Afisa wa vikosi vya usalama vya Iran ameuawa kwa risasi wakati wa maandamano ya mji wa Semirom.Chombo cha habari cha serikali kimesema Jumapili, baada ya zaidi ya siku 100 ya kifo cha Mahsa Amini, kil . . .
Watu wasiopungua 9 wamepoteza maisha kufuatia mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwenye mji wa Uganda, Kampala. Polisi imesema mkanyagano uliotokea dakika chache baada y . . .
Mvulana mmoja wa miaka 11 amejiua katika kijiji cha Kibongoti, kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya sababu kuu ikiwa babu na nyanyake kuchelewa kumnunulia nguo mpya za sikukuu ya Krismasi.Akithibitisha ki . . .
Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a nchini Kenya wanamshikilia mume pamoja na mkewe wenye watoto wanne wa kike baada ya mtoto wao kufichua kuwa baba yao amekuwa akiwabaka.Mume huyo ana . . .
Takriban watu 60 wameuwawa wengi wao wakiwa wanawake na watoto kwenye migogoro katika eneo la utawala la Greater Pibor huko mashariki mwa Sudan Kusini. Watu wengine 20 walijeruhiwa siku ya Jumapili ka . . .
Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa DRC lililogubikwa na vita wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu, nyaraka za mahakama zimeonyesha Jumanne.Wanajeshi wanane na r . . .
Watu 5 wamefariki dunia papo papo Mikumi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro katika ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama "IT" iliyokuwa ikitokea Bandarini Jijini Dar-es-salaam kuelekea&n . . .
Mamlaka ya kisiwa cha Taiwan imesema China ilipeleka ndege 71 za kivita katika eneo la ulinzi la kisiwa hicho katika muda wa saa 24 hadi jna Jumatatu. Kwa upande wake, China ilisema ndege hizo zilikuw . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limekamata bangi magunia matatu yenye uzito wa kilogramu 46 na miche ya bangi iliyolimwa kwa kuchanganywa kwenye bustani ya mbogamboga pamoja na na nyara za serikali yak . . .
Mwandishi wa habari maarufu na mkosoaji wa serikali ya Senegal ambaye amekuwa kwenye mgomo wa kula kupinga mashtaka dhidi yake amehamishiwa hospitalini baada ya afya yake kuzorota. Wakili wa Pape Ale . . .
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Masaki mkoani Pwani aitwaye Lasmin Kondo, amefariki dunia kwa kujinyonga mwenyewe kwa kile kilichoelezwa kuwa ni baada ya wazazi wake kumkataz . . .
Aliyekuwa seneta wa Lamu Anwar Loitiptip anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na kuibiwa alipokuwa akielekea katika nyumba yake ya wageni huko Ngara. Mbunge huyo wa zamani ambaye alihudumu kat . . .
Polisi huyo wa S.Africa aliyewaua kwa kuwapiga risasi wanawake hao wawili aliokuwa nao katika mahusiano kwa wakati mmoja na yeye amekutwa amejiua mahabusu mwezi huuConst Mlungisi(27) aliwaua wanawake . . .
Bi Pacificah Nyakerario, 60, alikamatwa na maafisa wa upelelezi Jumatatu usiku katika maficho yake jijini Nairobi, na kusafirishwa kurudi nyumbani na makachero hao. Alikuwa ametoroka Kisii mnamo . . .
Nchi ya Ufaransa, imeishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23 wanaodaiwa kutekeleza mauaji ya raia 131 katika kijiji cha Kishishe, mwishoni mwa mwezi uliopita, katika jimbo la Kivu Kaskazini.&n . . .
Watu wenye bunduki wamewaua takriban raia 8 huku wengine 7 wakijeruhiwa katika jimbo la kaskazini mwa Iraq la Diyala, kulingana na ripoti ya Jumatatu kutoka polisi na maafisa wa afya.Shambulizi hilo l . . .
Calista Haule (15) mkazi wa kijiji cha Lifua kata ya Luilo wilayani Ludewa mkoani Njombe amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akiwafunga mbuzi chini ya mti baada ya kuwatoa malishoni.Kwa mujibu w . . .
Watu watano wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ghorofa katika kijiji cha Sembeti, Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na k . . .
Basi la kampuni ya Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Arusha limeteketea kwa moto eneo la kwa Makocho majira ya saa nne asubuhi leo hii.Bado taarifa rasmi hazijatoka kuhusiana na . . .
Karibu watu 19 wamekufa baada ya lori la mafuta kuanguka na kushika moto nchini Afghnaistan huku wengine 30 wakijeruhiwa vibaya, taarifa hii ikiwa ni kulingana na maafisa jana Jumapili. Maafisa hao wa . . .
Oliver Meshaki (19), mkazi wa Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili akiwa hai kwa kigezo cha kumnyi . . .
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa hapa.Mushy aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Balozi wa Tanzania nch . . .
Polisi wako macho baada ya kupokea ripoti za ujasusi zinazobainisha kwamba kundi la kigaidi la al-Shabaab, linapanga misururu ya mashambulizi wakati wa msimu wa sikukuu ya Christmas.Kamanda wa Kaunti . . .
Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Waziri mkuu wa DRC Jea . . .