Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula alisema hayo bungeni Dodoma juni 23 alipoeleza mafanikio ya sekta ya utalii wakati akichangia taarifa ya hali ya uchumi, Mpango wa Maendeleo wa Ta . . .
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amesema atasimamia ukweli kwa kueleza na kutetea mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.Tarimba amesema tangu Rais Samia aingie madarakani, amekuw . . .
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi.Ametangaza kuanzia jana hadi Julai 30 mwaka huu taasisi za umma zijiunge . . .
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza miradi ya umeme katika vitongoji kwa kuzingatia vigezo vya ziada ikiwemo ukubwa wa vitongoji, jimbo na mahi . . .
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemteua Dk Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, iliyopo jijini Mwanza.Taarifa kwa umma iliyotolewa Juni 23, 2 . . .
Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, Juni 23,2025 wakati akihutubia hotuba ya kulifunga baraza hilo huko Chukwani, Zanzibar, ambapo alisema ukomo wa Baraza la 10 utafikia Agosti 13 mwaka huu, kwa mujibu . . .
Katika taarifa iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 24, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Rais Samia amemteua Estomin Kyando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.Pia, Rais Samia a . . .
BAADHI ya wabunge wa vyama vya Democrats na Republican wamelitaka bunge la Congress kupitisha uamuzi wa kuzuia Amerika kuingilia mapigano yanayoendelea katika Mashariki ya Kati.Lakini huenda uamuzi hu . . .
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge watapiga kura kupitisha bajeti kuu ya Serikali ya shilingi trili . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Kibaha Mkoa wa Pwani imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa Yasini Hassan Kibabu, Miaka 19, Mkulima na mkazi wa Ungindoni, Kibaha baada ya kupatikana na hatia ya . . .
Serikali imesema imewekeza nguvu kubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) vyombo vya ulinzi na usalama wadau wa ndani na nje . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango, wameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki kutoka kote duniani kushiri . . .
SERIKALI imesema imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne, ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima.Hayo yames . . .
TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wilayani Ilala imebaini katika Kata ya Pugu baadhi ya wanawake wanazaa na waume za watu na kujihesabia haki kuwa nao ni wake halali ilihali ndoa ya . . .
IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika majimbo mbalimbali nchini.lina t . . .
Serikali ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani dhidi ya vituo vyake vya nyuklia, ikiyataja kuwa ya kikatili na ukiukaji wa sheria za kimataifa.Waziri wa Mambo ya Nje wa . . .
SERIKALI imesema inafanya jitihada za kuwarejesha nyumbani Watanzania wote waliopo Israel na Iran ili kuwaepusha na mashambulio yanayoendelea baina ya mataifa hayo mawili ya Mashariki ya Kati.Katika t . . .
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na taasisi nyingine za elimu, kusimamia na kudhibiti ubora . . .
WAANDISHI 1,200 wamejisajili kwenye mfumo wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) mpaka jana.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Wakili Patrick Kipangula amesema kwamba leo ndiyo mwisho wa waandish . . .
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Benedicto Ngaiza, amewataka wataalamu wa sekta ya afya ea mikoani ya Mtwara, Lindi na Wilaya ya Tunduru kusimamia vyema ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vya kutolea . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza jitihada za kuhifadhi mazingira ziendelee kufanyika kikamilifu kwa kushirikiana na sekta zote nchini na kwamba ni muhimu kulinda mazingira hasa Ziwa Viktoria ili lien . . .
Bohari ya Dawa (MSD) imesema uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa za afya ndani ya nchi unahitaji kuimarishwa ili viwanda vizalishe zaidi, kukidhi mahitaji ya nchi na kuliingizia Taifa fedha za kigen . . .
MKAZI wa Kimara Sara Mtoka ameeleza namna kikundi cha kukopeshana fedha cha wanawake (VICOBA) kilivyosababisha nyumba yake kuuzwa kimakosa.Mtoka alieleza hayo jana Mbagala alipofika kwenye Kampeni ya . . .
SERIKALI imeanzisha programu ya kugeuza maji ya mafuriko kuwa fursa kwa wananchi ya kuimarisha ustawi wa wananchi kupitia kilimo cha umwagiliaji, uvuvi, maji safi pamoja na mifugo.Waziri wa Maji, Juma . . .
Taasisi ya kudhibiti dawa ya Marekani imeidhinisha dawa mpya ya kuzuia virusi vya Ukimwi.Dawa hiyo inayofanya kazi kwa muda mrefu, Lenacapavir, inahitaji tu kutumika mara moja kila baada ya miezi sita . . .
Maafisa wawili wa polisi waliomshambulia na mmoja wao kumfyatulia risasi kijana aliyekuwa anauza barakoa siku ya maandamano ya kupinga mauaji ya kijana Albert Ojwang aliyefia mikononi mwa polisi nchin . . .
Nchi kadhaa za Kiafrika zinafanya mipango ya kuwarudisha raia wao nyumbani kwa hofu kwamba wanaweza kukwama katika mzozo wa vita baina ya Israel na Iran uliozuka tarehe 13 Juni.Inaelezwa kuwa Uganda i . . .
Kiongozi wa China Xi Jinping amemwambia mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwamba usitishaji mapigano katika vita vya Iran na Israeli ni "kipaumbele kisichozuilika," vyombo vya habari vya serikali ya Ch . . .
Rais Samia Suluhu Hassan leo, Alhamisi Juni 19, 2025 amezindua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) jijini Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.0 na barabara unganishi yenye urefu wa kilometa 1.66. Mio . . .
WAFUNGWA 73 kutoka magereza mbalimbali nchini wamehitimu mafunzo ya ufundi stadi katika fani mbalimbali Chuo cha Magereza Ruanda jijini Mbeya hatua inayolenga kuwasaidia kupata ajira au kujiajiri pind . . .