Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, ambaye aliondolewa madarakani, ametiwa hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kughushi nyaraka, kuhusiana na jaribio lake lililoshindikana la kutanga . . .
Marekani kwa mara nyingine imeitishia serikali ya Iran juu ya uwezekano wa kuchukua hatua za kijeshi kutokana na ukandamizaji wakati wa maandamano makubwa ya kitaifa.Balozi wa Marekani katika Umoja wa . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine anaripotiwa kuwekwa katika kizuizi cha nyumbani huku mchakato wa kuhesabu kura za uchaguzi mkuu ukiendelea nchini humo.Hatua hiyo inakuja wakati matokeo ya . . .
Spika wa Bunge la India Mheshimiwa Shri Om Birla amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu katika ofisi za Bunge la India jijini . . .
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Idara ya Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Alex Manyama kwa tuhuma za matumizi mabaya y . . .
Vikosi vya kijeshi kutoka mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo Ujerumani na Ufaransa vinaendelea kuwasili katika kisiwa kinachojitawala cha Greenland kwa lengo la kuonyesha mshikamano na Denmark kuhusu usa . . .
Rais wa Angola Joao Lourenco ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) alikutana na viongozi wa kidini kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mjini Luanda siku ya Jumatano kujadili hali . . .
Shughuli ya upigaji kura nchini Uganda imechelewa kuanza katika maeneo mengi ya nchi hali iliyozua wasiwasi miongoni mwa wapiga kura waliowasili mapema vituoni. Awali vituo vya kupiga kura vilitaraji . . .
Maafisa wa Denmark na Greeland wamesema wameshindwa kuafikiana na kubadili mawazo ya utawala wa Rais Donald Trump kuhusu azma ya Marekani kukinyakua kisiwa kinachojitawala cha Greenland.Waziri wa Mamb . . .
Idadi ya vifo kufuatia maandamano yanayoendelea kuitikisa Iran imeongezeka na kufikia watu 3,428 hayo ikiwa ni kulingana na shirika la haki za binadamu la Iran.Maandamano hayo yamezusha pia hali ya wa . . .
Raia zaidi ya milioni 21 wa Uganda wanapiga kura Alhamisi ya leo katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kuendeleza utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni.Ikiwa Museveni mwenye umri wa miaka . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja na kuingia katika tawi la benki ya Azania iliyopo katika m . . .
MBUNGE wa Iran ameonya kuwa serikali itakabiliwa na maandamano makubwa zaidi iwapo haitashughulikia malalamishi ya wananchi huku maandamano ya kitaifa ya kupinga uhalali wa viongozi wa kidini nchini h . . .
UCHUNGUZI wa maiti umebaini kuwa mwanamume aliyefariki akikwema Mlima Kenya, alifariki kutokana na kukosa hewa ya oksijeni, hatua iliyosaidia kuleta afueni kwa familia yake baada ya wiki kadhaa za sin . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafanya uchunguzi wa tukio la kujinyonga kwa mtuhumiwa aitwaye Michael Lambau (18), mkazi wa mtaa wa Karikacha, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi akiwa mahabusu katik . . .
Mamlaka za mahakama zimefungua uchunguzi na kutoa wito kwa mashahidi wowote kujitokeza kutoa taarifa kuhusu waziri wa zamani wa Burkina Faso, Yolande Viviane Compaoré aliyeuawa katika makazi yake mji . . .
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia ambapo hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais Donald Trump kuwafukuza watu wengi kutoka nchini Marekani.Ut . . .
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran.Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amesema . . .
Iran imedai Marekani inatafuta sababu ya kuingilia kati kijeshi kwa kutumia maandamano ya machafuko ya Wairan wanaopinga hali ngumu ya maisha.Ambapo serikali ya Iran imeishutumu Marekani kuwa kutafuta . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali ya ugumu wa maisha nchini mwake inaendelea kuwa mbaya zaidi katika eneo la vita na kwa watu kote katika nchi . . .
MAHAKAMA Kuu imepiga marufuku kwa muda mashirika ya umma na serikali za kaunti kuajiri mawakili binafsi pale ambapo kuna mawakili wa serikali au mawakili wa kaunti wanaoweza kushughulikia kazi husika. . . .
Tukio hilo limetokea January 12, 2026 katika mtaa wa Ligula "A" kata ya Chuno halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha moto . . .
Maambukizi ya damu yanayosababishwa na vimelea zaidi ya mmoja yanaendelea kuwa changamoto kubwa katika hospitali za rufani nchini Tanzania, huku yakiongeza hatari ya vifo, hususan kwa watoto wachanga. . . .
Tume Huru ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imepiga marufuku wapigakura kubeba au kupeperusha Bendera ya Taifa katika vituo vya kupiga kura, ikionya dhidi ya matumizi ya nembo za taifa kwa malengo ya kisiasa . . .
Wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inayohusisha kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es Salaam na kujipatia zaidi ya Sh10 bilioni kutokana na shehena ya mafuta . . .
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado atakutana na rais wa Marekani Donald Trump wiki hii. Mkutano huo utafanyika wakati Venezuela ikikabiliwa na shinikizo kuhusu kuwaachia huru wafun . . .
Myanmar ilifanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya kwa lengo la kuiangamiza jamii hiyo Gambia iliripoti taarifa hiyo .Waziri wa Sheria wa Gambia Dawda Jallow ameiambia ma . . .
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel amesema mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote ya kutafuta makubaliano na Marekani yanayoendelea kufuatia vitisho vilivyotolewa na rais Donald Trump. Miguel Díaz-Can . . .
Rais Donald Trump amesema kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa asilimia 25 kufuatia hatua ya Iran kuyakandamiza kwa nguvu kubwa maandamano ya kupinga ugumu wa maisha.Trump . . .
Serikali ya Somalia imefuta makubaliano yote iliyotia saini na Umoja wa Falme za Kiarabu kuhusiana na mvutano juu ya hatua ya Israel kuitambua Somaliland kama nchi huru.Somalia imefuta makubaliano yot . . .