eshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria kwa kutumia magari mawili ya abiria.Taarifa hiyo imetolewa na K . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kiserikali nchini Gabon siku ya Jumapili, Novemba 23, yenye lengo la "kuimarisha na kufufua" ushirikiano wa pande mbili, miaka miwili baada ya kumaliz . . .
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV ametoa wito siku ya Jumapili, Novemba 23, wa kuachiliwa "mara moja" kwa wanafunzi na walimu zaidi ya 300 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka . . .
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Busanda, Dkt. Jafari Rajabu Seif, ametoa wito kwa watumishi wa afya kote nchini kuhakikisha wanatumia lugha . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari mawili tofauti ya abilia.Taarifa . . .
Waasi wa AFC/M23 wanakalia mji wa Mahanga, mji ulio katika wilaya ya Masisi, tangu Jumamosi Novemba 22. Mji wa Mahanga unapatikana zaidi ya kilomita 150 magharibi mwa Goma.Kusonga mbele kwa waasi kuli . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wa Wakala wa Barabara wa Taifa (TANROADS) waliohusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya Mikese mkoani Morogoro . . .
Ikulu ya White House imesema siku ya Jumapili kwamba mazungumzo kuhusu pendekezo la Marekani la kuvimaliza vita nchini Ukraine yalionyesha "matumaini makubwa."Ikulu ya White House aidha imethibitisha . . .
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwavisha Bawa la Urubani wahitimu wa Urubani wakati wa hafla ya kutunuku Kami . . .
Wenyeviti wa Mitaa yote 27 kutoka katika kata za Njombe Mijini, Ramadhani na Mjimwema wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya NJUWASA inayokwenda kuboresha huduma ya maji safi na usafi wa mazing . . .
WAAJIRIWA wapya wa Tume ya Madini wametakiwa kufuata kikamilifu miongozo, kanuni na taratibu za utumishi wa umma, sambamba na kudumisha maadili na uadilifu wanapoanza kutekeleza majukumu yao.Wito huo . . .
MWANA wa aliyekuwa mkuu wa kampuni ya Gateway Insurance, marehemu Godfrey Wairegi, ameungana na mama yake katika mzozo dhidi ya nyanya yake mwenye umri wa miaka 115 kuhusu umiliki wa ardhi ya thamani . . .
Tanzania yaendelea kupiga hatua katika Mpango wa ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini kutokana na ujenzi wa kiwanda kipya cha usindikaji na uyeyushaji madini ya Nikeli na Shaba kufikia asil . . .
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingi . . .
Duru kutoka wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa imesema nchi hiyo imeanza kupunguza wafanyakazi wake wa kidiplomasia nchini Mali kutokana na hali mbaya ya usalama katika taifa hilo la Afrika Magharibi. . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ameibuka na kuweka wazi kuhusu uvumi unaosambazwa katika mitandao ya kijamii kwamba anaumiliki kampuni ya mabasi ya Ester. Akiwahut . . .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ametoa agizo kwa Waandishi na Wachapishaji wa Vitabu kuunda Shirikisho ili waweze kuongeza sifa za kupata mikopo kwa urahis . . .
Katika jamii ya leo,matukio ya vijana kuwanyanyasa wake zao yanaonekana kuongezeka na kusababisha uharibikaji wa ndoa nyingi. Huku chanzo cha tatizo hili sikitu kimoja bali ni mchanganyiko wa sab . . .
Idadi ya wanafunzi waliotekwa nyara katika shule ya Kikatoliki katika Jimbo la Niger, katikati mwa Nigeria, siku ya Ijumaa, Novemba 21, ilifichuliwa jioni y siku hiyo na Chama cha Wakristo nchini Nige . . .
Nchini Mali, wakati wa miaka mitano ya Mpito, uhuru wa raia umepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Vyama vya siasa vimevunjwa, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vinafuatiliwa kwa karibu, na kesi za kis . . .
China imesaini makubaliano ya mradi wa dola bilioni 1.4 na Zambia na Tanzania, kuboresha barabara ya reli ya TAZARA inayoyaunganisha Zambia, ambayo haina bahari na Tanzania yenye bahari ya Hindi.Barab . . .
Watu waliojihami kwa silaha wanadaiwa kuwateka nyara wanafunzi 52 katika shule moja ya kikatoliki katika jimbo la Niger nchini Nigeria.Taarifa kutoka kwa serikali ya jimbo hilo imethibitisha kutokea k . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo . . .
Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu inaendelea na juhudi za kuhakikisha usalama wa Taifa kwa kudhibiti wahamiaji haramu kupitia oparesheni na utoaji wa elimu kwa wadau mbalimbali wa us . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema inafuatilia kwa umakini makala iliyochapishwa na kurushwa na chombo cha habari cha kimataifa CNN, yenye maudhui yanayohusishwa na maandamano ya Siku . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia tarehe 21 hadi Novemba 22 mwaka huu.Rais Samia anataraji . . .
MKAZI mmoja wa Nyamira ameelekea kortini kulenga kuzuia Mawaziri watatu kuendelea na ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira katika eneo Kiabonyoru, kituo kilichoteuliwa na Rais William Ruto.Bw Peter Ariga M . . .
“Nia yake ilikuwa wazi kabisa kwani aliamini kwa kutumia vurugu. Vitisho hivi vya vurugu vilikuwa ni matendo ya kigaidi, ambayo yalitekelezwa na wafuasi wake”.Mahakama ya Nigeria imemhukumu Nnamdi . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo . . .
Nchini Cameroon, kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma Bakary ametangaza siku nyingine ya watu "kusalia numbani" leo Ijumaa, Novemba 21, kwa heshima, aliyoitaja, kwa waathiriwa wa ghasia za baada ya ucha . . .