logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 25, 2026

Raphinha Apewa Jezi Namba ya 10 Brazil

Mshambuliaji wa Barcelona, Raphinha, amepewa rasmi jezi namba 10 ya timu ya taifa ya Brazil, akianza ukurasa mpya baada ya nyota Neymar kuto . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2026

Baada Ya Ndejembi Kuwa Makamu Wa Rais, Uchaguzi Mdogo Chamwino Kufanyika Novemba 4, 2026

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mko . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 25, 2026

Mwanamume Ampaiga Risasi Ex-Wake Baada Ya Kudai Msaada wa Malezi

Mwanamume mwenye umri wa miaka 63 nchini Marekani, Darrell Long, amepatikana na hatia ya jaribio la kumuua kwa makusudi mke wake wa zamani, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

MWANRI AWASILI SAME KUANZA ZIARA YA KICHAMA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, amewasili katika Ofisi za CCM Wilaya ya Same kwa ajili ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

UEFA Nations League Kuanza leo Klopp Uso Kwa Uso Na Xavi

Mashindano ya UEFA Nations League 2026/27 yanaanza leo, Alhamisi Septemba 24, huku macho yakielekezwa kwenye mchezo wa Kundi A2 kati ya Uhol . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

Kyiv yashambuliwa kwa makombora kutoka nchini Urusi

karibia milipuko 20 ilisikika, jeshi la anga la Ukraine likitoa tahadhari kwa raia kuhusu makombora ya Urusi yaliokuwa yamerushwa kuelekea K . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

Netanyahu anatarajiwa kuhutubia mkutano mkuu wa UN New York

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, anatarajiwa kuzungumza katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini Washington nchi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2026

Rais wa China amewasili nchini Marekani kwa ziara ya kikazi

Rais wa Marekani, Donald Trump muda mfupi uliopita alimpokea mwenzake wa China, Xi Jinping jijini Washington, hili likiwa ni tukio la kipeke . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Faida 5 za Maji ya Limao Ambazo Watu Wengi Hawazijui

Maji ya limao ni kinywaji rahisi kinachotengenezwa kwa kuchanganya maji na juisi ya limao mbichi. Kunywa maji ya limao kila siku kunaweza ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI KUKAMILIKA IFIKAPO MWAKA 2030

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy, amesema Serikali  imedhamiria kukamilisha miradi ya kusambaza u . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Shigongo Aipongeza TMDA Kudhibiti Dawa Bandia Nchini

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ameipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu, Dkt . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Ngorongoro Heroes imefuzu kucheza Fainali

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wamiaka 20 (Ngorongoro Heroes) imefuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa V . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Wakazi wa Lamu walia kutoshirikishwa kikamilifu ujenzi wa kituo cha Dangote ukianza

MAANDALIZI ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha kampuni ya Dangote katika Kaunti ya Lamu yameshika kasi, huku wakazi wakizid . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Bunge lavunjwa kuelekea uchaguzi mkuu

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, Jumanne ya wiki hii alitangaza kulivunja bunge la nchi nchi hiyo na kuteua utawala wa mpito, hatua aliyoic . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2026

Rwanda na Ubelgiji zakubaliana kurejesha uhusiano

Ubelgiji na Rwanda zimetangaza kukubaliana kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia, hii ikiwa ni hatua ya kuanza kurekebisha uhusiano ulione . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

TANZANIA YAIHAKIKISHIA DUNIA UZALISHAJI WA DAWA NA KUBORESHA AFYA AFRIKA

WAZIRI wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema Tanzania itaendelea kuweka kipaumbele katika kuimarisha uzalishaji wa ndani wa dawa, bidhaa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 22 Septemba 2026, amemuapisha Mhe. Othman Ma . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Aliyekutwa na bangi kitandani aachiwa huru

Mwanamke aliyefungwa miaka 10 jela kwa kukutwa na kilo 26.9 za bangi chini ya kitanda, ameachiwa huru baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Vyombo vya Habari Vyaungana Kususia Habari za Trump

Vyombo vikubwa vya televisheni nchini Marekani vimesitisha kwa pamoja huduma ya kurusha picha za shughuli za Rais Donald Trump baada ya utaw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Rais Samia Atoa Pole Kifo cha Mama Fatma Karume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Tahadhari ya mashambulizi yanayoweza kutokea yaondolewa haraka

Saudi Arabia imetoa kwa muda mfupi onyo la hatari ya mashambulizi katika mkoa wa kusini wa Najran karibu na Yemen, ambalo liliondolewa harak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Mashariki ya Kati katikati ya wiki ya mvutano wa kidiplomasia

Mkutao Mkuu wa Umoja wa Mataifa unafunguliwa leo Jumanne, Septemba 22, jijini New York, kwa wiki moja ya mikutano kati ya viongozi wa dunia, . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 22, 2026

Rais Tshisekedi hatahudhuria kikao cha UN kufuatia vikwazo vya usafiri vinavyohusiana na Ebola

Taarifa hiyo imetangazwa rasmi Jumapili, Septemba 20, kupitia taarifa ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) bila kutoa maele . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2026

Vyama vya ukombozi vyasisitizwa kushikamana na wananchi

Katibu Mkuu wa Chama cha Frelimo cha nchini Msumbiji Chakil Aboobakar amesema ni muhimu kwa vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika kuende . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2026

Mourinho Awashambulia Waamuzi na VAR Baada ya Real Madrid Kufungwa na Atletico

Kocha wa Real Madrid, José Mourinho, amewakosoa vikali waamuzi na mfumo wa VAR baada ya timu yake kufungwa mabao 2-1 na Atletico Madrid kat . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2026

Elizabeth Makune Aibuka Miss Universe Tanzania 2026

DAR ES SALAAM: Elizabeth Makune kutoka Mwanza ametangazwa kuwa mshindi wa Miss Universe Tanzania 2026, baada ya kuibuka kidedea katika faina . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2026

Baraza la kijeshi lafanya mkutano wa dharura baada ya kuibuka tena kwa mashambulizi

Mkutano huo ambao umeongozwa na rais wa mpito wa Mali, Jenerali Assimi Goïta, umeandaliwa baada ya mashambulizi ya kijihadi yaliyolenga kam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2026

Iran yasema wanajeshi wake watasalia katika maeneo ya mipaka

Wanajeshi hao walitumwa katika mpaka wa kaskazini Magharibi, Magharibi, Kusini Magharibi, Mashariki, Kaskazini Mashariki na mipaka ya Kusini . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

Kunywa chai moto sana huongeza hatari ya saratani ya umio

KUNYWA chai, kahawa au vinywaji vingine vikiwa moto sana kunaweza kuongeza hatari ya kupata saratani ya umio, kulingana na utafiti uliofanyw . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

wasichana 36 wa shule moja ya Upili wakipata mimba

WADAU wa elimu pamoja na viongozi wa utawala katika Kaunti Ndogo ya Webuye Mashariki, Kaunti ya Bungoma, juzi walifanya mkutano wa dharura k . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

Watu 49 wafariki Nigeria baada ya kunywa pombe yenye sumu

TAKRIBAN watu 49 wamefariki na wengine 182 wamelazwa hospitalini baada ya kushukiwa kuathiriwa na sumu kwenye pombe katika jimbo la Ondo, ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

Urusi yatikiswa na maelfu ya droni za Ukraine

Ukraine imerusha zaidi ya droni 1,000 kuelekea Urusi usiku kucha, huku Moscow ikikumbwa na kile kilichoelezwa kuwa shambulio kubwa zaidi kuw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

Simba 10 wafa kwa kula sumu ndani ya Ngorongoro

Simba 10 wamekutwa wamekufa katika Hifadhi ya Ngorongoro, Tanzania, katika tukio linaloshukiwa kusababishwa na sumu. Mamlaka zimesema uchung . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

VIKUNDI 203 VYASAJILIWA NZEGA DC

HALMASHAURI ya Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, imesajili vikundi 203 vikijumuisha wazee 11, wanawake 108, vijana 79 na watu wenye ulemavu wat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 20, 2026

RC BABU APIGA MARUFUKU WAFANYABIASHARA WA NJE YA SOKO LA MBUYUNI

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaagiza wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini katika barabara za soko la Mbuyuni manispaa . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

KLINIKI YA BIASHARA NA VIWANDA KUNUFAISHA ZAIDI YA WAFANYABIASHARA 3,500 ARUSHA

Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali na wafanyabiashara nchini, huku Kliniki ya Biashara na Viwanda inayoendelea j . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

Kiwango cha juu zaidi cha maambukizi ya Ebola bado hakijafikiwa, kulingana na Africa CDC

Miezi minne baada ya kuanza kwa janga la Ebola, kiwango cha maambukizi bado hakijafikiwa, nchini DRC. Hii ilitangazwa na shirika la afya la . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

Yanga Kukiwasha na St. George ya Ethiopia Uwanja wa Uhuru Leo

Klabu ya Yanga inatarajiwa kushuka dimbani leo, Ijumaa, Septemba 18, 2026, kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya St. George ya Et . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

Kesi Ya Uhaini Lissu Kuendelea Leo, DCI Kingai Kutoa Ushahidi

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo, Ijumaa, Septemba 18, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanz . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2026

Rais Mwinyi Amteua Hafsa Mbamba Kuwa Naibu Mkurugenzi ZIPA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hafsa Hassan Mbamba kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji . . .

Kurasa 3 ya 261

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category