logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Top Story
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Mwanamke aliyeenda kwa mganga akutwa amefariki

Monica Patrick (31) Mkazi wa Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu amekutwa amefariki dunia kwa kuuwawa na kisha mwili wake kudumbukizwa kandokando ya kichaka kilichopo pembezoni mwa ziwa Victoria katika M . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Ufaransa yaondoka rasmi Burkina Faso

Hapo Januari, Burkina Faso iliipa Ufaransa mwezi mmoja kuondoa vikosi vyake wakati ikimaliza makubaliano ya kijeshi, yaliyoruhusu vikosi vya Ufaransa kupambana na waasi katika himaya yake, ikielezea k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 20, 2023

Wafanyabiashara watatu mbaroni Iringa kwa utapeli

Jeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia wafanyabiashara watatu wa maduka yaliyopo mkabala na ofisi za mamlaka ya mapato TRA  ambayo yanajihusisha na vifaa vya maofisini kwa kushirikiana na b . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2023

Uturuki kuondoa mabaki ya majengo eneo la tetemeko

Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema kuwa mataifa 95 yamejitolea kutoa msaada katika kazi ya kusafisha, kuondoa mabaki na kuvunja majengo yanayoonekana kuhatarisha usalama wa watu kurejesha eneo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 17, 2023

Serikali ya Somalia inasema imewaua wapiganaji 350 wa Al Shabab katika operesheni tofauti

Serekali ya Somalia Alhamisi imesema wanajeshi wake wanaoungwa mkono na washirika wake wa kimataifa, na wanamgambo wa kikoo wamewaua takriban wanamgambo 350 wa Al Shabab na kujeruhi dazeni zaidi katik . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • February 16, 2023

Pasta Awataka Wakenya Kutoa Sadaka Takatifu Kutakasa Hazina ya Kitaifa

Mhubiri amependekeza kuanzishwa kwa matoleo maalum makanisani ili kutakasa Hazina ya Kitaifa. Pasta Wilfred Lai alikuwa miongoni mwa watumishi wa Mungu walioongoza ibada ya maombi ya taifa katika . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 14, 2023

Wahusika kifo cha Rais wapandishwa kizimbani

Mamlaka za Usalama nchini Chad, zitaanza kuwasikiliza waasi 150 wanaotuhumiwa kusababisha kifo cha Rais Idriss Déby, katika Gereza la Kléssoum, lenye ulinzi mkali, ambao wanashtakiwa kwa ugaidi, kua . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • February 14, 2023

Mchungaji Aliyebeba Bunduki Madhabahuni Akamatwa

Nigeria. Mchungaji wa Kanisa la House on the Rock, Uche Aigbe ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo kwa kosa la kubeba bunduki aina ya AK-47 wakati wa mahubiri ya Jumapili wakati akitoa mahub . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • February 14, 2023

Matumizi ya silaha ya Ukraine ni makubwa kuliko uzalishaji wa vifaa hivyo

Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg anasema matumizi ya mizinga na silaha ya Ukraine katika vita dhidi ya Russia ni makubwa kuliko idadi inayopokea na hivyo umoja huo unahitaji kuongeza uzalishaji i . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 13, 2023

Ataka arudishiwe fedha za fungu la 10 alizotoa

Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria, amelitaka kanisa lake kumrudishia pesa zote alizotoa kama fungu la kumi kwa miaka mingi akidai hana hamu tena ya kuingia mbinguni.Kufuatia video yake mitandaoni m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 10, 2023

Idadi ya vifo Uturuki na Syria yapindukia 20,000

Waokoaji wamefanikiwa kuwapata manusura wengine kutoka kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria.Binti mwenye umri wa miaka 10 aliokolew . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Vifo tetemeko la ardhi Uturuki, Syria vyafikia 16,000

Idadi ya vifo vilivyotokea baada ya tetemeko la ardhi lililotukia nchini Uturuki na Syria, imeripotiwa kufikia zaidi ya watu 16,000 huku watu 62,937 wakijeruhiwa.Vifo hivyo, vilitokea baada ya maelfu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • February 9, 2023

Seneta wa Nigeria Ashtakiwa Uingereza kwa Njama ya Kuvuna Figo

Mwanasiasa tajiri kutoka nchini Nigeria na mkewe wanakabiliwa na mashtaka nchini Uingereza kwa kupanga njama ya kuvuna figo ya mchuuzi ili kumpandikiza binti yao.Ike Ekweremadu, 60, ambaye ni seneta w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2023

