logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Martyn afia Uturuki akijiandaa kufanyiwa upandikizaji nywele

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Magazeti ya Uingereza ya The Independent na The Guardian, Marehemu Martyn Latchman alikuwa akijiandaa . . .

Kimataifa
  • Na Baba Juti
  • August 4, 2025

Anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kumuweka Mtoto Wake Kwenye Begi La Nguo

Mwanamke mmoja raia wa Australia, anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini humo baada ya kubainika kuwa alimuweka mtoto wake mwenye umri wa . . .

Teknolojia
  • Na Baba Juti
  • August 4, 2025

Kutana Na Kijana Aliyekataa Ofa Ya Dola Bilioni 1 Kutoka kwa Mmiliki Wa Facebook

Kijana mmoja raia wa Australia ambaye ni mtaalamu wa Akili Mnemba (Artificial intelligence- AI), amekataa Ofa ya kiasi cha USD Bilioni . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Wizara ya kilimo yatakiwa kuwezesha taasisi kupata zana za kisasa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Kilimo kuweka utaratibu wa kuzisaidia taasisi zinazojihusisha na kilimo zikiwemo Magereza na . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

CCTV Camera mbioni kufungwa Daraja la J.P. Magufuli

Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli lina . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Takukuru Tarime yamkamatwa masaidizi wa Mbunge mstaafu

Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Ku . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Peter Mutharika na Joyce Banda wamezindua kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu

Wakati hali ya uchumi ikiendelea kuzorota na mfumuko wa bei ukielekea asilimia 30, vigogo wawili wa siasa nchini Malaw- marais wa zamani Pet . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

Bot yauawa takribani watu 68

Takribani wahamiaji 68 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba takriban watu 150 kuzama katika pwani ya Yemen kufuatia hali mbaya y . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 4, 2025

kipindupindu chaua takriban watu 80 katika majimbo matano ya Darfu

Takriban watu 80 wamefariki kutokana na kipindupindu huku zaidi ya maambukizi mapya 2,100 yakirekodiwa katika majimbo matano ya Darfur kufik . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 2, 2025

wanahabari watakiwa kutumia taaluma yao vyema wakati wa kampeni

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele, amewataka wanahabari kote nchini kutumia taalu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 2, 2025

Jeshi la Magereza lakanusha vikali tukuo la Lissu kusukumwa

Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Antiphas Li . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 2, 2025

watia nia wilaya ya Rufiji waandamana katika ofisi za CCM

Mnamo Agosti 2 mwaka huu watia nia wa nafasi za udiwani katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, wameandamana hadi katika ofisi ya Chama Cha M . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 2, 2025

Msamaha wa kodi watolewa kwa wamiliki wa magari

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa kodi kwa wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa ya forodha kwa kipindi cha kuanzia Agost . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 2, 2025

Wagombea 6 washinda UVCCM Tanzania Bara

Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar aliyeteuliwa katika uwakilisha wa Vijana kwenye Bunge la Tanzan . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

GGML YATOA TAULO ZA KIKE ZAIDI YA ELFU 80 GEITA

Geita, Agosti 1, 2025 – Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendeleza juhudi zake za kusaidia watoto wa kike kuondokana na chang . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

NEC " Hakuna sheria inayoruhusu kura kupigwa mapema "

Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguz . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Akutwa amefariki kwenye dimbwi la maji

Mwanaume mwenye umri unaokadiriwa (25-30) ambaye hajafahamika jina wala makazi yake, amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji linalotu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Polisi Mtwara wamkamata Ebitoke katika fukwe za bahari

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwar . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

RC KIHONGOSI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA, WAKUBALIANA KUIMARISHA UTALII NA SEKTA YA AFYA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Laban Kihongosi leo  Agosti Mosi mwaka huu mekutana na kuzungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanz . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Waititu apawe agizo la kuleta dhamana ya Sh53 milioni ili atoke jela

JAJI wa Mahakama Kuu, Lucy Njuguna, amepitia upya agizo lake la awali na kukataa ombi la Ferdinand Waititu la kuachiliwa kwa dhamana akisubi . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Nyongeza ya mishahara ya walimu yageuka kuwa masikitiko

