Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege . . .
Jeshi la Sudan limesema limezuia shambulizi la wanamgambo wa RSF kwenye mji muhimu kusini mwa nchi hiyo jana Jumanne, huku Marekani ikizihimiza pande zote mbili kukubali pendekezo la kusitisha mapigan . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amesema Jumanne kwamba anamtuma mjumbe wake Steve Witkoff kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Moscow wiki ijayo, kama sehemu ya mpango wake wa kuvimaliza vita n . . .
Wafanyabiashara wa Mkoa wa Mwanza wamehimizwa kuimarisha ulinzi shirikishi na kushirikiana kwa karibu na vyombo vya dola katika kukabiliana na vitendo vya uhalifu katika maeneo Yao ya Kibiashara.Katik . . .
Umoja wa Ulaya katika taarifa kwa vyombo vya habari mapema wiki hii ulitangaza kutoa karibia Euro Milioni 10 kwa FARDC kabla ya mwisho wa mwaka ujao kuboresha operesheni ya jes . . .
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na Wahariri wa vyombo vya habari nchini kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Novemba 25 mwaka huu.Katika mkutano huo ametoa wi . . .
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Estonia zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali zenye maslahi mapana kwa nchi hizi mbili ikiwemo maendeleo na mageuzi ya tekolojia ya . . .
Wafanyabiashara wa madini nchini wameendelea kuwasilisha madini mbalimbali katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kama sehemu ya maandalizi ya kuelekea mnada wa tatu wa madini ya vito unaotarajiwa . . .
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Taasisi zake imeanza kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Wizara wa mwaka 2021/22-2025/26. Akifungua kikao hicho leo Novemb . . .
Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania , Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na wadau wote wanaohusika wakae na kutengeneza utaratibu wa mpito ili kurejesha h . . .
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuja na mikakati thabiti itakayosaidia kuongeza kasi ya utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchi . . .
Katika kukabiliana na wimbi la wahamiaji haramu nchini, Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera imeendelea na Misako na Doria katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya hiyo.Kufuatia . . .
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuangalia maeneo mengine ya kimkakati ili kupanua wigo wa matokeo. Amefafanua zaidi na . . .
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuleta mapinduzi ya huduma za majisafi na usafi wa mazingira barani Afrika wakati akifungua rasmi Ko . . .
London, Uingereza — Tanzania na Qatar leo Novemba 24 mwaka huu wamesaini hati ya makubaliano (MoU) ya kutambuliana vyeti vya ubaharia, hatua inayotarajiwa kuongeza fursa za ajira na ushirikian . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki katika Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya uliofunguliwa r . . .
Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Morogoro umeanza matengenezo ya mfumo wa kupima uzito wa magari yakiwa kwenye mwendo (WIM) katika mizani ya Mikese ili kuondoa msongamano wa magari katika Barabar . . .
Wananchi wa Mkoa wa Tanga wametakiwa kuendelea kulinda amani na usalama katika maeneo yao ili kuimarisha maendeleo ya taifa.Wito huo umetolewa leo Novemba 24 mwaka huu kupitia vyombo mbali . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameagiza makatibu wakuu wa wizara kusitisha mara moja tabia ya kuidhinisha vikao na mikutano ya kiserikali kufanyika kati . . .
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame amefanya oparesheni ya kushtukiza na kuwakamata wafanyabiashara wa Mbolea Wilaya ya Mbozi ambao wamekuwa wakiuza Mbolea ya Ruzuku kinyume na bei elekezi ya S . . .
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema kila baada ya dakika kumi mwanamke mmoja, mahali fulani duniani aliuliwa na mtu wa karibu, mwaka uliopita, huku ukilalamikia hatua dhaifu katika vita dhidi ya mauaji . . .
Kundi la RSF limetangaza kusitisha mapigano kwa muda wa miezi mitatu hatia inayokuja ikiwa imepita siku moja baada Jeshi la sudan kukataa wito wa kimataifa wa kustisha vita unaongozwa na Marekani, kwa . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima na kupewa masharti maalumu ya kufuatiliwa kwa kipindi cha miezi sita, sa . . .
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24 mwaka huu amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine ikiwemo nyingine zilivyoharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba . . .
Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Samuel Kijanga, amewataka wanafunzi wa vyuo kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na badala yake kuitumia kwa ma . . .
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Iringa, ASP Elizabeth Swai, amewasihi wanaume kuacha tabia ya kuvumilia kimya kimya vitendo vya ukatili vinavyotokea ndani ya ndoa zao na badala yake watoe t . . .
Vijana 57 kati ya 61 waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini, wamefutiwa mashtaka na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) leo, Jumatatu Novemba 24 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya I . . .
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ameahidi kuimarisha na kupanua ushirikiano kati ya Wizara yake na Mkoa wa Morogoro katika kuendeleza juhudi za uhifadhi na kuongeza thamani . . .
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya na Mbunge wa Busanda, Dk. Jafari Seif, amewataka watumishi wa afya kote nchini kutumia lugha ya heshima, upole na tabasamu wanapotoa huduma kw . . .
Wananchi wametakiwa kutojikuta wakigawanyika kwa misingi ya kidini, kikabila au kisiasa, badala yake waenzi na kudumisha utambulisho wao kama Watanzania kwa kuwa hilo ndilo linalowaunganisha na kuwapa . . .