Moto na mlipuko mkubwa umesababisha vifo vya takriban watu 34 baada ya vifo viwili kuongezeka na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye ghala moja lililoko karibu na mji wa Chittagong, Bangladesh.Ma . . .
Mshauri wa rais wa Ukraine Mykhailo Podoliak amesema mbinu za Urusi zimebadilika katika vita nchini humo na kuashiria kile alichokiita awamu mpya katika vita hivyo. Afisa huyo wa Ukarine alikisia . . .
Jeshi la Korea Kusini limesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyetua kombora la masafa marefu kwenye bahari Mashariki mwa Pwani yake hili likiwa tukio la hivi karibuni zaidi katika mfululizo wa majar . . .
Polisi eneo la Changamwe katika Kaunti ya Mombasa wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne aliingia shuleni na kitoa machozi.Kwa mujibu wa Naibu Kaunti Kamishna wa Changamwe Michael . . .
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, aliyekuwa mshauri wa rais Felix Tshisekedi kuhusu masuala ya usalama François Beya, atafikishwa katika Mahakama ya kijeshi siku ya I . . .
Meya wa mji wa Sloviansk, Vadym Liakh amewataka wakaazi wa eneo hilo kuondoka, kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi ya vikosi vya jeshi la Urusi. Liakh amesema mashambulizi ya jana ya Urusi, ya . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametoa hotuba huko White House alhamis usiku kwa kulitaka bunge kuidhinisha sheria za kawaida ili kujaribu kuzuia matukio ya hivi karibuni ya vifo vinavyotokana na ufy . . .
Imetimia siku 100 tangu Urusi ilipoivamia Ukraine, Februari 24, wakati huu mashambulio yakiendelea katika jimbo la Donbas kwa lengo la kuteka eneo lote la Masharik . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametetea mchango wa nchi yake katika kuipelekea silaha Ukraine na ameahidi kupeleka silaha zaidi pamoja na mfumo wa kisasa wa ulinzi wa anga. Katika hotuba aliyoto . . .
Mkuu wa zamani wa kijasusi nchini Afrika kusini Arthur Fraser alisema Jumatano kwamba aliwasilisha malalamiko ya kisheria dhidi ya Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa akimtuhumu kuteka nyara n . . .
Mwanajeshi mmoja mlinda amani wa Umoja wa mataifa ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa Jumatano katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika jimbo la Kidal, kaskazini mwa Mali, tume y . . .
Mwenyekiti wa Bunge, David Kihenzile leo Alhamisi Juni 2, 2022 ameahirisha shughuli za bunge kwa muda wa dakika 30 kwa sababu Waziri wa Nishati, January Makamba na naibu wake, Stephen Byabato hawa . . .
Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole ameingia katika mgogoro na wabunge wanawake kutokana na lugha aliyoitumia kutafsiriwa kuwa ilikuwa ya kuudhi.Mbunge huyo amelazimika kufuta kauli yake aliyosem . . .
Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baaada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake itapeleka Ukraine makombora ya kisasa ya kuzuia mashambulizi ya kutokea angani pamoja na mifumo ya radar. Hii ni baada ya Ujerumani kukosolewa kw . . .
Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua za masika nchini Brazil imepanda na kufikia watu 106 huku vikosi vya uokoaji vikiendelea kuwatafuta . . .
Islamic State siku ya Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi lililoua takribani raia 15 katika kijiji kimoja kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo siku ya Jumapili. Kundi hilo . . .
Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) imekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda walioshikiliwa na DRC huku mivutano ikiongezeka kati ya majirani hao wawili, Rais wa Angola Joao Lourenco a . . .
Mamia ya watu waliandamana dhidi ya Rwanda siku ya Jumatatu katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa kuhusu shutuma kuwa Kigali inaliunga mkono kundi la waasi la M23 huku miv . . .
Ufaransa Jumatatu imeomba uchunguzi ufanyike baada ya mwandishi wa habari wa Ufaransa kuuawa nchini Ukraine wakati gari alilokuwa akisafiria, ambalo lilikuwa linatumiwa kuwahamisha raia karibu n . . .
Vifo vya raia na manyanyaso ya haki za binadamu yanayofanywa na wanajeshi wa Mali yaliongezeka katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ripoti ya Umoja wa Mataifa ilisema Jumatatu lakini Bamako ilitu . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita kutokana na Hakimu kuwa na majukumu men . . .
MCHUANO wa fainali za kombe la mabingwa wa UEFA, uligeuka kuwa simanzi kwa familia moja Kaunti ya Kilifi. Hii ni baada ya jamaa wao kuuawa kilabuni alikoenda kutazama mechi hiyo kati ya Liverpool n . . .
Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo alisema baada ya mkasa huo kuibua hasira mpya juu ya hali . . .