Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amethibitisha kuwa kwa sasa yuko mafichoni akihofia usalama wa maisha yake, huku hali ya kisiasa nchini humo ikiendel . . .
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika Januari 21, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma . . .
Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Guinea-Bissau, Jenerali Horta N'Tam, ametangaza Desemba 6 kama tarehe ya uchaguzi wa urais na wa wabunge unaokusudiwa kuashiria madaraka kurejea kwa raia, kulinga . . .
Siku ya Jumatano, Januari 21, katika Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos, na kisha siku iliyotangulia katika Ikulu ya White House, katika kumbukumbu ya miaka ya kwanza ya kurudi kwake madarakani, Rais . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakihusiki kwa namna yoyote na uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuzuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa.Ufafanuzi huo umetolewa . . .
Rais mteule wa Chile anayefuata siasa kali za mrengo wa kulia Jose Antonio Kast amewateuwa wanasheria wawili wa dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Augusto Pinochet, kuongoza wizara za ulinzi na haki za b . . .
MAELFU ya raia wa asili ya Kikurdi wamejitokeza katika maandamano kwenye miji mbalimbali ya Ujerumani wakionyesha mshikamano na wenzao kufuatia mapigano kati ya vikosi vya Wakurdi na wanajeshi wa seri . . .
Kama sehemu ya sheria mpya za uhamiaji zilizoungwa mkono na Rais Donald Trump, Marekani imetangaza kuanzia Jumatano, Januari 21, kusitishwa kwa maombi yote ya visa za kudumu za uhamiaji kutoka nchi 75 . . .
Jeshi la Marekani limekamata meli nyengine ya mafuta inayomilikiwa na Venezuela kwenye Bahari ya Karibi, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi hilo siku ya Jumanne (Januari 20).Kamandi ya Kusini . . .
UKRAINE na Urusi zimeripoti vifo na majeruhi kufuatia mashambulizi ya pande zote hali inayoonyesha kuendelea kwa mapigano makali kati ya mataifa hayo mawili.Kwa upande wa Ukraine raia watatu wameuawa . . .
Hasira imeibuka mtandaoni baada ya Mkuu wa jeshi la Uganda, Muhoozi Kainerugaba, kutoa mfululizo wa machapisho ya uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, hususan kumtishia kumsaka na kumuua kiongozi wa . . .
VIONGOZI wote wa Serikali ya Kijiji cha Namwanga Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejiuzulu nyadhifa zao kwa pamoja wakilalamikia kile walichokitaja kuwa ni ukandamizaji na udhalilishaji . . .
KESI iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Geoffrey Mwambe katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akipinga kunyang'anywa hati yake ya kusafiria imesikilizwa leo.Kes . . .
KATIKA kisa cha kusikitisha Chifu wa Turbo Kaunti ya Uasin Gishu William Koros ameruhusu familia ya watoto saba mayatima kuwa ombaomba ili kupata karo ya kumpeleka mmoja wao kujiunga na Gredi ya 10.Am . . .
SERIKALI ya Uganda imerejesha japo kwa kiwango fulani tu, huduma za mawasiliano baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu ushindi ambao umepingwa na upinzani wake.Kutokana . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei kilichotokea usiku wa kuamkia Januari 19 mwaka huu jijini . . .
Mvutano wa kisiasa nchini Uganda umeongezeka zaidi baada ya mkuu wa jeshi la nchi hiyo Jenerali Muhoozi Kainerugaba kutoa vitisho vya wazi vya kumuua kiongozi wa upinzani Bobi Wine kufuatia uchaguzi m . . .
Viongozi wa Ulaya wanashiriki Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) ambalo litafanyika mjini Davos wakati mvutano baina yao na mshirika wao wa kijadi Marekani ukizidi kufuatia kitisho cha Donald Trump kukitw . . .
Makundi yenye silaha yawateka nyara waumini 163 wa Kikristo baada ya kuyavamia makanisha mawili katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa Nigeria.katika taarifa zilizotolewa Januari 19 mwaka huu zilisema k . . .
Serikali ya Syria imesema kiasi cha wafungwa 120 wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu (IS) wametoroka gereza la Shaddadi lililokuwa likidhibitiwa na wapiganaji wa Kikurdi (SDF) kaskazini mashariki mwa . . .
Gavana wa kwanza wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei (94), amefariki dunia usiku wa kuamkia Januari 19 mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa . . .
Polisi wa Jimbo la Kaduna walmesema kwamba watu wenye silaha za kisasa walishambulia makanisa hayo mawili huko Kurmin Wali, jamii ya msitu katika wilaya ya Afogo, siku ya Jumapili yapata saa 5:25 mcha . . .
Msemaji wa idara ya mahakama ya Iran amesema hadi sasa hakuna adhabu yoyote ya kifo iliyotolewa inayohusiana na maandamano ya hivi karibuni ya kuipinga serikali.Afisa mmoja wa serikali ya Iran amesema . . .
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wanazidisha juhudi za kumzuia Rais wa Marekani Donald Trump asiwawekee washirika wa Ulaya ushuru mkubwa, wakati wakijitayarisha na hatua za kulipiza kisasi endapo ushu . . .
Rais Bernardo Arevalo wa Guatemala ametangaza hali ya hatari ili kukabiliana na magenge yaliyouwa maafisa wanane wa polisiAmbapo Arevalo alisema kuwa tayali vyombo vya usalama vimerejesha udhibiti wa . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary Peter Szijjarto amesema kuwa Waziri Mkuu Viktor Orban amekubali mwaliko wa kujiunga na bodi ya kimataifa itakayokuwa na jukumu la kusimamia utekelezaji wa hatua zinaz . . .
RAIS William Ruto amewachukua baadhi ya wapangaji mikakati waliokuwa wakihudumu katika ODM chini ya aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga kumsaidia katika safari ya kuhakikisha nchi inapiga hatu . . .
Watu kadhaa wamefariki na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili, Januari 18, kusini mwa Uhispania, msemaji wa kikosi jamii, Guardia Civil, ametangaza, wakati treni ilipoacha njia yake na kugongana na tr . . .
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amemtaka Mganga Mfawidhi wa Halmashauri ya Itigi kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mganga Mfawidhi wa Kituo . . .
Takribani watu saba wameuwawa katika machafuko usiku wa kuamkia leo katikati mwa Uganda ikiwa ni siku moja baada ya uchaguzi wa kitaifa ambao unaonekana kumrejesha madarakani Rais Yoweri Museveni kwa . . .