Wabunge kadhaa nchini Peru wamewasilisha hoja ya kumuondoa madarakani rais Dina Boluarte.Wabunge 28 wa mrengo wa kushoto na wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani mwishoni mwa mwaka uliopita Pe . . .
. . .
Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao matatizo yake yanayozidi kila kukicha yamechochea mvutano wa kidiplom . . .
Msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, amesema ndege ya kivita aina ya Sukhoi 25 kutoka Congo iliingia katika anga yake kwa mara ya tatu, kupitia Rubavu karibu na mji wa Goma na hatua za kujili . . .
Uhamisho wa Jokate kutolewa Temeke kupelekwa wilayani Korogwe mkoani Tanga, umefanywa hii leo Januari 25, 2023, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Ikumbukwe Basilla . . .
Polisi nchini Pakistan imesema mshirika wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan amekamatwa kwa makosa ya kuwakashifu maafisa wa uchaguzi.Fawad Chaudhry, aliyekuwa waziri wa habari chin . . .
Siku ya leo Mke wa Dr. Mwaka ameenda Bakwata kutaka Talaka yake, akiongea na wana habari ameeleza kuwa ameachana na Dr.Mwaka tangu mwezi wa kwanza 2022.Ameeleza mengi sana na baada ya kufika Bakwata a . . .
aziri wa Mambo ya Nje Dkt. Stergomena Tax, amesema Mtanzania aliyefariki dunia nchini Urusi Nemes Tarimo, alikuwepo nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na chuo cha Moscow Technology Pro mwaka . . .
Burkina Faso imeiomba Ufaransa kuondoa wanajeshi wake nchini humo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja, kulingana na barua ya mamlaka kwa Paris.Barua hiyo ya wizara ya mambo ya nje iliyoandikwa Jumatano w . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. ikiwa ni sehemu ya ziara mpya ya kidiplomasia katika eneo hilo.Ziara ya Waziri . . .
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja aina ya AK47 ikiwa na magazine moja yenye risasi 25 na mabomu m . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema Ujerumani haitoizuia Poland iwapo inataka kupeleka vifaru chapa Leopard 2 nchini Ukraine. Kauli hii hii ya Baerbock huenda ikaleta matumai . . .
Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kutoa taarifa rasmi.Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa pic . . .
Watu zaidi ya 5000 wameomba nafasi ya kazi katika jeshi la polisi kamisheni ya Zanzibar, huku kamisheni hiyo ikihitaji kuajiri watu chini ya 500.Kamishna wa Zanzibar, Khamis Hamad Khamsi amesema kati& . . .
Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais Badara Alieu Joof akiwa na umri wa miaka 66. Bwana Joof alifariki nchini India baada ya kuugua kwa muda . . .
MWEKEZAJI aliyetaka kujenga shule ya sekondari katika moja ya kijiji wilayani Mkalama mkoani Singida anadaiwa kufanya utapeli baada ya ardhi aliyopewa na kijiji kwa ajili ya kujenga shule . . .
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe saba mwezi ujao.Kwenye taarifa yake iliyotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, Ardern amesema hana . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi na ulinzi kwa watoto na vijana wanaoishi katika mazingira ha . . .
Helikopta ya jeshi la polisi la Ukraine imeanguka karibu ya shule ya chekechea na jengo la makaazi ya watu katika mji wa Brovary ulio nje kidogo ya mji mkuu, Kiev. Gavana wa Kiev Oleksiy Kuleba amesem . . .
Afisa mmoja wa polisi nchini Uingereza ameungama kutumia cheo chake kutekeleza makosa 71 ya ubakaji dhidi ya wanawake 12 .David Carrick, mwenye umri wa miaka 48, alikiri kufanya makosa 49 ya unyanyasa . . .
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wenyeviti wa bodi na Makamishna kadhaa.Rais Samia amemteua Prof. Ahmed Mohamed Ame kuwa Mwenyekiti wa B . . .
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, amependekeza kubuniwa kwa mahakama maalum ya kimataifa ili kuwashitaki viongozi wa Urusi.Baerbock aliutaja ‘uvamizi wa Urusi nchini Ukraine’ . . .
Washukiwa wanajihadi wamewateka takriban wamawake 50 katika eneo lililoharibiwa na uasi kaskazini mwa Burkina Faso.Takriban 40 walikamatwa karibu na eneo la kusini mashariki mwa Arbinda, Alhamis . . .
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema jana kwamba wafuasi wa mtangulizi wake Jair Bolsonaro waliovamia majengo ya serikali huenda walipatiwa msaada na mtu wa ndani. Lula mwanasiasa wa mreng . . .
"Siku ya Mapinduzi Karume alikuwapo hapa Zanzibar. Lakini hakuniambia hata mimi kuwa kuna mapinduzi siku hiyo. Ililia risasi ya kwanza na ya pili nikamwambia unasikia risasi hizo, ndiyo akanieleza kuw . . .
Serikali ya Zimbabwe imepitisha mswaada wa sheria Jumanne Januari 10 inayopiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na wafanyakazi wa afya nchini humo kufuatia mgomo katika mzozo wa muda mrefu kuh . . .
Rais mpya wa Peru Dina Boluarte na mawaziri kadhaa wa nchi hiyo wanachunguzwa kutokana na mapigano ya wiki kadhaa ambayo yamesababisha vifo vya makumi ya watu.Mwendesha mashtaka mkuu wa Peru amesema m . . .
Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema nchi hiyo haiwezi tena kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Akizungumza jana na bunge la Rwanda mjini Kigali, Kaga . . .
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema baada ya kutoa rukhsa ya mikutano ya hadhara huenda wapo ambao watakuja na kasi ya malumbano hivyo amewaomba Vijana wa CCM wasiende kulumbana bali wajibu hoja kwa takw . . .