MAKUBALIANO ya pamoja ya mwaka 2021–2025 (CBA) kati ya vyama vya walimu na Tume ya Huduma kwa Walimu (TSC) ya kima cha Sh33.8 bilioni yame . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Makandarasi wakutana kujadili ujenzi

CHAMA cha Makandarasi na Watoa Huduma za Kikandarasi (TUCASA), kimeikumbusha serikali kuchukua hatua madhubuti kuzuia ucheleweshaji wa malip . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Wabunge wakongwe viti maalumu CCM waachwa midomo wazi

WAJUMBE wa mikutano mikuu maalumu ya uchaguzi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mikoa wamepiga kura ku . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Samia azindua rasmi kituo cha biashara cha kimataifa

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACL . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

Watatu kotini kwa mashtaka 51 ya uhalifu

Wakazi watatu wa Kyela, mkoani Mbeya wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 51, yakiwemo ya kujipatia . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 1, 2025

RC Simiyu aalika wananchi maonyesho ya Nanenane

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa Mashariki na maeneo jirani kujitokeza kwa wingi ka . . .

Mahakamani
  • Na Baba Juti
  • August 1, 2025

Mwanafunzi Aliyedaiwa Kupotea aibukia Mahakamani

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makelele nchini Uganda, Tumwine Elson anatarajia kuhukumiwa hivi karibuni nchini humo baada ya kukutwa na . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 1, 2025

Wimbo Wa Nandy "TONGE NYAMA" Waondolewa Youtube. Mwenyewe Atoa malalamiko

Vizualizer (Video Taswira) ya Wimbo wa “Tonge Nyama” kutoka kwa msanii Nandy akiwa amemshirikisha Marioo, imeondolewa katika mtanda . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Bandari Kavu ya Kwala yazinduliwa rasmi leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Julai 31, 2025 amekagua na kuzindua rasmi Bandari Kavu ya Kwal . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Kenya yapiga marufuku unywaji wa pombe chini ya miaka 21

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku uuzwaji wa pombe katika maeneo mbalimbali ya wazi nchini humo kama kwenye fukwe, bustani za kup . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Sean Diddy aomba kuachiliwa kwa dhamana ya Bil 132

Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean "Diddy" Combs anataka kuondolewa katika gereza la MDC Brooklyn, akidai kuwa mazingira ya gerezani . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona yang'atwa na mbwa kwenye sehemu zake za siri.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania Carles Perez ,ambaye anakipiga kwenye klabu ya Aris Thessalon . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Samia aweka jiwe la msingi Kongani ya Viwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi ameweka jiwe la msingi katika Kongani ya Viwanda ya Kwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Marekani yaitwisha India ushuru mpya

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake itaanza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingizwa kutoka India, kuanz . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Canada yauunga mkono Palestina

 WAZIRI Mkuu wa Canada, Mark Carney, ametangaza kuwa nchi yake inapanga kulitambua rasmi Taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Biashara haramu ya binadamu yaongezeka-IOM

UMOJA wa Mataifa kupitia Shirika lake la Uhamiaji (IOM), umesema biashara haramu ya binadamu inaendelea kuongezeka kwa kasi ya kutisha, huku . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

NEC imezitaka taasisi zote kuzingatia sheria za kupiga kura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kuzingatia sheria, kanun . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Vigogo watemwa Arusha ubunge vita maalum UWT

Ndoto za waliokuwa wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Catherine Magige na Zaytun Swai, kurejea bungeni zimetumbukia nyongo, baada ya kus . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Vitisho dhidi Bobi Wine vyaongezeka mara dufu

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine, amesema kuwa hali ya kisiasa nchini humo imezidi . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Wanne wafikishwa mahakamani kwa madai ya kukutwa na noti bandia

Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza wakikabiliwa na jumla ya mashtaka matano yanayohusiana na uhalifu wa kiuchumi . . .

Kurasa 33 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category