luha . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Kindiki Mt aweka ngumu kuhakikisha UDA inatwaa kiti cha Mbele

NAIBU wa Rais, Prof Kithure Kindiki sasa ana kibarua kigumu cha kuhakikisha kuwa UDA inatwaa kiti cha Mbele Kaskazini baada ya chama hi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Mvulana aliyekufa akiwa na umri wa miaka 15 atawazwa na Papa Leo kuwa Mtakatifu

PAPA Leo XIV Jumapili alimtawaza mvulana aliyekufa akiwa na umri wa miaka 15, na mtaalamu wa kompyuta, kuwa Mtakatifu wa kwanza mwenye umri . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

RUWASA kutekeleza mradi mkubwa wa maji Kikuku-Muleba

Zaidi ya wananchi 6,961 wameondokana na changamoto ya maji baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman watembelea viwanda vilivyopo Pwani

 Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchim . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Rostam avunja ukimya kuhusu ununuzi wa mgodi wa Mwadui

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Rostam Aziz ameeleza jinsi alivyofanikiwa kununua mgodi wa almasi wa Mwadui uliozusha gumzo siku kadhaa zilizo . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

NIRC yafanya ziara ya ukaguzi miradi ujenzi wa skimu Makwale-Kyela

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopord Runji, imefanya ziara . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Siasa hazijawahi kunipa upendeleo wowote kauli ya Doyo

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amesema hajawah . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Tanzania yatwaa ushindi wa kidijitali duniani

SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya kiuchumi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Kabudi, Tulia wataja sababu kutiki kwa Dk Samia

Profesa Palamagamba Kabudi na Spika Dk Tulia Ackson wamebainisha sababu za wananchi kumuamini Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa kura za kish . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Gwiji wa Mitindo Giorgio Armani Afariki Dunia

Giorgio Armani, mbunifu maarufu wa mitindo kutoka Italia ambaye aligeuza dhana ya understated elegance kuwa himaya ya mabilioni ya dola kati . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

MO Dewji Ajiondoa Uenyekiti Simba, na kumteua Crescentius Magori

Mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO), ametangaza k . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Muigizaji maarufu wa filamu za BongoMuvi“Cloud” Awasili Nchini, Kuungana na Mashabiki Yanga Day – Video

Muigizaji mkongwe na maarufu wa filamu za BongoMuvi, Issa Musa maarufu kama “Cloud”, jana mchana amewasili nchini akitokea London, Uinge . . .

DINI
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Rais Mwinyi aungana na Waislamu Maulid ya Kitaifa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, usiku wa Septemba 4 mwaka huu ameungana na maelfu ya w . . .

Kurasa 25 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category