logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Mgombea urais AAFP kumaliza kero Soko la Songea ndani ya siku 90

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kumaliza kero za soko kuu la mkoa wa Ruvuma ndan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Mabasi ya Mwendokasi zaidi ya 200 kuingia barabarani

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kuwa watulivu na wavumilivu wakati Serikali ikiendelea kushughulikia cha . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Ombi mshukiwa wa mauaji ya wagonjwa KNH Kalombotole apimwe akili kwa mara ya pili

MSHUKIWA mkuu katika mauaji ya wagonjwa katika Hospitali Kuu ya Kenyatta, Kennedy Kalombotole amerudishwa rumande kusubiri uamuzi iwapo atap . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Joseph Kabila ahukumiwa kifo kwa uhaini

Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila baada ya kumtia hatian . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Jeshi la Israel lazuia njia ya kuelekea kaskazini mwa Gaza

Jeshi la Israel limesema Jumatano litaifunga njia ya mwisho iliyosalia kwa ajili ya wakaazi wa kusini mwa Gaza kuelekea kaskazini, huku liki . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Deni lililofichwa nchini Senegal: Macky Sall aanzisha mjadala

Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Maelfu ya waandamanaji waandamana na kumtaka Rajoelina ajiuzulu

Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoel . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

MAJALIWA MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU WA LISHE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Septemba 30 mwaka huu ni mgeni rasmi katika mkutano wa kumi na moja wa wadau wa lishe unaofanyika katika uku . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

VIWANGO VYA UDUMAVU NA UKONDEFU VYAPUNGUA NCHINI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutok . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Tanzania yabainisha kuongeza ufanisi na Benki hiyo ya dunia

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, ameihakikishia Benki ya Dunia kwamba, Serikali itaendelea kushirikiana na Benki hiy . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Serikali Yalenga Kuifanya Elimu ya Juu Kuwa ya Ushindani Kimataifa

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa inaendelea kutekeleza ajenda yake ya kuifanya elimu ya juu nchini kuwa ya ushindani kat . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

WATUMISHI ARDHI WATAKIWA KUTOKUA SEHEMU YA MIGOGORO YA ARDHI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga, amewataka watumishi wa Wizara hiyo kutojihusisha na m . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

TANROADS, POLISI WAKAGUA MAENEO YENYE AJALI ZA MARA KWA MARA KATIKA MTANDAO WA BARABARA NCHINI.

Wizara ya Ujenzi kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira kinaendelea na utekelezaji wa ukaguzi wa maeneo hatarishi katika mtandao wa Baraba . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

VKB wapongezwa vijana kuwa chachu katika kuleta mageuzi ya kilimo

Mradi wa Vijana Kilimo Biashara (VKB) wapongezwa kuwa chachu kwa vijana katika kuleta mageuzi kwenye mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Mwinyi awaomba kura wauza samaki,wajasiriamali Zanzibar

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na kampeni zake kwa kutembelea soko kuu l . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Othman Masoud aanza ziara ya siku saba Pemba

Mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameondoka leo Unguja kuelekea kisiwani Pemba kwa ajili ya ziara ya siku saba . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Folz ataka muda kuijenge timu ya Yanga SC

WAKATI timu ya Yanga SC ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya katika maandalizi ya mchezo dhidi ya Mbeya City, Kocha Mkuu wa Yanga, R . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Hemed Suleiman 'Morocco' aitakia Simba ushindi mkubwa

KOCHA wa muda wa Simba, Hemed Suleiman 'Morocco' amesema haikuwa rahisi kuvuka mechi ya raundi ya kwanza kwa timu hiyo, kwani ilikuwa inache . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefunga rasmi daftari la kudumu la wapiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amesema tume hiyo imefunga rasmi daftari la kudumu la wapiga kura ka . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Hili hapa Suluhisho la Wapenzi Wanaogombana Mara kwa mara

SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila k . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

FIFA imetoa adhabu kwa SAFA

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada ya kubainika kumcheze . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 30, 2025

Wizara ya Maliasili na Utalii yaja na Mfumo wa ukusanyaji Taarifa za Matukio ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekuja na mkakati wa kupata taarifa sahihi na kwa haraka kupitia Mfumo wa Kieletroniki wa Uk . . .

TOP STORY
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Teknolojia ya chupa za plastiki kuendeleza kilimo

JE, baada ya kushabikia kinywaji kilichositiriwa na chupa ya plastiki, huwa unafanya nini na chupa hiyo?Wengi huweka chupa za plastiki kweny . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Raila aanza kulinda gome zake

KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga ameanza kulinda ngome zake za kisiasa dhidi ya uwezekano wa kuvamiwa na mshirika wake Rais William Ru . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Mamlaka ya Taliban yazima mtandao wa intaneti

Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."Mapema . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Netanyahu aukubali mpango wa amani wa rais Donald Trump

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rai . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Watu 95 wafariki kutokana na njaa pamoja na magonjwa Sudan

Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Guinea kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa urais baada ya mapinduzi Disemba 28

Guinea imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais Desemba 28, uchaguzi wa kwanza tangu Jenerali Mamadi Doumbouya achukue mamlaka katika mapi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA BIASHARA WA HUNGARY ATUA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó amewasili nchini Septemba 29 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku mo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

WAZIRI KOMBO AMPOKEA RASMI WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA BIASHARA WA HUNGARY

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Biashar . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

WAHAMIAJI HARAMU ZAIDI YA 190 WAKAMATWA MKOANI DODOMA. ? ?

‎Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu zaidi ya 190 kutoka mataifa mbalimbali kwa kipindi cha septemba . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

SERIKALI YAIMARISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KUPITIA NDEGE NYUKI ZA KILIMO

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imezindua mafunzo ya siku kumi ya urushaji wa ndege nyuki za kilimo (agricultural drones) kwa wataalamu wa . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Doyo Hassan Doyo aahidi kuboresha miundombinu ya barabara na nishati katika Jiji la Mwanza

Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameahidi kuboresha miundombinu ya barabara na nishati katika Jiji la Mwanza na mkoa m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Kanisa Michigan lashambuliwa wanne wapoteza maisha

Kufuatia shambulio lililofanywa na  mtu mwenye silaha kari baada ya  kushambulia ibada katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Kikwete, amesisitiza amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu oktoba

 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Rais Mstaafu, akitoa hotuba yake kwa wananchi wa Kibaha kufuatia  kampeni zinazoendelea . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Dkt. Samia aahidi ujenzi wa bandari mpya Bagamoyo

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa ya mae . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Ahmed Arajiga kuchezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026,

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, ka . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

Ghorofa liloporomoka Kariakoo kesi yafika mahakama kuu ya ardhi

Kesi ya Ardhi namba 6075 ya mwaka 2025, inayowahusisha Kanari Swai na wenzake 49 ambao ni  wadaiwa mbalimbali, leo imewasilishwa katika . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

FAIDA YA KULA MBOGA AINA CORN FLOWER

Mboga ya cornflower (pia hujulikana kama bachelor's button au Centaurea cyanus kwa jina la kisayansi) si tu mmea wa mapambo, bali pia ina fa . . .

TOP STORY
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Anatumia migomba ya ndizi kuunda ‘rasta’ za kina dada kusukia nywele

KARATASI za plastiki au nailoni zinazidi kuwa kero kuu katika mataifa mengi kutokana na athari zake kwenye mazingira.Nchi nyingi ulimwenguni . . .

Kurasa 19 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category