Hizi ndizo familia maarufu za kihalifu (mafia) zilizoanza zamani lakini bado zinahusishwa na shughuli haramu hadi leo kimya kimya:1. Familia ya Gambino – New York Iliongozwa na nguli John Gotti . . .
CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kikipata ushindi katika Uchaguzi Mkuu serikali yake itajenga kambi za kutunza wazee kwenye kila mkoa.TLP imesema kila kambi itakuwa na uwezo wa kutunza wazee 1 . . .
MKOA wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa inayoshuhudia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa kiwango kikubwa.Mji huu wa biashara ‘unasukwa’ kila kona, hasa kwa ujenzi wa barabara . . .
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari 100, bajaji 100 na pikipiki 284, hatua inayolenga kuongeza ufanisi ka . . .
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbali . . .
SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya kiuchumi yanayochochewa na teknolojia ya kidijitali.Kauli hiyo imeto . . .
Profesa Palamagamba Kabudi na Spika Dk Tulia Ackson wamebainisha sababu za wananchi kumuamini Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa kura za kishindo katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.Akizu . . .
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapiduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kwenye sekta za kilimo, mifugo na miundombinu ili kuinua maisha y . . .
Viongozi mbalimbali wameshiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao. Miongoni mwa viongozi h . . .
Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano wa Bara la Afrika wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nne ya Biashara ya Ndani ya Afrika . . .
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya matengenezo kinga kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 kutoka kituo cha kupoza umeme cha Chalinze hadi Kinyerezi Dar es Salaam bila . . .
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi, wawekezaji na wafanyabiashara barani Afrika kuendeleza “mapambano mapya” . . .
KAMPUNI ya ORYX GAS kwa kushirikiana na meneja mkuu wa mauzo na masoko tanzania bara na visiwani Shaban Sungi wameendelea kujidhatiti na kuwafikia wananchi wa Buhongwa wilaya ya nyamagana mko . . .
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amewataka wawekezaji wa migodi ya madini kuhakikisha wanazingatia kikamilifu kanuni na miongozo ya usalama ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.Akizungumz . . .
Kampuni ya madini ya Marekani, KoBold Metals, inayoungwa mkono na Bill Gates na Jeff Bezos, imepata leseni saba za kuchunguza madini ya lithium katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), maafisa w . . .
Umoja wa Afrika, umeeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu kwenye bara hilo, fedha ambazo zimetokana na ukwepaji kodi, rushwa, utakatishaji wa fedha, utoroshaji wa mitaji na ufadhili wa ugaidi, . . .
TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi ya kisasa karibu na Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba . . .
Asisitiza umuhimu wa Ushirikiano zaidi wa kiuchumi baina ya Mataifa mawiliMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya m . . .
WAGOMBEA 16 wa nafasi za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Kigoma wamefanikiwa kuwa wagombea pekee baada ya vyama vingine kushindwa kusimamisha wagombea na baadhi ya wagombea wa upinzan . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza siku ya Jumatano kwamba wajumbe wa utawala wake watakutana na maafisa wa Marekani mjini New York siku ya Ijumaa kama sehemu ya juhudi za kumaliza vita na . . .
Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu wawili na kuwateka nyara zaidi ya watu 100, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, katika shambulio lililotokea katika Jimbo la Zamfara, Nigeria, maafisa wa ene . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri wa taarifa zote zinazohifadhiwa kwani taarifa hizo ni nyenzo . . .
TANZANIA imeingia makubaliano ya kimataifa na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu ili kudhibiti matumizi yake katika utengenezaji wa dawa za kulevya.Makubaliano hayo yaliafikiwa kupi . . .
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limesema DRC na Rwanda zimekubaliana kuwarejesha makwao wakimbizi walioathiriwa na machafuko Mashariki mwa Congo.Mkuu wa UNHCR, Filippo Grandi, am . . .
SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika lakini likitegemea umeme kutoka nje.Kampuni ya Serikali ya Rosatom imesaini makub . . .
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuimarisha usalama kwenye migodi ya madini kwa kufanya kaguzi za mara kwa mara sambamba na kutoa elim . . .
MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Njia ya Hewa ya mjini Guangzhou umeonyesha kuwa ma . . .
WAGOMBEA ubunge katika majimbo mbalimbali wamechukua fomu za kuomba uteuzi kugombea nafasi hiyo.Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Doto Biteko alichukua fomu jana ya kuomba uteuzi agombee nafasi h . . .
Wananchi wa kata ya Nyakato mtaa wa NHC, uliopo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea jengo jipya la mama na mtoto katika zahanati ya Nyakato.Wakizungumza na Jembe Haba . . .
Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Ilemela kwa umbali wa zaidi ya kilometa 48.8, ambapo utazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi 9 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 27 . . .