Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni Mkoa wa Tanga.Taarifa ya kifo hicho imetolew . . .
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amepongeza tamasha la ‘Dream Car’ lililofanya wilayani Kilolo hivi karibuni akilielezea kama mkakati wa kuhamasishana kimaendeleo, kuchochea ubunifu na kuwajen . . .
Kufuatia madai ya kutekwa na watu wasiojulikana kwa mwimbaji wa nyimbo za injili Elisha Juma mkazi wa Mtaa wa Kadisi, Kata ya Katente wilayani Bukombe mkoani Geita, Jeshi la polisi mkoani humo limesem . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva wa tano wa magari yanayosafirishwa njeya Nchi (IT) kwa makosa ya kusafirisha abiria bila kibali.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Waandishi w . . .
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu ka . . .
Marekani imesitisha uchakataji wa Maombi ya Visa nchini Zimbabwe mpaka hapo taarifa kwa kina itakapo tolewa ambapo Ubalozi wa Marekani mjini Harare umesema uamuzi huo umetokana na wasiwasi fulani dhid . . .
Tanzania na Japan zimesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika uendelezaji wa rasilimali watu katika sekta ya ujenzi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Baloz . . .
Watoto watatu wa familia tatu, wawili wakiwa wa kitongoji kimoja wamefariki kwa kukosa hewa baada ya kujifungia kwenye hema ambalo ndani yake waliweka jiko la mkaa.Akithibitisha kutokea kwa tukio hi . . .
UBWABWA kwa wote, kilimo kwanza na nishati safi ndiyo baadhi ya ahadi zinazobeba ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.Katika kampeni zinazotaraji . . .
Kuelekea mkutano baina yao ndani ya siku chache zijazo kufuatia mazungumzo baina ya viongozi hao na rais wa Marekani, Donald Trump na wale kutoka umoja wa Ulaya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amek . . .
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani.Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa . . .
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Chama hicho hakijaridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na Mahakama katika shauri linaloendelea baada ya Mahakama kutakataa . . .
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Amir Mkalipa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanawapeleka watoto shule ili wapate elimu ya dini na dunia.Akizungumza katika viwa . . .
MKAZI wa Kijiji cha Magugu, John Claude (24), maarufu 'mdogoo" amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, akikabiliwa na mashtaka ya kumbaka na kumwingilia kinyume cha maumbile, mwanafu . . .
WAPENZI wa Kiswahili nchini na kanda nzima ya Afrika Mashariki wanaomboleza kifo cha msomi na mwandishi Profesa John Hamu Habwe ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 62.Profesa Habwe alifariki akiti . . .
WAPENZI wa Kiswahili nchini na kanda nzima ya Afrika Mashariki wanaomboleza kifo cha msomi na mwandishi Profesa John Hamu Habwe ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 62.Profesa Habwe alifariki akiti . . .
RAIS wa Syria, Ahmed al-Sharaa, amesema juhudi za kuunganisha taifa hilo baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe hazipaswi kufanyika kwa njia ya umwagaji damu.Akihutubia kupitia televisheni y . . .
TANZANIA imepongezwa kwa utendaji mzuri wa kushughulikia changamoto za kiusalama katika Kanda ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya S . . .
Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mazungumzo ya njia ya simu mapema Jumamosi na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky pamoja na viongozi wa nchi za Ulaya kuwapa taarifa ya mazungumzo kati yake . . .
Sakata la ndugu wa marehemu, Mohamed Ally (20), mkazi wa Jiji la Arusha, mwili wake kudaiwa kuzuiwa kuchukuliwa na ndugu zake katika Hospitali ya Rufani ya Mount Meru, limechukua sura mpya.Kaimu Mgang . . .
Mfuko wa SELF ulio chini ya Wizara ya Fedha umefanikiwa kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Shilingi bilioni 196.9 kuanzia 2021 hadi Juni 30, 2025 ili kuwawezesha wajasiriliamali na taasisi mbalimbali . . .
WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka eneo la Gaza lililoathiriwa na vita.Kwa mujibu wa Shirika la H . . .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakig . . .
WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka eneo la Gaza lililoathiriwa na vita.Kwa mujibu wa Shirika la H . . .
SERIKALI ya Brazil imezindua mpango wa kuyaunga mkono makampuni ya ndani yaliyoathiriwa na ushuru wa asilimia 50 uliotangazwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kwa bidhaa kadhaa kutoka nchini humo.Ra . . .
Wakazi wa kijiji cha Majimbo, kaunti ya Embu, waliachwa na butwaa baada ya kugunduliwa kwa miili ya wanawake wawili wasiojulikana kwenye kijito.wakazi wa eneo la Dallas walikumbana na miili miwili ili . . .
ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua amekatiza ziara yake nchini Amerika ili arejee nyumbani kujishughulisha na kampeni za chaguzi ndogo zijazo.Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) tayari imetangaz . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Rais ya Kimataifa ya Wabunifu wa Mabadiliko katika Sekta ya Maji 2025 (Presidential Global Water Changemakers Award 2025), heshima kubwa inayotolewa na taa . . .
Vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kuokoa Wachimbaji wanne kati ya 25 wafukiwa na kifusi Agost 11 Mwaka huu wakati watengenza Maduara katika Mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapaka . . .
Shambulizi la ndege zisizo na rubani limelenga mji wa Tambul, kusini mashariki mwa Khartoum, siku ya Jumatano, Agosti 13, 2025, wakati sherehe za jeshi zilikuwa zikiendelea. Tambul iko katika Jimbo la . . .