Kesi hiyo, iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha karibu dola milioni 20, imefungwa siku ya Jumatano, Agosti 1 . . .
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13 mwaka huu amechukua fomu ya kute . . .
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika Agosti 12 mwaka huu.Katika mchakato huo uliofanyika . . .
VIONGOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) wamemuomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhakikisha usalama wao katika mkutano wa kilele na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, unaotarajiwa kufanyika wiki hii utakaojad . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yenye Mifuko 756 yenye uzito wa jumla wa kilogramu 18,485.6, saw . . .
Viongozi kutoka katika mataifa ya Umoja wa Ulaya wamesisitizia haki ya raia wa Ukraine kuamua wenyewe kuhusiana na masuala ya mustakabali wa taifa leo.Wito wa viongozi hao unakuja wakati huu zikiwa zi . . .
Makamanda wa kijeshi jijini Khartoum siku ya Jumapili wameahidi kuondoa vikosi vyao kwenye mji huo na kuahidi kwamba hawatawaunga mkono wapiganaji wowote watakaosalia baada ya makubaliano ya mwi . . .
GAVANA wa Tana RiverGAVANA wa Tana River, Dhadho Godhana, amezua ghadhabu kwa kudai kuwa hatawalipa fidia waathiriwa wa visa vya moto katika kaunti hiyo.Msimamo wake unakuja baada ya jopo lililobuniwa . . .
CHAMA cha ODM sasa kinalenga kiti cha ugavana wa Nairobi huku shinikizo za kichinichini sasa zikitaka Mbunge wa Makadara, George Aladwa, apokezwe tiketi ya kuwania ugavana mnamo 2027.Haya yanajiri baa . . .
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano yamerekodiwa tena wikendi hii kati ya kundi la waasi la AFC/M23 na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na Wazalendo. Mapigano haya yalifanyi . . .
Mpango mpya wa Israel wa kuuteka mji wa Gaza "hauna lengo la kuikalia kwa mabavu Gaza," Benjamin Netanyahu amebainisha siku ya Jumapili, Agosti 10, akiuona kuwa "njia bora ya kumaliza vita" ambavyo vi . . .
Mustakabali wa kisiasa wa Tanzania unapata matumaini mapya kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) ambacho kimezindua ilani yake kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa kuweka mbe . . .
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuzindua mfumo mpya wa kidijitali utakaowawezesha wananchi kufuatilia maendeleo ya maombi ya vitambulisho vyao kwa kutumia ujumbe mfupi wa maandishi . . .
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kuwa shughuli ya kumuaga Hayati Job Ndugai itafanyika siku ya Jumapili katika viwanja vya Bunge, Dodoma, kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda nyumbani . . .
SERIKALI ya Marekani imejenga kituo chake cha kwanza kikubwa cha kuhudumia wahamiaji katika kambi ya jeshi la Fort Bliss, jimboni Texas, karibu na mpaka wa Mexico.Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi y . . .
: NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana na Rais wa Marekani, Donald Trump, wiki ijayo.Polyanskiy amesema mkutano huo . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mkoani Dodoma, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha tija, ubunif . . .
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takribani watu 100,000 nchini Sudan wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwezi Julai mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dk. Tedros Adhanom Ghe . . .
Serikali kupitia Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), imesema kuwa imeendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi na uagizaji mafuta nchini kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa nishati safi, sal . . .
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa zaidi ya wakulima 18,000 wanatarajiwa kunufaika moja kwa moja na Mpango wa Taifa wa Kilimomisitu ifikapo mwaka 2031, ambao unal . . .
Uingereza imekuwa nchi ya kwanza duniani kuanza kutoa chanjo dhidi ya maambukizi ya gonorrhea, ikiwa ni hatua muhimu katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo wa zinaa ambao umekuwa ukiongezeka kwa kasi k . . .
WAZIRI wa Ulinzi wa Ghana, Edward Mane Boamah, na Waziri wa Mazingira, Sayansi na Teknolojia, Ibrahim Murtala Muhammed, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea jana, Jumatano.Kwa mujibu . . .
SERIKALI ya Uingereza imetangaza mikakati mipya ya kudhibiti upasuaji wa kuboresha mwonekano wa mwili, ikiwemo kuongeza makalio, kukuza midomo, pamoja na kuondoa mikunjo usoni, kwa lengo la kuwalinda . . .
RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema kuwa uamuzi wa Kenya katika sera za mambo ya nje unaongozwa kwa maslahi ya taifa , huku akijibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia upya hadhi ya Kenya kama ms . . .
Shirika moja la kimataifa linalohamasisha masuala ya uzazi wa mpango, IPPF, sasa linasema nchi ya Marekani kuchoma moto wa dawa za vidhibiti mimba zenye thamani ya dola za Marekani milioni 9.7 kutasab . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, sasa ameitaka serikali yake kuimarisha mahitaji ya viza kwa wanadiplomasia wa Algeria ambapo wakati huu mzozo baina ya rai hao wa Algiers kuhusu kufukuzwa umeonekana . . .
Katika zoezi la ukaguzi wa mita lililofanyika katika Kata ya Nkome Wilaya ya Geita Mkoani humo, wakaguzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamebaini udanganyifu wa matumizi ya umeme kutoka kwa . . .
MJI wa kihistoria wa Hiroshima nchini Japan umeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia kwa bomu la atomiki mashambulizi yaliyochangia kumalizika kwa Vita vya Pili vya Dunia.&nb . . .
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula, amesema hadi jana Agosti 5, 2025, bodi ilikuwa imepokea maombi zaidi ya 3,200 kwa ajili ya Ithibati na . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Agosti 6 mwaka huu zikionesha kupungua kwa bei ya petroli . . .