MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mpaka sasa imeshatoa vibali 72 vya kuruhusu wamiliki wa mabasi kuongeza mabasi ya muda ya kusafirisha abiria katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka . . .
SERIKALI imesema imezipokea na kuzifanyia kazi taarifa na matamko mbalimbali yaliyotolewa na nchi rafiki, mashirika ya kimataifa na taasisi za maendeleo kuhusu Tanzania na matukio ya uvunjifu wa amani . . .
Siku moja baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Kinshasa na Kigali nchini Marekani, mapigano mengi yameendelea kurindima mashariki mwa DRC siku ya Ijumaa, Desemba 5. Milipuko kadhaa ilisikik . . .
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amelielekeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linasambaza mita janja mpya za umeme katika mikoa yote nchini ili kuongeza ufanisi, kurahisisha hud . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameielekeza TANESCO kuchukua hatua na kuchunguza kwa kina kauli iliyotolewa na Padri Dk. Charles Kitima akidai kuwa shirika hilo lilizima umeme ili kur . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amewapongeza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa ujasiri wao wa kusaini mkataba wa amani unaolenga kumaliza mzo . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin anaanza ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano hususan katika sekta ya ulinzi. Ziara hiyo imefanyika wakati ambao India inakabiliwa . . .
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kwanza mwakani. Waziri wa Tamisemi Profesa Riziki Shemdoe . . .
Mwanaume mmoja auawa na kundi la watu katika kituo cha ununuzi cha Mururi eneo Bunge la Gichugu akaunti ya kirinyanga baada ya kukamatwa akiiba kuku walioandaliwa kwaajili ya kusherehekea Krismas.Kwa . . .
Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - U . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping jijini Beijing, katika ziara ya siku tatu yenye lengo la kusisitiza juhudi za kusitisha vita nchini Ukraine na kuimarisha uhusian . . .
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema kuwa miundombinu ya msingi ya internet haipaswi kumilikiwa na makampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama na kuzui . . .
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza fursa kwa wamiliki wa mabasi kuwasilisha maombi ya leseni za muda mfupi ili kuongeza huduma za usafiri wa abiria kwenye njia zenye uhitaji mkubwa . . .
Sheria hiyo mpya inawataka watoto walio chini ya umri wa miaka 16 kuwa na akaunti katika majukwaa kama TikTok, Facebook, YouTube na Instagram.Katika kulinda usalama wa watoto mtandaoni na kupunguza ma . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Said Mtanda ametoa wito mahsusi kwa vijana kujikita katika sekta ya kilimo na kusema kuwa wakati umefika kwa vijana kuitumia ardhi kama njia ya kujijenga kiuchumi kupitia mb . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara wa Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Lord Hugo Swire, Ikulu Jiji . . .
Mbunge wa Itwangi Azza Hillal Hamad, amewasihi wananchi kulima mazao ambayo yanastahimili ukame kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri,ambayo inaonyesha kutakuwa na mvua chache.Amebainisha hayo wakat . . .
Jeshi la DRC na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda, wamerushiana maneno kila mmoja akimtuhumu mwingine kukiuka makubaliano ya usitishaji mapigano, siku moja kabla ya viongozi wa Kinshasa na Kigali ku . . .
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine sasa anasema maisha yake yako hatarini na ameamua kuvaa koti la kuzuia risasi.Hivi Karibuni, Bobi Wine n . . .
Hukumu hiyo ya kesi namba 10468/2025 imesomwa Desemba 01, 2025 na Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Fredrick Shayo baada ya upande wa Mashtaka kuthibitisha kutendwa kwa kosa hilo mn . . .
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza limempitisha Diwani wa kata ya Buswelu Bi Sara Poul Ng'hwani kuwa Meya wa Manispaa hiyo baada ya kupata kura 27 na hakuna k . . .
Vikosi vya RSF nchini Sudan vimesema, vimechukua udhibiti kamili wa eneo muhimu la Babanusa, linalotumika pakubwa kwa usafirishaji kusini mwa nchi hiyo kuliko na utajiri wa mafuta.Katika taarifa yao, . . .
Mkoa wa Katavi umeendelea kuwa kivutio cha wawekezaji kufuatia maboresho makubwa ya miundombinu, usalama na kasi ya utoaji leseni katika Sekta ya Madini. Afisa Madini Mkazi wa mkoa huo, Mhandisi . . .
Waziri wa Ulinzi wa Nigeria Mohammed Badaru Abubakar amejiondoa madarakani wakati taifa hilo likikumbwa na ongezeko la matukio ya kutatanisha ya utekaji nyara hususan watoto wa shule. Hatua hiyo . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin anatarajiwa kukutana na mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff mjini Moscow leo Desemba 2 mwaka huu baada ya Ikulu ya White House kusema ina matumaini makubwa ya kufikia . . .
Katika kuendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya kijamii ili kudumisha amani na kuimarisha usalama pamoja na kudhibiti matukio mbalimbali ya kihalifu. Kamanda wa Pol . . .
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon, amekabidhi rasmi gari jipya kwa Divisheni ya Ardhi na Mipango Miji, lengo likiwa ni kuongeza ufanisi na kuwafikia wananchi kwa haraka zaidi katika u . . .
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi na kufikisha idadi ya watu 330 huku nchi hiyo ikikabiliana na mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya hali ya . . .
Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Masuala ya Amani (SIPRI) yenye makao yake makuu nchini Sweden imesema Mauzo ya watengenezaji wakuu 100 wa silaha duniani yalifikia rekodi ya dola bilioni 6 . . .
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 12 waliotekwa nyara na kundi la kigaidi la Islamic State West Africa Province (ISWAP) katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Wasichana . . .