logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Raia wa Guinea wapiga kura ya 'ndiyo' kwa asilimia zaidi ya tisini katika kura ya maoni

Zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wamepiga kura ya "ndiyo" katika kura ya maoni ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa utaw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa kwenye mahakama ya ICC

Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zinazoongozwa na jeshi, kwa pamoja, zimetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Waziri Aweso awapa heko timu Maji kwa ushindi wa Michezo SHIMIWI

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameipongeza timu ya michezo ya Wizara ya Maji (Maji Sport) kwa ushindi walioupata katika Mashindano ya . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

KWA MARA YA KWANZA MELI MPYA YA MV MWANZA YAFANYA SAFARI KUELEKEA BUKOBA

NA ALBERT G.SENGO/MWANZA MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 amekuwa mmoja kati ya mashuhuda wa jaribio . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

TANROADS MWANZA YATOA ANGALIZO KWA WAVAMIZI WA BARABARA

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mwanza imetoa angalizo kwa wakazi wa maeneo mbalimbali wanaofanya shughuli mbalimbali zikiwe . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Maonesho ya madini kuongeza ajira Geita

Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mohamed Gombati amesema Maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani humo kila mwaka yamekuwa yakio . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Bandari ya Dar imeandika historia mpya kupokea meli mpya ya kisasa

Bandari ya Dar es Salaam imeandika historia mpya baada ya kupokea meli mpya ya kisasa ya kubeba magari, MV Grande Shanghai, iliyowasili kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

DKT. MPANGO AWASILI MAREKANI KUSHIRIKI MKUTANO WA 80 Wa BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili jijini New York Marekani Septemba 22 mwaka huu kwa . . .

Utalii
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Siku ya Faru duniani

Ikiwa leo Septemba 22 ni siku ya kumbukizi juu ya uhifadhi wa faru duniani Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea na jiti . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Wagonjwa 1,082 Wafaidika na Huduma za MOI Chato

ZAIDI ya wagonjwa 1,082 wamefaidika na huduma za kibingwa na kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu zinazotolewa na Taasisi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

MCP yadai kuibiwa kura uchaguzi Malawi

 CHAMA Tawala cha Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kinachounga mkono Rais Lazarus Chakwera, kimesema kina ushahidi wa wizi wa kura, . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Jasinta Makwabe Atoa Kauli Nzito Kuhusu Diamond Platnumz

Mwanamitindo maarufu wa Afrika Mashariki, Jasinta Makwabe ‘Candy Boo’, amewasha moto mitandao baada ya kudaiwa kutoa kauli nzito inayozu . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Askari magereza Njombe Ajitoa Uhai Baada ya Kumuua Mwenzake

Njombe – Askari wa Gereza la Njombe, Erasto Mlelwa (26) mwenye namba C.916 WDR, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka kwenye gari la P . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Mahakama Kuu Yakataa kesi ya Lissu Kurushwa Mubashara

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22 mwaka huu imetoa majibu ya maombi yaliyowasilishwa Mahaka . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Majaliwa Asema CCM yajipanga Kuendelea Kuleta Maendeleo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimejipanga kuendelea k . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 22, 2025

Mwalimu Afukuzwa Kazi kwa Kumwadhibu Mwanafunzi Kinondoni

Uongozi wa Shule ya Sekondari Makumbusho iliyopo Wilaya ya Kinondoni imemuondoa kazini Mwalimu Felix Msila kutokana na tukio la kutoa adhabu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 22, 2025

Chelsea inamtaka kipa wa AC Milan Mike Maignan

Klabu ya Chelsea imefufua tena azma ya kumsajili kipa wa Ufaransa na AC Milan Mike Maignan, 30, na huenda ikamjumuisha kwenye orodha ya uham . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 22, 2025

Chama tawala chadai kulikuwepo na wizi wa kura

Nchini Malawi, Chama tawala cha Rais Lazarus Chakwera kinadai kuwa kulikuwa na wizi wa kura katika uchaguzi wa wiki iliyopita huku chama hic . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 22, 2025