Shughuli za kuwatafuta manusura zinaendelea Uturuki na Syria baada ya tetemeko kubwa kuua zaidi ya watu 7,200

Timu za waokoaji nchini Uturuki na Syria Jumanne ziliendelea kuwatafuta manusura waliofukiwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoangushwa na matetemeko makubwa ya ardhi yaliyokumba eneo hilo Jumatatu, na . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • February 8, 2023

Dereva aliyeua mwanahabari mashuhuri bila kukusudia apewa adhabu ya kulipa $920

Dereva mmoja raia wa Rwanda Jumanne alipewa adhabu ya kulipa faini ya faranga milioni moja za Rwanda, sawa na dola 920 kwa kuua bila kukusudia, kufuatia kifo cha mwanahabari mashuhuri ambaye alikuwa m . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • February 7, 2023

Kauli ya Chifu yazusha mapigano, 13 wauawa

Kauli ya machifu kudai kuwa hautambui mamlaka imesababisha kuzuka kwa mapigano ya kugombania ardhi na watu 13 kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa huko Las Anod, mji ambao unagombaniwa na vikosi vya Somali . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Mshika Nyoka auawa na Nyoka

Mshika nyoka na muuzaji wa dawa za asili  za kujikinga na nyoka mkoani Lindi, Bw Japokuwa Masawila amefariki dunia baada ya kugongwa na nyoka ambaye alidhamiria kumdhibiti.Mshika nyoka huyo ambay . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Zaidi ya 500 wafariki kwa tetemeko la ardhi

Zaidi ya watu 500 wamefariki baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Richter 7.9, lililoyakumba maeneo kadhaa ya katikati mwa nchi ya Uturuki na kaskazini magharibi mwa nchi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • February 5, 2023

Amuua Dada wa Kazi na Kumchoma KISU Mama Yake, Naye Auawa na Wananchi

Watu wawili wameuawa huku mmoja akijeruhiwa kwa kuchomwa na kisu maeneo ya Magomeni Kagera, Mtaa wa LudewaInadaiwa kijana Erick aliyekuwa akiishi nyumbani kwa mzazi wake amemuua dada wa kazi (Anna) ba . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Wafugaji 27 wafariki kwa kulipukiwa na bomu machungani

Takriban Wafugaji 27 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika eneo lenye mivutano ya kikabila na kidini nchini Nigeria.Kwa mujibu wa Kamishna wa polisi wa Na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

mapigano ya kikabila Ethiopia yaua raia

Makabiliano hayo yaliibuka siku ya Jumamosi katika mji wa Jewuha lililopo jimbo la Amhara. Mmoja ya mashuhuda ambaye hakutaka kutambulishwa aliliambia shirika hilo la habari kwamba wanamgambo wanaodha . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 26, 2023

Mbwa Ampiga Risasi na Kumuua Mmiliki Wake Wakati wa Uwindaji

Katika kisa adhimu kuwahi kushuhudiwa ulimwenguni, mwanamume mmoja nchini Marekani anaripotiwa kupigwa risasi na mbwa wake walipokuwa mawindoni. Mbwa huyo anasemekana kufyatua risasi hiyo walipok . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Rais wa zamani wa Mauritania kufikishwa mahakamani

Kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz inaanza kesho. Itakuwa ni tukio la nadra kiongozi wa zamani wa nchi barani Afrika kufikishwa mahakamani.Abdel Aziz, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Mwalimu Aliyerekodiwa akichapa Watoto kwenye visigino Asimamishwa Kazi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya Mwalimu aliyeonekana katika picha ya video iliyosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijami . . .

Kurasa 29 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Makala
news
  • 53 dakika zilizopita

Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

Habari
news
  • 57 dakika zilizopita

Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

Habari
news
  • 60 dakika zilizopita

Kalonzo "Sikuweka lami barabara ya kwangu Tseikuru sababu sijatawaliwa na ubinafsi"

Habari
news
  • saa moja lililopita

Zelenskyy" Urusi itashambulia wakati wa Krismasi"

Michezo
news
  • saa moja lililopita

Tanzania, Uganda na Kongo kutupa karata zao AFCON

Habari
news
  • saa moja lililopita

Mzozo kati ya Washington na Abuja 'umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,' yatangaza serikali

Habari
news
  • 17 masaa yaliopita

Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 53 dakika zilizopita
  • Familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo, kuasili zaitwa kutuma maombi

    • 57 dakika zilizopita
  • Kalonzo "Sikuweka lami barabara ya kwangu Tseikuru sababu sijatawaliwa na ubinafsi"

    • 60 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode