logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Constant Mutamba kufungwa miaka 13 jela

Kesi hiyo, iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha karibu dola milioni 20, imefungwa siku ya Jumatano, Agosti 1 . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Samandito Gombo achukua fomu kuwania nafasi ya urais kupitia CUF

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13 mwaka huu amechukua fomu ya kute . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Kabwe yaibuka kidedea mchakato wa kura Jimbo la Kigoma Mjini za maoni

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika  Agosti 12 mwaka huu.Katika mchakato huo uliofanyika . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Putin na Trump kukutana Alaska wiki hii

VIONGOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) wamemuomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhakikisha usalama wao katika mkutano wa kilele na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, unaotarajiwa kufanyika wiki hii utakaojad . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Tani 18.5 za madawa ya kulevya zakamatwa na DCEA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yenye Mifuko 756 yenye uzito wa jumla wa kilogramu 18,485.6, saw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 12, 2025

Ukraine inastahili kuamua yenyewe kuhusu mstakabali wake

Viongozi kutoka katika mataifa ya Umoja wa Ulaya wamesisitizia haki ya raia wa Ukraine kuamua wenyewe kuhusiana na masuala ya mustakabali wa taifa leo.Wito wa viongozi hao unakuja wakati huu zikiwa zi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Makamanda wa kijeshi jijini Khartoum waahidi kuondoa vikosi vyake nchini humo

Makamanda wa kijeshi jijini Khartoum siku ya Jumapili wameahidi kuondoa vikosi vyao kwenye mji huo na kuahidi  kwamba hawatawaunga mkono wapiganaji wowote watakaosalia baada ya makubaliano ya mwi . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

GAVANA wa Tana River azua ghadhabu kwa madai ya kutowalipa fidia waathiriwa visa vya moto

GAVANA wa Tana RiverGAVANA wa Tana River, Dhadho Godhana, amezua ghadhabu kwa kudai kuwa hatawalipa fidia waathiriwa wa visa vya moto katika kaunti hiyo.Msimamo wake unakuja baada ya jopo lililobuniwa . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

George Aladwa kuwania kiti cha ugavana Kenya mwaka 2027

CHAMA cha ODM sasa kinalenga kiti cha ugavana wa Nairobi huku shinikizo za kichinichini sasa zikitaka Mbunge wa Makadara, George Aladwa, apokezwe tiketi ya kuwania ugavana mnamo 2027.Haya yanajiri baa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Mapigano yarindima kati ya kundi la AFC/M23 na FARDC

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano yamerekodiwa tena wikendi hii kati ya kundi la waasi la AFC/M23 na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na Wazalendo. Mapigano haya yalifanyi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 10, 2025

Benjamin Netanyahu" Mpango mpya wa Israel kwa Gaza ndio 'njia bora ya kumaliza vita"

Mpango mpya wa Israel wa kuuteka mji wa Gaza "hauna lengo la kuikalia kwa mabavu Gaza," Benjamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Agosti 10, akiuona kuwa "njia bora ya kumaliza vita" ambavyo vi . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Chama cha siasa cha NRA yaja na ilani inayozingatia huduma kwa wananchi

Mustakabali wa kisiasa wa Tanzania unapata matumaini mapya kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) ambacho kimezindua ilani yake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa kuweka mbe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

NIDA kuzindua mfumo mpya wa kufuatilia maombi ya vitambulisho

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuzindua mfumo mpya wa kidijitali utakaowawezesha wananchi kufuatilia maendeleo ya maombi ya vitambulisho vyao kwa kutumia ujumbe mfupi wa maandishi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Dkt. Tulia "Mwili wa Ndugai Kuuagwa Viwanja vya Bunge Kabla ya Maziko Kongwa"

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kuwa shughuli ya kumuaga Hayati Job Ndugai itafanyika siku ya Jumapili katika viwanja vya Bunge, Dodoma, kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda nyumbani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Marekani yajenga kituo cha wahamiaji Texas

SERIKALI ya Marekani imejenga kituo chake cha kwanza kikubwa cha kuhudumia wahamiaji katika kambi ya jeshi la Fort Bliss, jimboni Texas, karibu na mpaka wa Mexico.Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Trump, Putin kukutana wiki ijayo

: NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, wiki ijayo.Polyanskiy amesema mkutano huo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Dkt. Samia afanya uzinduzi wa maabara kuu ya kilimo Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mkoani Dodoma, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha tija, ubunif . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Sudan yalia na mlipuko wa kipindupindu pamoja na baa la njaa

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takribani watu 100,000 nchini Sudan wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwezi Julai mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dk. Tedros Adhanom Ghe . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya uagizaji mafuta nchini

Serikali kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), imesema kuwa imeendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi na uagizaji mafuta nchini kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa nishati safi, sal . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Zaidi ya wakulima 18,000 watarajia kunufaika na Kilimomisitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa zaidi ya wakulima 18,000 wanatarajiwa kunufaika moja kwa moja na Mpango wa Taifa wa Kilimomisitu ifikapo mwaka 2031, ambao unal . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza utoaji chanjo ya gonorrhea

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza duniani kuanza kutoa chanjo dhidi ya maambukizi ya gonorrhea, ikiwa ni hatua muhimu katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo wa zinaa ambao umekuwa ukiongezeka kwa kasi k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Mawaziri wawili wauawa ajali ya helikopta

WAZIRI wa Ulinzi wa Ghana, Edward Mane Boamah, na Waziri wa Mazingira, Sayansi na Teknolojia, Ibrahim Murtala Muhammed, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea jana, Jumatano.Kwa mujibu . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Uingereza yapiga marufuku ‘daktari wa mitaani’

SERIKALI ya Uingereza imetangaza mikakati mipya ya kudhibiti upasuaji wa kuboresha mwonekano wa mwili, ikiwemo kuongeza makalio, kukuza midomo, pamoja na kuondoa mikunjo usoni, kwa lengo la kuwalinda . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Ruto" Masoko ya China ni muhimu"

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema kuwa uamuzi wa Kenya katika sera za mambo ya nje unaongozwa kwa maslahi ya taifa , huku akijibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia upya hadhi ya Kenya kama ms . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2025

Marekani kuteketeza mamilioni ya vidonge vya uzazi wa mpango

Shirika moja la kimataifa linalohamasisha masuala ya uzazi wa mpango, IPPF, sasa linasema nchi ya Marekani kuchoma moto wa dawa za vidhibiti mimba zenye thamani ya dola za Marekani milioni 9.7 kutasab . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 7, 2025

Ufaransa kuimarisha mahitaji ya viza kwa wanadiplomasia wa Algeria

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, sasa ameitaka serikali yake kuimarisha mahitaji ya viza kwa wanadiplomasia wa Algeria ambapo wakati huu mzozo baina ya rai hao wa Algiers kuhusu kufukuzwa umeonekana . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Mteja aliyeihujumu Tanesco akamatwa Geita

Katika zoezi la ukaguzi wa mita lililofanyika katika Kata ya Nkome Wilaya ya Geita Mkoani humo, wakaguzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamebaini udanganyifu wa matumizi ya umeme kutoka kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Hiroshima imeadhimisha miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia

MJI wa kihistoria wa Hiroshima nchini Japan umeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia kwa bomu la atomiki mashambulizi yaliyochangia kumalizika kwa Vita vya Pili vya Dunia.&nb . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

2,109 waidhinishwa bodi ya Ithibati huku 43 wakwama

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula, amesema hadi jana Agosti 5, 2025, bodi ilikuwa imepokea maombi zaidi ya 3,200 kwa ajili ya Ithibati na . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 6, 2025

Bei ya petroli imeshuka huku dizeli ikionekana kupanda

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia  Agosti 6 mwaka huu zikionesha kupungua kwa bei ya petroli . . .

Kurasa 18 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbunge wa Ilemela agawa pikipiki kwa vijana

    • 4 masaa yaliopita
  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 7 masaa yaliopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 7 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode