Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris ameanza rasmi ziara yake ya nchini Tanzania ambapo hii leo anatarajiwa kufanya mikutano na viongozi wa serikali wakiongozwa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu . . .
Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis alilazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya kupumua katika siku za hivi karibuni, na atakaa hospitali kwa . . .
Wizi wa alama za barabarani mkoani Shinyanga ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara umetajwa kuchangia uharibifu mkubwa wa mindombinu hiyo pamoja na kuongezeka kwa ajali za barabarani zinazochangiwa na . . .
Wakazi wa kitongoji cha Nyangalamila B kata ya Irenza Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamemkataa diwani wa kata yao baada ya kufukia kisima walichokuwa wanachimba kwa ajili ya . . .
Jumuiya ya Kujihami ya NATO imekemea kauli za Rais wa Urusi Vladimir Putin baada ya kiongozi huyo kusema atapeleka nchini Belarus silaha za kimkakati za nyuklia.Kutokana na kauli hiyo, Ukraine imetoa . . .
Muungano wa Azimio umevumbua mtandao utakaotumika kuhifadhi picha za matukio ya maandamano yanayotarajiwa kufanyika kila Jumatatu na Alhamisi. Kiongozi wa wachache katika bunge la taifa Opiyo Wan . . .
Maelfu ya Waisraeli wameingia barabarani Jumapili kuandamana baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kumfuta kazi waziri wake wa ulinzi ambaye aliitaka serikali kusitisha mpango wake wenye utata wa ku . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza hali ya dharura nchini humo hususan katika jimbo la Mississippi baada ya kimbunga kulikumba eneo hilo usiku wa kuamkia jumapili na kusababisha vifo vya watu wasio . . .
Maelekezo hayo yametolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo akisisitiza imekuwa ni mazoea kwa Askari wa Usalama Barabarani wanapokagua na kubaini gari lina upungufu basi wanachukua fedha . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kupitisha makadirio ya matumizi na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara pamo . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka kutoka kwenye gari lenye maabara inayotumika kupima ugonjwa wa Kifua Kikuu katika maeneo mbalimbali wakati alipotembelea mabanda ya monyesho ya Maadh . . .
Mahakama katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, imeizuia kampuni ya Meta, ambayo ni kampuni mama ya facebook, kuwafuta kazi wasimamizi wake wa maudhui huku wakisubiri kusikilizwa kwa kesi ya kupinga hatua . . .
Mkwasi wa vyombo vya habari Rupert Murdoch, ametangaza kuwa katika uhusiano wa mapenzi na Ann Lesley Smith ambaye ni afisa wa zamani wa polisi.Murdoch, 92, na Smith, 66, walikutana mnamo Septemba kati . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TikTok amehojiwa na kamati ya bunge la Marekani kujibu kwa nini programu hiyo maarufu ya mitandao isipigwe marufuku. Ushaidi wa Shou Zi Chew Alhamisi uliku . . .
Mohamed Salumu (44) mkazi wa Kijiji cha Olpopong kata ya Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, amenusurika kifo kwa kuchomwa mkuki kifuani wakati akizuia mifugo isiharibu mazao yake shambani.Watuhumiw . . .
Taarifa hiyo imetangazwa jana Alhamisi na afisa wa jeshi la nchi hiyo, Kanali Mike Walaka Hyeroba, aliyesema wanajeshi hao watapelekwa katika maeneo mbalimbali ya Kivu Kaskazini ambako hiv . . .
Bunge la taifa limeshuhudia cheche za maneno baada ya wabunge wa Kenya Kwanza na wale wa Upinzani kuanza kuzozana kuhusu ni nani wa kulaumiwa katika maandamano yaliyofanyika Jumatatu 20. Kiongozi . . .
Wanajiolojia wamethibitisha uwepo wa nyufa kubwa inayolitishia bara la Afrika kugawanywa na maji na kutoka vipande viwili kutokana na ufa wenye urefu wa maili 35 kuonekana katika jangwa la Ethiopia li . . .
Takwimu rasmi za serikali zinaonyesha kwamba Idadi ya watu kwenye mji mkuu wa China, Beijing imeshuka kwa mara ya kwanza ndani ya miongo miwili, ukionekana kuwa mwendelezo wa hali katika maeneo mengin . . .
Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambay . . .
Nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kumeanzishwa kongamano kubwa kuhusu amani na maendeleo ya Jimbo la Kivu kusini mjini Bukavu.Kongamano hili litakalo dumu muda wa siku 4 linajumuisha wawakilishi . . .
Bunge nchini Uganda limepitisha sheria kali ya kupinga vitendo vya kufanya mapenzi ya jinsia moja. Muswada huo wa sheria unapendekeza adhabu mpya kali kwa wanaofanya mahusiano ya jinsia moja.Seri . . .
Jamii imetakiwa kujiepusha na mambo ambayo ni kinyume na utamaduni wa kitanzania ikiwemo kufanya ngono ya mdomo (Oral Sex) ili kuepuka vinywa vyao kupata maambukizi ya virusi hatari vya human papillom . . .
Amesema “Tulisema siku ya leo ni likizo, tulikuwa tunataka kufanya maandamano ya amani ili bei ya unga irudi chini, lakini Ruto analeta Askari, anapiga watu, anashika watu, anavunja Katiba na Sheria . . .
Baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu kati ya vitano vilivyoko katika kata Karabagaine katika wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kwenda kuchota maji kwenye vyanz . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaishauri Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo katika mradi wa ujenzi wa barabara njia na . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewataka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutumia Mitambo ya uchimbaji visima ilionunuliwa na serikali kwa . . .
Watanzania waishio Afrika ya Kusini wameonywa kutoshiriki kwa namna moja ama nyingine i na maandamano yanayoendelea katika nchi hiyo na badala yake wafuate sheria na taratibu za nchi hiyo.Akizungumza . . .
Serikali ya Ufaransa inakabiliwa na kura mbili za kutokuwa na imani nayo baada ya wiki iliyopita Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Elisabeth Borne kulazimisha mageuzi yenye utata kuhusu pensheni, bila ya kupi . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza Suella Braverman yupo ziarani mjini Kigali tangu jana Jumamosi ili kutetea mpango tata wa kuwahamisha hadi Rwanda waomba hifadhi wanaowasili nchini Uingereza.Brav . . .