1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Davido Atikisa Tena! Anunua Lamborghini Revuelto Yenye Thamani Ya Bilioni 2.6

Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke, anayefahamika zaidi kwa jina la Davido, ameendelea kuthibitisha ku . . .

Manula Atambulishwa Rasmi Azam FC

Aliyekuwa kipa wa Simba SC na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Salum Manula, amerejea rasmi katika klabu yake ya zamani ya Azam F . . .

Jembe Michezo

Miloud Hamdi Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Juni wa NBC

Kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024 . . .

Jembe Habari

Watatu wafariki na sita majeruhi kwa ajali Iringa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imehusisha gari ya abiria lenye namba za usajili T 562 . . .

Tukio la dada wa Polepole kufanyiwa uchunguzi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulik . . .

Habari Zote
Habari

Polepole akemea utekaji nchini kwa madai ya kutekwa kwa dada yake

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema kuwa anapinga vikali vitendo vya utekaji na kudai kuwa dada yake alitek . . .

Habari

Hakuna amani bila haki

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole @hpolepole ametoa wito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kutokuka . . .

AJALI

Wanafunzi wawili wafariki kwa ajili Morogoro

Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za . . .

Kitaifa

Watatu wafariki na sita majeruhi kwa ajali Iringa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imehusisha gari ya abiria lenye namba za usajili T 562 EBK aina y . . .

AFYA

Majibu ya DNA kwa wazazi na watoto laki 3 kwa siku 21

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema licha ya kwamba gharama za upimaji DNA nchini zinafikia hadi Tsh milioni moja lakini S . . .

SOKA

Yanga wamsajili Mussa Balla Conte kiungo kutoka Tunisia

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamepiga hatua nyingine kubwa kwenye dirisha la usajili baada ya kufanikiwa kumn . . .