Wabunge kupiga kura kuamua hatima ya Vital Kamerhe

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wabunge baadaye leo Jumatatu wanatarajiwa kupiga kura, kuamua hatima ya Spika Vital Kamerhe, baada . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Majaliwa "Rais Dkt Samia Anatambua Mchango Wa Madhehebu Ya Dini Katika Kuendeleza Maarifa"

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kwa dhati mchango wa madhehebu ya dini ikiwemo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Askari wa Gereza Njombe Ajitoa Uhai Baada ya Kumuua Mwenzake

Njombe – Askari wa Gereza la Njombe, Erasto Mlelwa (26) mwenye namba C.916 WDR, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka kwenye gari la P . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Uingereza na Ureno kutambua rasmi taifa la Palestina

Licha ya shinikizo kali kutoka kwa Marekani na Israel, na bila ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lenye hadhi ya juu, Uingereza na Ureno zita . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Wapiga Kura kushiriki kura rasimu ya Katiba mpya

Wananchi wa Guinea wanapiga kura ya ndiyo au hapana kuhusu rasimu ya Katiba mpya. Rasimu hiyo inalenga kuchukua nafasi ya katiba ya mpito in . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Wagombea watakiwa kuzingatiai ilani, kutoa ahadi zinazotekelezeka

OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Tanzania kuendeleza mapinduzi ya elimu kidigitali

TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.Katibu Mkuu wa Wiza . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Mshikamano wahitajika mageuzi kiuchumi nchini

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Hashil Abdallah amesema ili kufanikisha mageuzi ya kiuchumi na teknolojia kunahitajika m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Tanzania kuandaa wataalamu wa nyuklia

 TANZANIA imeanza kuandaa wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kupitia vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa lengo la ku . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Malawi vyama viwili vyajitangazia ushindi urais

 VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza m . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Mawakili wa Serikali watakiwa kuzingatia sheria za Hifadhi ya Jamii

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewataka Mawakili wa Serikali kuyatumia mafunzo yanayotolewa kuhusu Hifadhi ya Jamii, katika kuh . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Mgombea urais Salum Mwalimu aahidi uwekezaji mkubwa kupitia Kituo cha PPP

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amemtumia salam Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Hizi hapa faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!

UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa ki . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Serikali Inatambua Kazi Nzuri ya OSHA Nchini

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi ( . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Kabila akabiliwa na Mashtaka Makali ya Mauaji, Ubakaji na Usaliti

Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – Mahakama Kuu ya Kikosi cha Jeshi imeweka Ijumaa kama siku ya kutoa uamuzi katika kesi ya kihi . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Miili ya masista wanne waliofariki ajalini Mwanza yaagwa leo Bagamoyo

Miili ya masista wanne wa waliofariki ajalini Mwanza ikiingizwa katika Kanisa la Mwenyeheri Isdory Bakanja Boko, Jimbo Katoliki Bagamoyo kwa . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Yanga Sc leo kibarua wanacho dhidi ya Wiliete FC

Kipyenga cha mashindano ya ngazi ya klabu barani Afrika kimepulizwa wiki hii na leo ni zamu ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, ambao watas . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Soko jipya la Madini Laanzishwa Tanga

Mnyororo wa Thamani wa Madini Kubaki Tanga Kupitia Soko la Madini ☑️ Fursa Mpya kwa Wachimbaji Wadogo kuuza Dhahabu na Vito kwa bei s . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Bodi ya kituo cha umahiri, usalama barabarani yazinduliwa rasmi

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) imezindua Bodi shirikishi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 19, 2025

Polepole atoa majibu baada ya kuitwa ofisi ya DCI

Baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumuita aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutoa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 19, 2025

Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Mjini, Frank Nyalusi Afariki

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijuma . . .

Michezo
  • Na Jacobmlaytz
  • September 19, 2025

FADLU DAVIDS BYE BYE SIMBA SC, AMGOMEA MO DEWJI

Kocha wa Simba Fadlu Davids hana mpango wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo msimu huu 2025-26.Rais wa Simba Mo Dewji amejitahidi kumshawishi . . .

Kurasa 22 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category