logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Sudan yalia na mlipuko wa kipindupindu pamoja na baa la njaa

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takribani watu 100,000 nchini Sudan wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwezi Julai m . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Umuhimu wa afya ya udongo kabla ya kutumia mbolea

WAKULIMA wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya ya udongo kwa ajili ya kujua aina ya virubutisho vilivyopo kwenye udongo kabla ya kuanza . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Ilani ya uchaguzi mkuu Chaumma yaidhinisha rasmi leo

Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeidhinisha rasmi ilani yake ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.Uamuzi huo umeta . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Salum Mwalimu kuipeperusha bendera ya chaumma huku Devotha Minja kuwa mgombea mwenza

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Benson Kigaila amemtangaza Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu atakuwa mpep . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya uagizaji mafuta nchini

Serikali kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), imesema kuwa imeendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi na uagizaji mafuta nchi . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,540,000 hadi 1,700,000 wanaoishi na VVU

Kila mwaka Serikali hutenga zaidi ya shilingi bilioni 277 kwa ajili ya kugharamia huduma mbalimbali za Virusi Vya UKIMWI (VVU) na UKIMWI nch . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Mawaziri wawili nchini Ghana wafariki wa helikopta

Watu  wanne wafariki dunia kwa ajali ya helikopta iliyotokea August 6 mwaka huu katika eneo la Ashanti nchini Ghana na kusababisha vifo . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Zaidi ya wakulima 18,000 watarajia kunufaika na Kilimomisitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa zaidi ya wakulima 18,000 wanatarajiwa kunufaika moja kwa moja na Mp . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza utoaji chanjo ya gonorrhea

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza duniani kuanza kutoa chanjo dhidi ya maambukizi ya gonorrhea, ikiwa ni hatua muhimu katika mapambano dhidi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Mawaziri wawili wauawa ajali ya helikopta

WAZIRI wa Ulinzi wa Ghana, Edward Mane Boamah, na Waziri wa Mazingira, Sayansi na Teknolojia, Ibrahim Murtala Muhammed, wamefariki dunia kat . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Uingereza yapiga marufuku ‘daktari wa mitaani’

SERIKALI ya Uingereza imetangaza mikakati mipya ya kudhibiti upasuaji wa kuboresha mwonekano wa mwili, ikiwemo kuongeza makalio, kukuza mido . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Ruto" Masoko ya China ni muhimu"

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema kuwa uamuzi wa Kenya katika sera za mambo ya nje unaongozwa kwa maslahi ya taifa , huku akijibu hat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Fatma Ferej Ateuliwa Rasmi Mgombea Mwenza wa Urais ACT Wazalendo

Katibu wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Fatma Abdulhabib Ferej, ameteuliwa rasmi kuwa mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano w . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Marekani kuteketeza mamilioni ya vidonge vya uzazi wa mpango

Shirika moja la kimataifa linalohamasisha masuala ya uzazi wa mpango, IPPF, sasa linasema nchi ya Marekani kuchoma moto wa dawa za vidhibiti . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Faida za mbegu za uwatu mwilini

Mbegu za uwatu (pia hujulikana kama "hilba" katika baadhi ya maeneo) ni mbegu za mmea wa Trigonella foenum-graecum. Zimetumika kwa muda mref . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Taifa Stars baada ya ushandi wa jana wapokea kiasi cha Sh milioni 10

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameikabidhi Taifa Stars kiasi cha Sh milioni 10 za goli la mama na kuun . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Ufaransa kuimarisha mahitaji ya viza kwa wanadiplomasia wa Algeria

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, sasa ameitaka serikali yake kuimarisha mahitaji ya viza kwa wanadiplomasia wa Algeria ambapo wakati huu mz . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Ruto akemea mpango wa Amerika kuadhibu serikali yake kwa mahusiano na China

RAIS wa Kenya William Ruto amekemea vikali serikali ya Amerika kufuatia mpango wake wa kuchunguza uhusiano wa Kenya na China, akisisitiza ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 6, 2025

JOB NDUGAI AFARIKI DUNIA

#TANZIA #Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 6,2025 akiwa Jijini Dodoma. . . .

Uchumi biashara
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Jumla ya tani 42.5 za madini ya dhahabu kuzalishwa Shinyanga

Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025 hivyo . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Mteja aliyeihujumu Tanesco akamatwa Geita

Katika zoezi la ukaguzi wa mita lililofanyika katika Kata ya Nkome Wilaya ya Geita Mkoani humo, wakaguzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TAN . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

ACT waingia vitani kurejesha heshima ya kura Oktoba

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Dorothy Semu amedai kuwa wa chama hicho  kiko vitani si kwa silaha bali ni kwa ajili ya kurejesha h . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 6, 2025

CHIMANO: "Bien Naomba Unipigie Simu. Haupokei Simu Zangu"

Msanii Chimano aliyekuwa ni miongoni mwa kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Nchini Kenya, amemuomba msanii mwenzake Bien apokee simu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Ugonjwa wa Chikungunya waja na staili mpya China

Wakati ugonjwa wa Chikungunya ukisambaa kwa kasi nchini China na kuambukiza zaidi ya watu 7,000 mamlaka zimeibuka na mbinu ya kuachia mbu wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Hiroshima imeadhimisha miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia

MJI wa kihistoria wa Hiroshima nchini Japan umeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia kwa bomu la atomiki mashambul . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

2,109 waidhinishwa bodi ya Ithibati huku 43 wakwama

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula, amesema hadi jana Agosti 5, 2025, bodi ili . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Bei ya petroli imeshuka huku dizeli ikionekana kupanda

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia  . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Othman Masoud mgombea pekee urais kutokae ACT Wazalendo Zanzibar

Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo katika kikao chake maalum kilichofanyika  Agosti 5 mwaka huu katika ukumbi wa Hakai . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina wapitishwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Tanzania bara

Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupi . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 5, 2025

TAARIFA : Afande Sele Amvalisha Mpenzi wake Pete Ya Uchumba

Msanii Mkungwe wa Muziki wa Bongo Fleva, Selemani Msindi maarufu kama "Afande Sele" hatimaye amemvalisha pete ya Uchumba mwanamke anay . . .

Mastaa
  • Na Baba Juti
  • August 5, 2025

LIZZO : "Ilifikia Wakati Nikatamani Niondoke Duniani"

“BONGE LA DADA” kutokea nchini Marekani , Lizzo ambaye ni “wa moto” sana katika soko la muziki wa Rap ulimwenguni, amesema kuw . . .

Kilimo
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

RC Sendiga akagua mabanda Maonesho ya Wakulima Kanda ya Kaskazini

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga mapema hii leo Agosti 5, 2025 amekagua mabanda mbalimbali katika maonesho ya Wakulima nane nane na ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Hatma ya plastiki yazua mjadala mkali

 MKUTANO wa sita wa wapatanishi wa kimataifa kuhusu mkataba wa marufuku ya plastiki umeanza nchini Uswisi, huku mataifa ya visiwa yakis . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Rwanda yapokea wahamiaji 250

 SERIKALI ya Rwanda imeripotiwa kusaini makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji 250 waliotimuliwa nchini humo, katika kile kinac . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Mkurugenzi INEC ataka vyombo vya habari kutopendelea chama cha siasa

Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) Ramadhani Kailima amevitaka vyombo vya habari kuripoti habari za uchaguzi bila kupendele . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Mashindano ya Kwanza ya Dunia ya Soka la Roboti Kuandaliwa , Timu 30 Kuonesha Ubora wa AI

Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo roboti hao . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Jinsi Ya Kudhibiti Kupanda Kwa Shinikizo La Damu

Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 5, 2025

Mwaka mmoja baada ya Sheikh Hasina kukimbia, nchi yaandika Katiba yake mpya

Mwaka mmoja uliopita, tarehe 5 Agosti 2024, Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina alikimbia nchi, akishinikizwa na wiki kadhaa za maandama . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Mkutano wa 45 wa SADC waanza rasmi jijini Antananarivo

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04 mwaka huu jijini Antananarivo, M . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Mahakama yakubali ombi la kuwalinda mashahidi wa Lissu

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Serikali la kuwalinda mashahidi wake ambao ni raia wa kawaida katika kesi ya uhaini in . . .

Kurasa 32 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category