Rais wa Marekani Joe Biden amesema "anapitisha mwenge kwa kizazi kipya" alipokuwa akielezea uamuzi kuondoka kwake ghafla kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa 2024.Amesema hayo kwa Wamarekani . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024. . . .
Wizara ya afya katika Ukanda wa Gaza imesema hivi leo kwamba watuw apatao 39,145 wameuliwa katika kipindi cha zaidi ya miezi tisa ya vita kati ya Israel na wanamgambo wa Kipalestina wa kundi la Hamas. . . .
Marekani imelialika jeshi la Sudan na vikosi vya akiba nchini Uswisi, kwa ajili ya mazungumzo ya upatanishi ya Marekani ili kusitisha mapigano kuanzia Agosti 14, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, An . . .
Nchini Uganda, mwanasiasa wa upinzani Bobi Wine amesema maofisa wa usalama wamezingira makao makuu ya chama chake.Hatua hii inakuja kuelekea maandamano yaliopangwa kufanyika siku ya Jumanne ya wiki hi . . .
IDADI ya watu wanaougua saratani ya uume inaendelea kupanda kote ulimwenguni kutokana na utafiti na uchunguzi uliofanywa na wataalamu.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha . . .
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo Jumatatu kujadili migogoro inayoendelea nchini Ukraine na Mashariki ya Kati.Hata hivyo mkutano huo huenda ukagubikwa na suala la hatua y . . .
Wademokrat wako tayari kugeuza udhaifu wa kisiasa ambao ulikuwa ukimsakama Biden—Umri wake – na kumshambulia Trump.Hii pengine inawezekana kuwa na athari kwa Donald Trump, ambaye ndiye mgombea mwe . . .
Baada ya kutangaza kujiengua kwenye kinyang’anyiro cha Urais wa Marekani, Rais wa Nchi hiyo, Jose Biden amempigia upatu Makamu wa Rais Kamala Harris kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi utakaofanyik . . .
Wananchi na Wanachama wa SACCOS Ya Lupembe Iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Wametaka Kurudisha Kwa Fedha Katika Saccos Hiyo zaidi ya Shilingi Milioni 600 zinazo Daiwa Kutafunwa na Viongozi wa s . . .
Nchini Kenya, rais William Ruto ameteua mawaziri wapya 11 siku ya Ijumaa Julai 19, 2024 jijini Nairobi. Tangazo ambalo linajiri siku 8 baada ya William Ruto kuvunja karibu baraza lake lote la mawaziri . . .
Polisi wa Kenya Jumatano walisema “hakuna maandamano yatakayoruhusiwa” Katikati mwa mji mkuu, Nairobi, kufuatia maandamano ya kuipinga serikali, yaliyosababisha vifo.Nchi hiyo imekumbwa na maandam . . .
Mgogoro nchini Sudan ndio mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu duniani, unasema Umoja wa Mataifa, huku zaidi ya Wasudan milioni 13 wakiwa wamehama au kuwa wakimbizi. Majadiliano yasiyo ya moja kwa moja yal . . .
Mtu mmoja mkazi wa jiji la Dar es Salaam, Shaban Adam (54), anashikiliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini – DCEA, akituhumiwa kutengeneza dawa za kulevya.Adam alikamatw . . .
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za watoto la KidsRights limesema haki za watoto zinazidi kumomonyoka kutokana kuongezeka ka migogoro ya silaha duniani kote, ikiwa ni pamoja na vita vya Gaza, Suda . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Dokta Samia Suluhu Hassan amewataka wana CCM kuwaacha wengine waendelee kujifunza, kwani muda wao wa kuendesha dola . . .
Kikosi cha pili cha maafisa wa polisi 200 kutoka Kenya kiliwasili nchini Haiti Jumanne kuimarisha ujumbe unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ambao unaongozwa na taifa hilo la Afrika Mashariki kupamban . . .
Mwili wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya, aliyefariki kutokana na UVIKO-19 mnamo mwezi Desemba 2020 huko Paris, ambako alikuwa amewasili tu kwa matibabu, na kuzikwa awali huko Bamako nchini Ma . . .
Wabunge wa Gambia Jumatatu waliidhinisha marufuku ya mwaka 2015 dhidi ya ukeketaji licha ya shinikizo kutoka watu wenye mila za kidini katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, wakitupilia mbali mswada hu . . .
RAIS William Ruto amekemea wakfu wa Ford Foundation akiihusisha na vurugu zilizoshuhudiwa nchini wakati wa maandamano yaliyopinga Mswada wa Fedha wa 2024 na jinsi utawala wa Kenya Kwanza unaendesha se . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wananchi kutunza mazingira na kuweka haiba ya mji kuwa safi.Dkt. Mwinyi ameyasema hayo hii leo leo Julai 15, 20 . . .
Kundi la wanamgambo wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza la Hamas, limesema mazungumzo kuhusu usitishaji mapigano yanaendelea na Kamanda wake wa kijeshi Mohammed Deif yuko katika hali nzuri kiafya.Taa . . .
Rais wa Marekani Joe Biden Jumapili amehutubia taifa akiwa katika ofisi yake ya White House akiwataka Wamarekani kupunguza uhasama wa kisiasa na kukumbuka kuwa wote ni majirani baada ya jaribio la mau . . .
Afisa wa ngazi ya juu kutoka Hamas, kundi la wanamgambo wa Kiislamu linalochukuliwa kuwa ni kundi la kigaidi na Umoja wa Ulaya, amezungumza Leo siku ya Jumapili kuhusu uamuzi wa kundi hilo la kusitish . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amejeruhiwa usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2024 wakati akihutubia mkutano wa hadhara mjini Butler, Pennsylvania.Trump, ambaye ni mgombea urais mtarajiwa kwa tik . . .
Wapiga kura milioni 60 wameitwa kupiga kura. Raia wa Iran watachagua kati ya mwanamageuzi Massoud Pezeshkian na Saïd Jalili ambaye ni mhafidhina mwenye msimamo mkali. Katika duru ya kwanza, kiwango c . . .
Polisi wa serikali kuu ya Brazil wamemfungulia mashtaka Rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa utakatishaji wa fedha na ushirika wa uhalifu kuhusiana na almasi ambazo hazikutangazwa.Kiongozi huyo wa mrengo . . .
Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio Jumanne alitia saini sheria inayopiga marufuku ndoa za utotoni katika nchi ambako maelfu ya wasichana wanaolewa kabla ya kufikisha miaka 18.“Wanawake wetu wamep . . .
Tanzania inauza mahindi tani 650,000 nchini Zambia ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kufuatia mazungumzo kati ya Rais Samia Suluhu na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema Aprili 26, 2024 . . .
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akichukua nafasi ya Dkt. Selemani Jafo ambaye amet . . .