WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 04, mwaka huu amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataif . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Antony kwa tuhuma za mauaji ya kijana Enock Mhangwa, huku watuhumiwa wengine wat . . .
Kikosi cha wanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo yatakayohudhuriwa pia na Rais Sam . . .
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema idadi ya Wanachama wa CCM waliojitokeza kuchukua imekuwa kuliko wakati wowote ambapo . . .
KIVUKO kipya cha MV Mwanza Julai 2, 2025 kimepokelewa kwa shangwe kubwa katika Jimbo la Buchosa mnamo Julai 2, 2025, ambapo kitahudumu kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome. Uzinduzi huo umefanyika mbe . . .
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika kinachoonekana kupiga hatua katika masuala ya sayansi na teknolojia wamebuni roketi yenye uwezo wa kusafiri umbali mrefu angani na kupeleka vitu mbalimbali.kwenye m . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Julai 3, 2025 imekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni na vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu kuwepo kwa njama ya kumtilia sumu kiongozi wa c . . .
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, amesema bado Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (MMS), inaendelea kuchunguza miili ya watu wawili wal . . .
RAIS wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika wiki ijayo kwa ajili ya majadiliano ya kibiashara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano . . .
MAHAKAMA KUU ya Gujarat nchini India imeanza kusikiliza kesi dhidi ya wakili wake mmoja, Bhaskar Tanna, baada ya video inayomuonesha akinywa bia na kuzungumza kwenye simu wakati wa kikao cha mahakama . . .
Vilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya magari . . .
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo wilayani Longido ambapo takribani mifugo 2000 imechanjwa.Tukio hilo lil . . .
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imesema itahakikisha inawapatia kila aina ya nyezo kikosi cha Polisi Utalii ili kuhakikisha ufanisi wa utendaji kazi wa kikosi . . .
Wananchi wa Kijiji cha Kwanyange, Kata ya Kivisini, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya kutokana na ukosefu wa Zahanati kat . . .
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwenyekiti wa Taifa wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kuzilinda kura zao kwa ajili ya kulind . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kutogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi.Uamuzi wa Majaliwa umetangazwa leo Jumatano na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ruang . . .
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) airtanzania_atcl imepata utambuzi wa kimataifa kutoka Serikali ya India, siku chache baada ya kutangaza safari mpya ya moja kwa moja kati ya Dar es salaam na Lagos, Ni . . .
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za u . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewakosoa baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoibuka na kusema kero za wananchi zimeisha kwa kile alichodai huo ni uongo kero za wananchi haziishi bali hupungua.Aki . . .
Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo umefunguliwa siku ya Jumatatu hii, Juni 30, huko Seville, nchini Uhispania, huku kukiwa na upungufu mkubwa wa misaada ya maendeleo, hasa kutokana n . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeadhimisha miaka 65 ya uhuru siku ya Jumatatu, Juni 30. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, Mkuu wa Nchi Félix Tshisekedi amezungumza kwa kirefu kuhusu mkataba w . . .
Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na . . .
Leo julai mosi kwenye Kipindi cha MchakaMchaka amesikika Mkuu Usalama Barabarani Wilaya ya Ilemela DTO Kilimbida Thomas Kilimbida na kueleza mkakati madhubuti wa kuanza kupima madereva katika si . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka ya kukizuia Chama hicho kushiriki shughuli za siasa kwenye mwaka wa uchaguzi . . .
Kiongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Tanga, Mwajuma Mohamed amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Korogwe Vijijini.Mwajuma ambaye ni Mjumbe Kitengo cha Walimu . . .
Rais mstaafu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dkt Elisha Osati amechukua fomu ya kuwania uteuzi kwa ajili ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mbagala katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.Osati . . .
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ambayo imeguswa na mzozo mkubwa wa ukwasi unaohusishwa kwa kiasi kikubwa na kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani, imelazimika kuta . . .
Leo Juni 30,2025, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amekabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa mkoa huo Kenan Kihongosi. 8Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko kwenye na . . .
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Sal . . .
MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama . . .