logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2026

Wahanga wote wa moto nchini Uswisi wametambuliwa

Watu wote 40 waliokufa katika moto uliotokea kwenye baa wakati wa mkesha wa Mwaka Mpya nchini Uswisi wametambuliwa na mamlaka za nchi hiyo.Polisi nchini humo imesema vijana ndio waliokuwa wengi miongo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 3, 2026

Mwanamume wa Siaya Aliyemuua Chatu, Akampeleka Kituo cha Polisi Atapewa Fidia, KWS Wathibitisha

Mwanamume kutoka kijiji cha Sigomere katika kaunti ya Siaya amepata nafuu na faraja kufuatia kifo cha kusikitisha cha mbwa wake. Mwanamume huyo, aliyetambuliwa kama Charles Otieno Osore, alionyes . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 3, 2026

Wapiganaji saba wauawa katika mashambulizi Yemen

Wapiganaji saba wa kundi la waasi wanaotaka kujitenga wameuawa katika mashambulizi ya angani huku muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen ukijibu mashambulizi makali dhidi ya Baraza la Mpito . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • January 3, 2026

Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali na Arudishwa Gerezani

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Ngiri mara mbili na kurudishwa Gerezani chini ya ulinzi wa P . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 3, 2026

Polisi Waendelea na Uchunguzi Ajali ya Lori Morogoro

Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa kwa umma kuwa linaendelea na uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 31, 2025 majira ya jioni katika Kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya y . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 3, 2026

Boti Ya Wahamiaji Yapinduka Gambia 96 wameokolewa

Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200 imeripotiwa kupinduka usiku wa manane mnamo Desemba 31 ,2025 karibu na Kijiji cha Jinack.Kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

Binti wa Kim atembelea makaburi ya Kumsusan

Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Ju Ae amekuwa akionekana mara kwa mara na kwa umaarufu mkubwa zaidi kwenye vyombo vya habari vya serikali, jambo ambalo limechochea nadharia kutoka kwa wacha . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

Walimu wakuu wataka wizara irudi kwa mfumo wa zamani wa kuteua wanafunzi sekondari

WALIMU wakuu wa shule za upili sasa wanataka Wizara ya Elimu kutelekeza mfumo wa kitaifa wa kuteua wanafunzi wa Gredi 10 na kukumbatia mfumo ambapo shule zilisimamia uteuzi huo.Walimu hao wanasema mfu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

TRA Yavunja Rekodi, Oktoba hadi Desemba Yakusanya Sh. Trilioni 9

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Desemba pekee sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 wa lengo l . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

Urusi yasema droni za Ukraine zimeua 24 Kherson

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa.Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimes . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa "DRC yarejea kama mwanachama asiye wa kudumu"

Mwanzoni mwa mwaka 2026, Somalia inachukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Kama ilivyo kawaida, baadhi ya viti visivyo vya kudumu katika chombo hiki cha Umoja wa Mataifa hukali . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • January 1, 2026

Watu 5 wauawa katika mashambulizi dhidi ya boti za madawa

Kwa mujibu wa Kamandi ya Kusini ya jeshi la Marekani, mashambulizi hayo yalifanyika Jumanne na kulenga msafara wa boti tatu hiuvyo  watu wote waliouawa walikuwa ndani ya boti moja.Jeshi la Mareka . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 1, 2026

Raia wa mashariki ya DRC hawana chakusherehekea mwaka mpya 2026

Raia mashariki mwa nchi ya DRC, wameukaribisha mwaka mpya 2026 huku wakiwa hawana chakusherehekea kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama kwenye baadhi ya maeneo ya mashariki ambako waasi wa AFC/M23 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 1, 2026

Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai

Serikali ya Ukraine Jumanne imekanusha vikali madai ya Urusi kuwa ilihusika na shambulio la droni lililolenga moja ya makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikisema hakuna ushahidi wowote wa kuamini . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

ASILI YA MWAKA MPYA NA 1 JANUARI KUWA LIKIZO RASMI.

Mamilioni ya watu dunia(leo Desemba 2025) wanajiandaa kuupokei mwaka 2026 kwa Shangwe ,fataki,sala na salamu za heri . Lakini nyuma ya sherehe hizo ,swali moja linabaki  1 januari ilitoka wa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Mvua yaua watu 3 Morogoro

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama katika taarifa aliyoitoa Desemba 30 mwaka huu amewataja waliofariki kuwa ni Lukman Chimbilo aliyekuwa bodaboda Onea Onesmo na Gervas Gerald mwanafunz . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Umoja wa Falme za Kiarabu kuviondoa vikosi vyake Yemen

Umoja wa Falme za Kiarabu umesema unaondoa vikosi vyake vilivyobaki Yemen baada ya Saudi Arabia kutaka vikosi hivyo viondoke katika nchi hiyo maskini ya Rasi ya Uarabuni ndani ya saa 24.kufuatia shart . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Euro milioni 30 zaibiwa katika wizi wa benki

Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.wakati wa mapumziko ya siku kuu wape . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Wanafunzi wajiunga na maandamano Iran kupinga ugumu wa maisha

Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Desembe 29 mwaka huu ambapo ni siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji mkuu huo kuandamana kupinga hali mbaya ya kiuchumi ambapo  . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 31, 2025

Wanafunzi wajiunga na maandamano Iran kupinga hali ngumu

Wanafunzi nchini Iran walifanya maandamano mitaani mjini Tehran Jumanne, siku moja baada ya wafanyabiashara wa mji huo mkuu kuandamana kupinga hali ya mbaya ya kiuchumi.Kulingana na Ilna shirika la ha . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 31, 2025

Euro milioni 30 zaibiwa katika wizi wa benki

Wezi waliiba mali yenye thamani ya makumi ya mamilioni ya euro kutoka kwenye masanduku ya kuhifadhia fedha na vito vya thamani ndani ya benki moja nchini Ujerumani.Polisi imesema wezi hao walifanya wi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 30, 2025

Urusi yaishtumu Ukraine kwa kushambulia makazi ya Putin

Urusi imeishtumu Ukraine kwa kujaribu kushambulia makazi ya Rais Vladimir Putin na kuapa kulipiza kisasi, bila kutoa ushahidi wa madai hayo ambayo Ukraine imeyapuuza na kuyataja kutokuwa na msingi.Waz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 30, 2025

Dereva ashikiliwa baada ya kutelekeza abiria

Dereva wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usalili T 958 DRK linalofanya safari zake kutoka jiji la Arusha kuelekea Dar es salaam Ibrahim Athumani amekamatwa na Polisi na kuwekwa mahabusu mpak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 29, 2025

Rais wa Ufaransa atangaza mkutano wa washirika wa Kyiv mapema Januari Paris

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron metangaza leo Jumatatu, Desemba 29, mkutano wa washirika wa Kyiv huko Paris mapema mwezi Januari kujadili dhamana za usalama kwa Ukraine ndani ya mfumo wa makubaliano . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • December 29, 2025

Côte d'Ivoire: Chama cha rais chaongoza kulingana na matokeo ya muda ya uchaguzi wa wabunge

Kama ilivyokuwa katika bunge lililopita, muundo wa Bunge la baadaye la Côte d'Ivoire unaongozwa kwa kiasi kikubwa na chama cha urais.Nchini Côte d'Ivoire, matokeo yaliyotangazwa hadi sasa na Tume Hu . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 29, 2025

Korti yamtangaza mfu mwanamume aliyekosa kuwasiliana na familia kwa miaka 17

MAHAKAMA imetoa uamuzi kumtangaza kuwa amekufa, mwanamume aliyetoweka kwa miaka 17 bila kuwasiliana na familia wala jamaa zake.Mahakama Kuu ya Milimani, Nairobi, ilimtangaza Joseph Macharia Karanja ku . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 29, 2025

Ukraine na Urusi zinakaribia makubaliano ya amani

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani aliyasema hayo alipomkaribisha Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwenye makazi yake ya Flor . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 29, 2025

Mtawala wa kijeshi Guinea atarajiwa kushinda uchaguzi

Raia wa Guinea walipiga kura Jumapili katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kumpa ushindi mtawala wa kijeshi Mamady Doumbouya wa kuongoza kwa muhula wa miaka saba.Doumbouya ni kamanda wa zamani wa viko . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 29, 2025

Thadey Kweka akamatwa na jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumkamata na kumshikilia Thadey Sabinus Kweka kwa tuhuma za makosa ya jinai ikiwemo uchochezi, likieleza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa dhidi ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 26, 2025

Jeshi la Polisi lawashukuru Watanzania kwa ushirikiano

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa shukrani kwa wananchi wote nchini kwa ushirikiano waliouonyesha katika kulinda na kudumisha amani kipindi chote cha Sikukuu ya Krismasi, iliyoadhimishwa 25 Desemba 202 . . .

Kurasa 8 ya 138

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode